Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Aiseeee kuna mambo ambayo yakifanyika mpaka unaogopa, nipo maeneo ya Mbezi na askari wa MP wamewapigisha kwata dereva na konda wake. Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumeshauri wakampime...
20 Reactions
151 Replies
9K Views
Mnamo mwaka 2010, wanandoa wa Nigeria waliokuwa wakiishi Uingereza, Ben na Angela Ihegboro, walipata mtoto wao wa kike aliyeitwa Nmachi, aliyezaliwa akiwa na nywele za rangi ya dhahabu, macho ya...
2 Reactions
13 Replies
391 Views
Bima ya Afya ya Taifa wamezindua vifushi vipya ambapo kubwa ilikuwa ni kilio cha watanzania kuhusu toto afya kadi ambayo ilifutwa awali na kwasasa usajili utakuwa kama ifuatavyo kama unataka...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Anonymous (2422)
Huduma ya mabasi ya mwendokasi inazidi kuwa mbovu, wahudumu na madereva wananyanyasa sana abiria, tunacheleweshwa vituoni zaidi ya saa mbili na inakuwa kero tunachelewa makazini. Serikali...
0 Reactions
10 Replies
674 Views
Jeshi la Polisi limetoa ushahidi wa awali kuhusu kupitea Kwa bwana harasi mara baada ya kumaliza harusi. Polisi wanadai ushahidi wa awali unaonesha bwana Masawe aliyepotea Aliuza gari aliyokodi...
12 Reactions
110 Replies
6K Views
Siku zote nimekuwa nikiwasikia wakatoliki katika sara zao wakimuomba bikra Maria, mama yake Yesu, awaombee. Hata katika nyimbo nyingi wanazotunga, wanamtaja bikra Maria na kumsihi awaombee kwa...
17 Reactions
400 Replies
6K Views
Wakuu habari za muda huu. Kuna uwekezaji ambao upo kwa mfumo wa betting,sitaki kuingia ndani sana kuudadavua,kubwa tu nahitaji kujua,Je,uwekezaji huu ni salama? Gavoo inajua kama raia wake...
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza kwenye sherehe za kuweka Wakfu jengo la Ibada la Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni, leo Disemba 15, 2024. "Mkoa wa Dar es...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Mimi sikuhudhuria msiba wa mtoto wa shangazi yangu kwa sababu alikuwa shoga wa wazi wazi. Wahenga wengi mnamjua aliitwa Auntie Kessy alikuwa maarufu sana hapa mjini Daslam nyumbani kwa wazazi...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika. Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote...
34 Reactions
158 Replies
3K Views
Wakuu, Sakata la yule Afisa wa TRA aliyefariki limeendelea kuchukua sura mpya. =================== Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Mwenda, ametangaza kuwa...
3 Reactions
16 Replies
887 Views
Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza. Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Anonymous (b689)
Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi. Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
MADHARA YAKUTUMIA P2 mara kwa mara Dr mwasola ✏️ P2. Emmergency Contraceptive Pills' ni vidonge maalum vinavyotengenezwa kwa lengo la kutumika kwa dharura kuzuwia mimba isiyotarajiwa ✍️P2 ni...
2 Reactions
6 Replies
537 Views
Yaani kuna sura zao tayari washakariri, ukija tu uko simple na gari yako ya kawaida au ukija tuu na mguu wanakuchukulia poa. Mmiliki kama upo humu jamiiforum ebu fanya semina tena na wahudumu...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari za mchana wakuu ,bila kuwa chosha kama kichwa cha habari hapo juu.Huko marekani kuna mashindano ya kuonesha vipaji yaani marvel talent, nafikiri mashindano hayo ni muda kidogo (sina hakika...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Daisle Simon Ulomi Kwa Sasa ni marehemu baada ya maiti yake kukutwa Jana hospitali ya rufaa Mwananyamala. Taarifa za Jeshi la Polisi na Msemaji wa hospitali hiyo zinadai alipelekwa hapo jioni ya...
1 Reactions
5 Replies
667 Views
Kitabu kitakatifu cha Quran Kinatanabaisha kuwa binadamu na viumbe vyengine ni nafsi na lazima vionje(kupitia/mchakato wa kifo). Swali langu linakuja vipi kuhusu mwili je,haufi?au ndiyo unazaliwa...
4 Reactions
5 Replies
185 Views
Makaburi mengi yamegunduliwa yenye miili ya watu wengi walioteswa na kuzikwa pamoja kipindi Cha utawala wa Assad. Tanzania pia kipindi Cha nyuma kulikuwa na wimbi la watu kupotea na wengine...
1 Reactions
1 Replies
135 Views
Mojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara...
23 Reactions
282 Replies
9K Views
Back
Top Bottom