Nimesoma andiko la mwanafunzi wa chuo kikuuu, andiko la shahada ya sheria ya kwanza. Utalia machozi. Masikini mwanafunzi hana usaidizi/ supervision yoyote/ wowote wa Lecturer/Mwalimu, he is...
Wakuu,
Fujo zilizoibuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Simba SC na CS Sfaxien zimeibua mkanganyiko kuhusu uwajibikaji.
Jeshi la Polisi...
Habari ya muda huu Wapwa?
Natumaini mnaendelea vizuri kabisa, ila kwa wale ambao hamko vizuri kwa namna yoyote Mungu awaongoze mvuke katika hilo.
Wapwa, leo nagusia kuhusu uchangamfu katika...
Mpira wa mguu, kama tunavyoujua leo, ulianzia Uingereza, lakini historia yake inahusisha michezo ya zamani kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Hapa kuna muhtasari wa jinsi mpira wa mguu ulivyoanza...
Novemba 27, 2024, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulifanyika, ukiambatana na matukio ya aina mbalimbali, yaliyokuwa ya Kweli, huku mengine yakitia shaka kuhusu Uhalisia wake.
Mdau, je, ni jambo...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya...
Sisi wanakigoma tunaoishi Dar, DODOMA na ughaibuni tunayo furaha kuufahamisha umma tuna mpango wa kuanzisha Chuo Kikuu mkoani kwetu ili Kutoa elimu kwa watanzania na raia wa nchi jirani. Tutazidi...
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vinavyofuatilia ubora wa Miundombinu barani Afrika, Tanzania imepanda hadi nafasi ya 9 kutoka nafasi ya 15 kwa Nchi zenye Barabara Bora na Nzuri Afrika...
Nilikutana na msafara wa Nabii Mwamposa ukitoka kanisani kwake pale kawe..
Msafara ulikuwa na Escort ya police tena wenye bunduki .
Sasa nikajuliza police na bunduki za Nini, juu ya Nabiii...
1. Je ni hizo huduma hapo ☝️ au ni upya wa basi?
2. Basi la zamani lenye vigezo hivyo huu au basi lolote jipya?
Ikitokea huduma tajwa hapo ikakosekana kwenye gari na kiwango cha nauli umelipia...
1. Mpaka leo kungekuwa hakuna vitabu wala maandiko, kila kitu ni kwa kuongea.
2. Mpaka leo kupaa angani ingeaminika ni kwa wachawi
3. Kutuma ujumbe wa mbali zingetumika yowe ama kumtuma kijana...
Ni Jumapili Nyingine ambayo imejaa utulivu wa aina yake, ni miezi kadhaa imepita Mrembo ambaye nitampa jina la NISHA, Ambaye alitumwa kwa kazi maalumu kutafuta Nywila kwa Boss Ambaye nitamuita...
Mafundisho ya dini yana favour sana upande wetu wanaume. Vipi kuhusu wanawake? Mbona wao hawaongeleki?
Baada ya kufika mbinguni na bus la Isamilo Express, tutapokelewa na malaika ambao watatulaki...
Ukisoma biblia mamajusi(wanajimu) watatu kutoka mashariki walisoma na kuifuata nyota kutoka mashariki iliyowaongoza kutoka mashariki walipokuwepo hadi Bethlehemu alipozaliwa mfalme wa...
Huwa nashangaa sana nikiona collective thoughts za waafrika hasa mitandao ya kijamii, Utaona mtu kaandika "Mwaka huu utapata milioni 100, andika amen" basi utakuta mpaka komenti elfu 1 watu...
Kama mada inavyosema ni kwamba wazungu hawafanani kitabia, nadhani
diaspora ndio watatupa uzoefu zaidi. Tuchambue tabia za Waingereza, Wajerumani
Wafaransa, Waitaliano, Warusi na kadhalika. Je ni...
Hii ni kali ya mwaka baada ya dogo kuzimika mpaka kushindwa kujizuia kufanya mapenzi na nguruwe wao ambae amedai ni mrembo na humridhisha kuliko kawaida jambo lililomfanya ashindwe kuhudhuria...
katika maisha ya sasa connection ni kitu muhimu sana, lakini zimekuwa ngumu sana kupatikana ni hadi utoe kitu kidogo, uwe chawa, n.k.
Je umewahi kupata connection kimasihara iwe kwa mtu ambae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.