Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee...
5 Reactions
14 Replies
933 Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba...
4 Reactions
2 Replies
266 Views
Nataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
1 Reactions
49 Replies
2K Views
Lep asbh ktk mitaa ya jeshini kuelekea Ihumwa nimekiokota kitambulisho Cha mtu anaitwa Martin Orden Mwitula
8 Reactions
89 Replies
4K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amezitaka Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart)...
3 Reactions
10 Replies
672 Views
Sitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo . Ila Msalaba huwa unabeba nguvu ya kufatwa . Hivyo haijalishi ni muislamu au Christian KIROHO unashauriwa kuvaa msalaba. Ili kuvuta watu...
12 Reactions
44 Replies
1K Views
Hivi ndivyo hali ilivyo mitaa ya Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani, sehemu ya kutupia taka imegeuka kuwa taka pia. Kicha ya kuwa kuna chombo maalum cha kuweka taka lakini hakitumiki inavyotakiwa na...
0 Reactions
2 Replies
511 Views
Hali ilivyo Kibaha Maili Moja karibu na Kituo cha Maliasili ambapo taka zimeondolewa, pia chombo kinachotumika kuhifadhi taka kikiwa hakijajaa kama ilivyokuwa awali. Ikumbuke, Mdau wa...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Habari za muda huu wakuu, Mimi ni kijana kama vijana wengine wapambanaji,ila changamoto nayopata kuhusu uhifadhi wa pesa ni kubwa mno. Nimefungua akaunti benki kadhaa ila nikipata shida kidogo...
0 Reactions
3 Replies
309 Views
Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni...
15 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari za asubuhi. Mvua kubwa iliyonyesha jana usiku wa tarehe 15.12.2024 wilayani Kilindi Tanga imesababisha daraja linalounganisha vitongoji viwili muhimu katika Kijiji cha Mgera kata ya...
4 Reactions
2 Replies
300 Views
DAWASA Wametengeneza Chemba iliyokuwa inamwaga maji taka Ilala Sokoni. Awali Mdau wa JamiiForums.com alisema, "Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba...
0 Reactions
1 Replies
447 Views
Habari wakuu, Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua...
5 Reactions
22 Replies
894 Views
Wakuu swali hili nimeuliza mara kibao na Hamniambiii……Na ilihali mnajua Semeni bas NB:KUFICHA TAARIFA MUHIMU SI UTU
6 Reactions
101 Replies
3K Views
Samahani wakuu mimi si muandishi mzuri. Hili swala nimekuwa nikijiuliza muda sana kuhusu nyama tunazouziwa na kula. Kama tunavyojua kuwa machijioni lazima kuwe na dakitari anayepima wanyama...
2 Reactions
8 Replies
252 Views
Mwanamke mmoja aitwaye Crystal Mangum kutoka Durham, North Carolina huko Marekani ambaye alidai kuwa amebakwa na Wanaume watatu wa Timu ya Chuo Kikuu cha Duke University mwaka 2006 amejirudi na...
2 Reactions
2 Replies
153 Views
Binafsi mimi niliamua kuahirisha ndoa yangu na mpenzi wangu tuliedumu fours years kwenye uchumba Baada ya kufika kwao nikakuta mama na bibi, shangazi, mama wadogo wapo lakini, baba, babu...
7 Reactions
130 Replies
3K Views
Tangu mwaka 2018, nimekuwa nikitumia bangi kama sehemu ya safari yangu ya kubadilisha maisha. Nilipoamua kuacha pombe, ilikuwa uamuzi mgumu lakini wa lazima. Kila nilipotazama mustakabali wangu...
2 Reactions
3 Replies
335 Views
Wanabodi, Katika kipindi cha miaka 10 ijayo, dhana ya "Smart Cities" itachukua nafasi kubwa katika kuleta mabadiliko ya kiutawala na usimamizi wa miji yetu. Moja ya vipengele muhimu...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Back
Top Bottom