Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya kuwapima moyo na kuwapa matibabu bure Wasanii wa Tanzania ili kuwasaidia kuokoa maisha yao...
0 Reactions
27 Replies
960 Views
Moyo wangu umeguswa kuwapongeza Azam Tv kupitia channel yao ya UTV kwa habari zao motomoto na za kina, zilizosheheni uchambuzi wa kiuweledi na kitaaluma. Hongereni sana na endeleeni kutuhabarisha...
2 Reactions
1 Replies
134 Views
Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi . Na ili kufika mabibo...
4 Reactions
26 Replies
754 Views
Wale hustlers Mnakumbuka baada ya tetesi Chato kua mkoa tulinunua viwanja vya beach bei Kali, Leo hii maeneo Yale yameshika hata wa kukupa milioni moja eneo la beach hayupo, Sasa na utete twende...
4 Reactions
11 Replies
413 Views
Ni mfanyabiashara maarufu Jijini Tanga aendaye kwa jina la Yanga Omary Tanga Almaarufu Rais wa Yanga Ametiwa hatiani kwa kukutwa na Heroin gramu 1,052 Mkewe na Msichana wa kazi wameachiwa na...
19 Reactions
595 Replies
76K Views
MUDA WA KUWA JUANI USIISHI KAMA VILE UPO KIVULINI,ELEWA NYAKATI ✍️ Katika siku za kuishi Duniani kwa mwanadamu kuna mpaka kufikia kifo cha asili kuna zama nyingi tunapitia ambapo zama moja...
2 Reactions
2 Replies
200 Views
SALAAM Mada yahusika hapo juu. Jana kulikuwepo mkesha ulioandaliwa na huduma ya Arise and Shine chini ya Mtumishi Mwamposa. Nilikuwa nikufuatilia matukio nikiwa nyumbani kupitia TV...
4 Reactions
17 Replies
491 Views
1. Wachaga - Kama kawaida yao sio watu wa kujisifia iwe ni biashara, maendeleo ya vijini kwao, n.k. Kiufupi hawa suala la elimu wapo Mbali tangu enzi za ukoloni, Mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo ila...
9 Reactions
128 Replies
11K Views
Inasikitisha Sana kwenye vijiwe vya kidigitali Story ni Simba na yanga Radio na tv ni kutangaza michezo na nyimbo chafu na ku promote makampuni ya betting( kamali) Mijadala ya kitaifa hakuna...
7 Reactions
9 Replies
338 Views
Kuna maeneo ya makazi tuliyowahi kukulia yaliyokuwa yanawaweka watu pamoja huwa yanaanza kupoteza asili yake kwa kugeuzwa kuwa maeneo ya biashara, unakuta majirani karibu wote uliowahi kuwajua...
13 Reactions
27 Replies
974 Views
Katika akaunti ya YouTube ya Millard Ayo, ameonekana mchungaji huyo akiongea kwa uchungu mkubwa na hasira kali mno dhidi ya wizi uliotokea kanisa la wasabato. Akizungumzia ripoti ya wakaguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
Utekwaji wa kukumbukwa zaidi ni wa Dr. Steven Ulimboka aliyeongoza mgomo wa madaktari enzi za Kikwete.... Alitekwa kisayansi kwa kujipeleka mwenyewe mdomoni mwa mwamba. Wakamchukua wakampeleka...
10 Reactions
33 Replies
1K Views
Katika giza la usiku, nyota inayong'ara angani iliongoza watazamaji wa mbali, lakini ni mfalme mmoja aliyejua zaidi ya mwangaza huo. Baltazari, mfalme kutoka mashariki, alikusanya imani na shauku...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam...
16 Reactions
109 Replies
6K Views
Mbegu mbili unaweza kuharisha mpaka ubongo 🙄😀 Wauzaji muwe mnasema kuwa tukimeza tusiende kazini
26 Reactions
104 Replies
6K Views
Anonymous (00aa)
Nimepenyezewa taarifa zenye uhakika kwamba tarehe 10 Desemba 2024 kumefanyika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi almaarufu TAFCA ambalo ofisi zake zipo Magomeni Kagera Narudi...
0 Reactions
1 Replies
172 Views
Karibuni wadau! Naomba kuuliza kwa nia njema sana maana mimi pia nina uzoefu usajili wa makampuni, jina la biashara na taasisi mbali mbali. Nina kiu ya kujua machache tu juu ya makampuni binafsi...
0 Reactions
4 Replies
393 Views
"Ooh ukienda huko utapewa jini litakalokusumbua baadae" Anayesema hivyo ameambiwa atoe sadaka ya kujimaliza, anunue mafuta na maji na mchanga huku nabii wake akimuambia "usiogope, usiogope...
2 Reactions
6 Replies
233 Views
Angalizo: inawezekana ni kweli kabisa ndege yetu 'ina mapungufu ya kiusalama', sina utaalam wa kukanusha hilo, ila mimi huwa nnatumia fursa kama hizi KUISIMANGA Afrika kwa kuacha kubeba vya kwake...
18 Reactions
73 Replies
3K Views
Back
Top Bottom