Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakati msimu wa safari za mwisho wa mwaka ukiwa umeanza, wananchi wa maeneo mbalimbali nchini wamekutana na uzoefu tofauti wa safari hususan kwa upande wa nauli. Katika miaka ya karibuni...
0 Reactions
1 Replies
151 Views
Ni ijumaa hii ya terehe 13.12.2024 Pitia hii kwa umakini sana, 1. Kama wewe kila unachofanya kinakwama au hakifanikiwi tukutane Kawe kwenye mkesha, 2. Kama wewe huna nguvu za kiume au za Kike...
21 Reactions
193 Replies
6K Views
Mdau, umewahi kuingia kwenye mgogoro au hata kupoteza ukaribu na rafiki au ndugu sababu ya kusema Ukweli? Ilikuwaje hadi mkafikia hatua hii?
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Agosti 16, 2017 jiji la Dar es Salaam na dunia kwa ujumla lilipokea taarifa ya kusikitisha ya kifo cha Wayne Lotter, Mkurugenzi wa Taasisi ya Protected Area Management System (PAMS)...
31 Reactions
196 Replies
22K Views
📚 KITABU CHA ZABURI YA 1 - 10 🗞Dondoo Muhimu unaposoma kitabu hiki chenye vitabu 5 ndani yake. (Kitabu cha kwanza Zaburi ya 1 - 41) 1. kipindi ukristo unapita kwenye marekebisho moja ya kitu...
0 Reactions
1 Replies
227 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio picha bora kabisa kwa Mwezi huu Barani Afrika kutoka Kwa Mke wa Rais mteule wa Botswana siku ya uapisho wa Mume wake. Ni picha inayoonyesha namna mwanamke huyu...
5 Reactions
75 Replies
3K Views
1. Ignore him 2. Disown him. Why Ignore him? Kwa sababu anafanya makusudi. Anacho KITAKA kutoka kwenu ni attention yenu ninyi wana familia. Hawezi kuipata hiyo attention in a valid way, so...
19 Reactions
114 Replies
4K Views
Kuna msemo maarufu hasa huku mitaani kwetu watoto wakike wakiwa wanapigana au wanagombana na watoto wa kiume, utaskia wazazi wao hasa wa kike. "Usipigane nae, huyo ni mwanamke" Kwahy kama akiwa...
0 Reactions
4 Replies
206 Views
Habari za wakati huu wana JF, Bila kupoteza muda mimi ni kijana wa Kitanzania ninayeishi nchini Kenya kwa sasa, maisha ya huku sio mbaya lakini kutokana na shauku yangu ya kutaka kufanikiwa...
7 Reactions
100 Replies
20K Views
Nimeota nimeingia katika Kanisa,wapo watu wengi mule ndani wanaabudu katika misa. Nikasimama pembeni, halafu akatokea mtu akasema,"We njoo hapa, familia yako iko huku.". Nikamfuata yule mtu mpaka...
0 Reactions
7 Replies
199 Views
Kwa kipindi cha muda mrefu niliacha kutumia JF almost 1year na baadae kurudi nikawa nimesahau password yangu, changamoto ilikua kubwa zaidi pake ambapo details zangu nilizofungulia account yaani...
5 Reactions
3 Replies
250 Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanzisha mpango wa kununua injini za dizeli ili kuhakikisha huduma ya usafiri wa reli ya kisasa (SGR) bila kikwazo endapo umeme utakatika. Mkurugenzi Mkuu wa...
6 Reactions
71 Replies
2K Views
Anonymous (2300)
Mimi ni mtoto wa marehemu ambaye alikuwa mwanachama wa NSSF amefariki akiwa na umri wa miaka 57 lakini alikuwa bado hajastaafu. Marehemu hakuwa na mume, na wazazi wake wote wawili walishafariki...
1 Reactions
8 Replies
557 Views
Habarini, Nimetafakari sana na kuona ni vyema serikali ya Tanzania iachane na tabia ya kuibua miradi mipya wakati miradi mingine waliyoianzisha haijakamilika. Ninachokiona miradi mipya ndiyo cha...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Kurogwa ni kufanyiwa vitendo vya kishirikina na uchawi huku likitajwa jina lako au ikihusisha kitu chochote unachomiliki. Unaweza kurogwa kupitia kivuli, jina, nguo, chakula n.k. Laana ni maneno...
28 Reactions
144 Replies
5K Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne...
3 Reactions
79 Replies
5K Views
Nimeona video Moja nyati wawili wakiwa wanapigana, then akaja nyati Mwingine akamshambulia Mmoja Kati ya wale nyati waliokua wanapigana. Nikawa najiuliza je nyati Wana hisia kama binadamu? Kwamba...
0 Reactions
1 Replies
339 Views
Wakazi wa Masaki na Oysterbay ambao ni wapangaji kwenye nyumba za mabwanyeye wamejikuta wakishangilia na kuamshana kwenye makundi yao ya WatsApp baada ya ddola kuporomoka dhidi ya shilingi...
4 Reactions
8 Replies
526 Views
Kumekuwa na Tatizo sugu la kukatika umeme Kigamboni. Nafikiri sekta binafsi inaweza kuliendesha vizuri na kwa uweledi Mzuri hili shirika kuliko hizi adha tunazozipata hivi sasa chini ya Serikali.
1 Reactions
4 Replies
232 Views
Msomaji Husika na Kichwa Cha Habari kama kilivyo Swali langu ni kutaka kujua Je ni muda wa saa ngapi Adhana ya Swala ya Alfajiri inatakiwa kuaziniwa? Nauliza hivyo because, nilikuwa najua ni saa...
1 Reactions
34 Replies
771 Views
Back
Top Bottom