Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wema hauozi ,matendo mema ni akiba yako mbinguni na duniani. Uzuri wa mtu upo katika matendo yake mema. Mikono inayosaidia watu ni bora kuliko midomo inayosali bila matendo. Imani bila ya kuwa...
3 Reactions
3 Replies
207 Views
Ukiweka kipande cha dhahabu (nugget) cha gramu 500 kwenye mawe yanayosagwa kwenye crusher linalosaga mawe yenye dhahabu, hicho kipande nacho kitasagika na kuwa unga?
0 Reactions
10 Replies
343 Views
Wakuu ! Ni matumaini yangu mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila kwa neema na kudra za Allah. Nimeamua kuanzisha huu uzi ili niweze kusikia maoni yenu au kuweza kupata kujua ni...
1 Reactions
0 Replies
111 Views
Maeneo mengi ya Dar es Salaam kwa sasa yanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, umeme umekuwa ukikatika kwa masaa kadhaa huku kukiwa hamna taarifa yoyote kutoka kwa wahusika...
1 Reactions
9 Replies
345 Views
Hautapita muda mrefu, mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015. Huyo ndie hasa alikua...
4 Reactions
48 Replies
1K Views
Kwanza nikiri Kabisa Mimi ni Mkristo Kabisa! Umetokea mtindo wa baadhi ya Wainjilisti kutoa mahubiri kwenye Daladala kila Siku, sasa ninachokijua ni kuwa sisi wakristo Kuna sehemu mahususi kwa...
9 Reactions
72 Replies
3K Views
Huu ndiyo mwonekano wa Barabara kutoka Wilayani Bariadi kwenda Wilayani Itilima Mkoa wa Simiyu, hii Barabara ni hatari Kwa Sasa imekuwa kero kubwa kwetu wananchi. Barabara imejaa mashimo kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
381 Views
Mamia ya meli yamefurika Bandari ya Dar zilisubiria kushushwa na kupakia mizigo. Kwa mujibu wa wadau wa Bandari,ongezeko Hilo limechangiwa na kuimarika Kwa ufanisi wa kuondoa mizigo kunakofanywa...
2 Reactions
7 Replies
280 Views
MAMA NA BABA KUISHI PAMOJA NI RAHISI KUWASAIDIA NA KUWAHUDUMIA KULIKO WAKITENGANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Fainali ya uzeeni naiona kwa wengi ikiwapiga Knockout Matata. Kuna kilio cha...
4 Reactions
6 Replies
657 Views
Naomba kuuliza anaefahamu utaratibu mzima Wa kupata LATRA STICKER na gharama yake kwa Pikipiki ya biashara
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huwa napata ugumu kidogo nikiwa namsikiliza Mmarekani ila namuelewa kwa urahisi zaidi mwingereza. Wataalam wa kingereza karibuni.
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Jf saalam. Wakuu tukitazama tu Kwa jicho la kawaida hata bila kuingiza dini/Imani zetu hapa napata ukakasi sana. Ni kwanini Nguruwe pamoja na kupendwa sana na watu lakini sijawahi ona kwenye...
33 Reactions
381 Replies
7K Views
Kwenye page ya immigration Tanzania inadai Romania ni moja ya nchi ambayo Tanzania hatuhitaji visa kwenda kutembea na ivi sasa Romania na Bulgaria zimekubaliwa kuingia Schengen so sijui inakuwaje...
4 Reactions
2 Replies
255 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Nchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa. sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari . psychologically kamari hua inatengeneza...
16 Reactions
81 Replies
2K Views
Nimepata dhalura Kesho ahsubui natakiwa kwenda kisiju na alienipia maelekezo hapajui Ila nikifika bodaboda Toyote anapajua. Sasa nani anajua nauli ya kutoka pale mkuranga mpaka kisiju anisaidie...
2 Reactions
10 Replies
315 Views
https://www.facebook.com/reel/2785510158289198
3 Reactions
0 Replies
203 Views
Napata sana maswali mawili ya msingi kwanini Suleiman aliomba hekima na si utajiri? Lakini kwanini pamoja na kuwa na wale wanawake wote na masuria 300 lakini mwishoni akiona ni batili 1.Mengi...
0 Reactions
9 Replies
349 Views
Hayo ndio yamejiri huko Mererani Wakati Waziri wa Madini bwana Antony Mavunde akizindua Mnada wa mauzo ya Madini ya Vito kwenye Jengo jipya lilojengwa na Serikali maarufu kama Magufuli House...
3 Reactions
43 Replies
1K Views
Mssada wadau kuna duka nimekabidhiwa lakini mwenendo wa mauzo siyo wa kuridhisha pia inasemekana hili eneo halina biashara na uswahili ni mwingi,lakini mbaya zaidi kwa milango tuliokodi sisi...
8 Reactions
11 Replies
480 Views
Back
Top Bottom