Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Miongo 4 iliyopita Tanzania imeshuhudia vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi,vikiongozwa na viongozi wasomi Mfano TLP chini ya Mrema Na CuF chini ya Mwenyekiti Prof Lipumba...
0 Reactions
4 Replies
178 Views
#VIDEO: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupatikana kwa Vincent Massawe (Bwana harusi) ambaye taarifa zake zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amepotea siku...
6 Reactions
16 Replies
821 Views
Ujumbe kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Shirika la Nyumba la Zanzibar (ZHC) umetembelea miradi mitatu ya kimkakati inayotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC. Ziara hiyo...
0 Reactions
2 Replies
139 Views
Kila kitu hapa mjini kinahitaji hela, unawezaje kusevu hela mpaka ufike hatua ya kujenga? Na ukichukuwa mkopo benki ndiyo hatari zaidi. Kama ni mkopo wa kutegemea mshahara utakuta unakuwa mteja...
16 Reactions
66 Replies
2K Views
Sijui hawa watu wa YAs walifikiria nini. Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili. Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote. Sasa sijui walikuwa wanamlenga...
35 Reactions
114 Replies
9K Views
ikitokea Umemleta demu ghetto ukidhani atakaa siku moja mara ghafla anakata wiki nzima, hujakaa sawa anafuata kwao mabegi na baadhi ya vyombo, mara ghafla anaanza kukuuliza mtoto wetu wa kwanza...
0 Reactions
2 Replies
146 Views
Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani...
0 Reactions
1 Replies
229 Views
Hakuna jambo jema kama kufanya kazi ya halali hapa duniani na haijalishi iwe na hadhi gani, bali kikubwa ni halali na inakidhi mahitaji yako hata kwa kiasi fulani Na kamwe usijisikie mnyonge kwa...
5 Reactions
4 Replies
259 Views
Mimi ikitokea nimepata tatizo napata msaada na support kubwa sana kutoka kwa wanawake. Hata kipindi nasoma wasichana walipenda kushirikiana na mimi katika discussions na walinisaidia materials...
2 Reactions
7 Replies
268 Views
Ulimhola! Juzi nimepanda basi la kwenda makete, nimepiga zangu pamba kali, chini nimevaa raba za bei mbaya, miwani na earphones. Safari ikaanza vizuri, AC inapuliza taratibuu huku mwendo wa basi...
15 Reactions
103 Replies
3K Views
Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja. Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa wadukuzi...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Kizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini °Ulevi wa pombe °Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya °Ngono...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari wadau..! Siku za nyuma nilikuwa kama naona nafasi za kujiunga usalama wa Taifa zikitangazwa sijuhi ni kweli au zilikuwa feki? Je hawa TISS ni vigezo gani vinavyotumika mpaka mtu akaajiriwa...
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Kuna upungufu mkubwa wa walimu kwenye shule za umma Nina mdogo wangu anasoma PCB huko Mwanza anasema haijawahi kumwona mwalimu wa Physics na Chemistry shuleni Toka mwezi wa 7 Mfano Nilifika...
6 Reactions
8 Replies
476 Views
Naombeni audio ya hizi nyimbo; 1. Leonore ya Bokilo 2. Lala salama Chiku ya Zahir Ali Zorro 3. Selina ya Muhidini Ndolanga 4. Nawashukuru wazazi ya nani sijui lakini Ndolanga yumo.
8 Reactions
25 Replies
352 Views
MCB, benki ya kanisa langu pendwa Katoliki, lakini kitendo mnachonifanyia sasa ni cha kihuni kabisa. Mlisema nikiwa mahali ambapo hakuna tawi la Mkombozi naweza kuweka hela kupitia TPB. Pesa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wewe mtoto kumsaidia mzazi wako nu wajibu wako na kumsaidia ndugu yako ni uamuzi wako sio lazima ila mzazi wako ni lazima mzazi ni haki yake kuhudumiwa na mtoto au watoto wake soma hii The...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Ukisikia bangi inaumhimu wake fanya Kazi ya mochwari usivute bangi utaelewa ! Uhalisia wa mochwari sehemu ya kwanza Hapo zamani kazi ya Mochwari attendant ilikuwa siyo ya kusomea (Sauti ya mzee...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Salam wadau. Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi. Naomba kuwasilisha wadau
2 Reactions
14 Replies
551 Views
Habari za wakati huu By nature mimi ni mkimya sana,napenda sana kukaa mwenyewe na huwa nafeel comfortable sana, sipendi kuongea sana ila nikimatch na mtu ni mtu wa kucheka na kuongea...
2 Reactions
7 Replies
220 Views
Back
Top Bottom