Wanachama wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) wameiomba serikali kupitia Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kutambua mafuta yanayotumiwa na watu wenye...
Karibu kila mtu anajutia uamuzi fulani aliowahi fanya maishani. Na wengi wana majuto kwenye ishu za ndoa na biashara. Kimsingi majuto ni mengi sana. Sasa mimi nimeamua kuandika huu uzi ili...
Katika zama hizi za utandawazi, usafiri umekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kusafiri kwa ndege, treni, basi, gari, pikipiki, au hata kwa miguu. Hata hivyo, pamoja na...
Balozi Dkt. Asha Rose Migiro, Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mipango na Mwenyekiti wa timu kuu ya kitaalamu ya uandishi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, amepongeza uteuzi wa Naibu Waziri Ofisi ya...
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wamewakutanisha watoto yatima 200 wanaoishi katika vituo vya watoto yatima Manispaa ya Bukoba.
Lengo...
Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa vipindi tofauti wakidaiwa kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Shirika la Reli Tanzania (TRC).
Mara kadhaa TRC imekuwa...
Tatizo la watu kutembea wakiwa usingizini(sleepwalking) ambapo mtu anakuwa anafanya mambo mbalimbali akiwa usingizini huwa common sana kwa watoto wadogo.
Huwa inasemwa kwa watu wazima wenye hili...
Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kumezuka na tarifa kuwa Vicent Peter Masawe, anayejulikana pia kama Babuu au Bright, amepotea tangu Novemba 18, 2024. Kulingana na taarifa zilizopo, siku ya...
Kwa muda sasa, makampuni ya utalii nchini Tanzania yamekuwa yakikumbana na changamoto kubwa kutokana na tofauti za viwango vya kubadilisha fedha vinavyotumika na taasisi za serikali kama TANAPA na...
Wiki hii imekuwa ya kipekee kwa uchumi wa Tanzania, kwani shilingi ya Kitanzania imeimarika kwa takriban 10% dhidi ya Dola ya Marekani. Mnamo Desemba 7, 2024, shilingi ilikuwa ikibadilishwa kwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia vyombo vya usalama na taasisi nyingine za Serikali zitashirikiana na Vijana ili kupata suluhu kwa baadhi ya changamoto...
Ni sahihi kwa Mkristo kuipinga, kuibagaza, kuilaani na kushambulia taifa teule la Israel wakati Biblia imejaa maandiko tele yanayoonyesha Israel ni taifa teule ambalo ukilibariki na wewe...
Watanzania wametakiwa kulinda, kutunza amani na utulivu hasa kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika mwakani.
Viongozi wa dini ya Kiislamu wametoa rai hiyo...
Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Oganaizesheni, Issa Gavu, amesema Serikali ya Awamu ya Nane chini ya Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hatua zaidi zinatakiwa kuchukuliwa dhidi ya matukio ya Ukatili hasa kwa Watoto na Wanawake na pia Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano zaidi kwa Mamlaka...
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Emmanuel Mkilia amezionya Taasisi na Watu Binafsi wanaotoa Mikopo na kisha kuwadhalilisha Wakopaji ikiwa wameshindwa kurudisha Mikopo...
Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X.
Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na...
Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda.
Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.