Dar es Salaam, Tanzania – Vodacom Tanzania inayo furaha kutangaza kuunganishwa kwa My Vodacom App na M-Pesa Supa App, hatua inayolenga kurahisisha na kuboresha zaidi huduma kwa wateja.
Kupitia...
Hayo ndio maelezo ya Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa akirejea maamuzi ya Rais Samia.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa...
Leo nikiwa zangu nimesimama sanamu ya askari pale posta mtaa wa samora Kuna kijana mmoja alikuja akaniuliuza jina ambalo mimi sijawahi kulisikia kabisa
Niko zangu nimesimama sijui hili wala hili...
Miezi kadhaa nyuma wife alikuwa anahitaji kununua simu baada ya survey za hapa na pale mitandaon tukakutana na page za kuuza simu mitandaoni location Pemba ila wanatuma mzigo popote.
Bei zake...
Habari JamiiForums.
Manispaa ya Singida vyoo vya umma katika stendi ya zamani, vyoo havina sinki za kunawia mikono, zilizopo zimeharibika wameweka ndoo na kikombe, mtu akitoka chooni anachota...
Kwa hivi karibuni kila Mtanganyika na Mzanzibari ameshuhudia Serikali inayoongozwa na CCM ikiwa ni kinara wa kuendelea kuwasahaulisha kizazi hichi kipya historia mama ya Nchi yao Iliyo ni tunda la...
Vijana mkoani Njombe wameonywa juu ya kujiingiza kwenye biashara haramu zikiwemo za kuuza miili yao,Kutumika kusafirisha dawa za kulevya na kujihusisha na matukio ya kijambazi na badala yake...
Me sio mtaalam wa masuala ya uchumi.
Nimetembea baadhi ya maeneo Kenya kwenye harakati za kuusaka mkate maeneo kama Kisii, Migori Mombasa na Nairobi na maeneo mengine kadhaa
Lakini nmegundua...
Vijana jitahidi sana kufaya ubunifu ambao pamoja na kuburudisha jamani kaelimishe walau jambo lolote.
katika group letu la ukoo imetupiwa hii clip nimesikitika sana.
sioni ubunifu wowote na...
Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia...
1. Mwalimu Mkuu asipotoa mchango wowote anatishiwa kuvuliwa madaraka au kunyanyaswa kwa jambo lolote lile.
2. DEO wa Halmashauri hii ni mtu wa kuwatishia tu walimu na kuwalazimisha kutoa michango...
Chadema inacheza katika kiwanja cha Demokrasia kiwanja ambacho CCM haiwezi kuingiza team uwanjani, Chadema imeshikilia kurasa zote za mbele za vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi juu ya...
Huu ni msiba mzito Kwa hawa walimu, kinachofanyika ni halmashauri kutoa maelekezo Kwa wakuu wa shule ndipo mkuu anaitisha kikao cha walimu kisichokuwa na Chai Wala posho kutoa maagizo ambayo...
Watanganyika Sasa wanahitaji msaada wa Kisaikolojia
Kwanza nakubali kuwa ushoga ni jambo baya Kwa maadili yetu, na inafaa ukemewe
Siku hizi watu wengi wapo wanahusisha ushoga na jambo lolote...
Amani ya Bwana iwe nanyi,
Amini Mungu yupo na kuna kitu ananena leo kupitia mikesha yao miwili, Mwamposa kawe, Clear Malissa Ubungo Riverside.
Nawasilisha.
Wakuu,
Eneo hili nadhani lishasemwa sana mpaka nimekuwa sugu.
Au ni kitege uchumi? Madereva wafanye makosa muende kukusanya hela ya skukuu?
Mamlaka husika embu fanyeni kweli bana, hii sehemu...
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.
Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza...
Hekima ya Mungu ikuongoze kwenye comment!
Wewe kijana, mkaka, mdada, mzee, umri wa makamo na kadharika. Unapoandika au kuchangia mada yoyote juu ya unaoitwa utapeli ambao wewe unahisi watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.