Baada ya kutoa taarifa Desemba 12, 2024 ya kukamatwa kwa watuhumiwa wawili wenye asili ya Asia katika operesheni iliyofanyika katika Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Kipolisi Rufiji wakiwa na nyaya za...
Wiki iliyopita baada ya shule na vyuo vingi kufungwa nilikosa kabisa usafiri wa kunitoa Dodoma kwenda Arusha kwani mabasi yale yenye majina makubwa yote yalikuwa yamejaa.
Jioni kabisa nikakumbuka...
Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo...
Mchango wa Tanzania kwa mambo mbali mbali ya kimaendeleo kijamii ni mkubwa sana Afrika
Na Tanzania ni nchi ambayo inawezekana inaongoza kuwapokea raia wa nchi nyingine za Afrika bila ya...
Aliyewahi kupata hii message, tafadhali aniambie kama kuna ukweli ya kuwa ukikodisha kwa kutoa username na password ya account yako ya linked ambayo ina muda kuanzia nusu mwaka yani miezi 6...
Katika makala ya leo,
Ni vyema tukaeleweshana kwa kina faida na athari za kuwa kwenye magroup ya Whatsapp ya ukoo.
Najua wengi tumezoea kujiunga na magroup ya shule, kazini na biashara ambapo...
Yoda
Infropreneur
Kwanza Infropreneur unapokuwa unafanya debate au open dialogue usipende kuweka hisia mbele, weka intuition mbele, maana una bwaja bwaja sana.
Ni kweli seeing is believing...
1. Wamarekani asilimia 63 ni wakristo.
2. China asilimia kubwa ni Buddhists na Taoism.
3. Japan asilimia 70 ni Shintoism.
4. Israel asilimia 70 na raidi ni Jewish.
5. Saudia asilimia 90 na zaidi...
Toka nakuwa na ufahamu nimeona wazazi wangu wakipambana sana, lakini bahati haijawa upande wetu, mama kavunja sana kokoto, baba nae kapambana sana lakini wapi.
Wazazi wangu wamenisomesha kwa...
Waziri wa Ujenzi na mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega ameaungana na wananchi wa wilaya hiyo, kufanya dua maalumu ya kumuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika utekelezaji wa majukumu yake...
Silaha za kushinda nguvu za giza, hasa katika muktadha wa kiroho au kidini, zinaweza kujumuisha:
1. Maombi: Kuomba msaada wa Mungu au nguvu za juu ili kushinda maovu.
2. Imani: Kuwa na imani...
Wakuu apa naomba kuelimishwa kwa hili la trafiki kusimamisha gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo maana nimeliona sana uko barabarani, yani trafiki akiona gari za mizigo au toyo za mizigo...
Habari wanajamvi.
Nilikuwa nauliza utaratibu ukoje pamoja na gharama za Kulipia, Viambatana vya kuambatanisha, Ikiwa Una leseni ya udereva ambayo ukomo wake ni 2027 na imepotea.
Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili
Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye...
Betting ni kitu kitu addiction ya ajabu sana. Kila siku tunachezea kichapo lakini Bado hatukomi.
Sasa Kuna Ile time, umeshachambua Games lkn Hali Iko pale pale, unaanza kwenda prediction zako😁...
Asikuambie mtu Ruangwa kuna joto. Nimefuatilia hali ya hewa maeneo mengi yenye joto Tanzania hii yani Tanga, Dar, Lindi mjini, Mtwara, Dodoma, Singida, Zanzibar, Tabora kwa wiki hii sijaona sehemu...
Dini zote ni utapeli tu, ukristu uliletwa na wakristu kutoka Ulaya na wale wakujiita wamisionari, the same to Muslim under Arabs.
Ukristu ni utamaduni wa kigeni kutoka Ulaya, na Islam ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.