Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu, habari za mihangaiko Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili. Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani, Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu, Sawa Kila mtu ana...
28 Reactions
172 Replies
8K Views
SHUKRANI na USALITI Wapendwa marafiki wa ukurasa huu wa Kalikawe Lwakalinda Bagonza, napenda kuwashukuruni nyote kwa kuniombea na kunitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa (6 Desemba). Salaam...
3 Reactions
13 Replies
599 Views
Anonymous (b3db)
Kwa muda sasa, waendeshaji wa safari (waongoza watalii) nchini Tanzania wamekuwa wakikumbana na changamoto kubwa kutokana na tofauti za viwango vya kubadilisha fedha vinavyotumika na taasisi za...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Moja ya sifa za uongozi imara ni pamoja na UWAZI katika kufanya mambo na utoaji taarifa kwa wadau juu ya mwenendo wa shughuli na matokeo. Hata hivyo, moja ya kosa viongozi wengi WAWAZI ambalo...
1 Reactions
1 Replies
128 Views
Wakuu hope mmeamka salama. Nina jambo kidogo nahitaji ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana wa kiume ni mkaz wa Dar es salaam ila kwa sasa nipo mkoa wa pwani kibaha nimejiriwa na mtu binafsi...
15 Reactions
125 Replies
3K Views
Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya amesema: "Nimekuwa nikiwasisitiza wabunge na Watanzania kwamba elimu mbalimbali zinazotolewa na wataalam wa afya, lakini elimu anayotoa Profesa Janabi na...
0 Reactions
12 Replies
521 Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwepo wa kimbunga ‘CHIDO’ katika Bahari ya Hindi, Kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Taarifa iliyotolewa na TMA imesema mifumo ya hali...
2 Reactions
7 Replies
359 Views
MKUU wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, Farida Mgomi, amepongeza Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama ya Samia (Samia Legal Aid) kwani katika mikoa ambayo imefikiwa na kampeni hiyo imeonesha...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Kuber ilikuwa kali, ugoro wa masai ukasome...😄
7 Reactions
23 Replies
568 Views
JINSI VIJANA WASIVYOJUA THAMANI YA MUDA LIFE BEGINS AT 40.... HOW OLD ARE YOU? Life Begins at 40.... Huo ni msemo wanao Waingereza wakimaanisha maisha yako ijapokuwa yanaanza toka milele...
6 Reactions
6 Replies
543 Views
Wakuu wana jf naomba msaada wa swali hilo...nimezunguka dukani nimekuta pasi Philips made in china designed in Netherlands...je ni fake ... kwenye box lake nje imeandikwa namba 1..0rijino.
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Joseph Zablon, Dar es Salaam, Baadhi ya wakazi wa Jijini Dar es Salaam wamelalamikia bei ya Sh5,000 inayotozwa kununua kadi janja ya Mwendokasi, iliyozinduliwa jana na Waziri wa Tawala za Mikoa...
0 Reactions
5 Replies
478 Views
MBUNGE KAPUFI ATOA ANGALIZO, "MIKOPO HII MKAITUMIE KWA MALENGO KUSUDIWA" KAPUFI AKABIDHI HUNDI ZAIDI YA MILLION 600 KWA VIKUNDI 69 VYA WAJASIRIAMALI MPANDA Wanufaika wa mikopo ya asilimia 10...
1 Reactions
0 Replies
89 Views
Habari zenu wakuu. Natumaini mko salama humu jukwaani. Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Jana nilikutana na mjadala mtandaoni kuhusu uzinduzi wa kadi mpya za...
2 Reactions
14 Replies
944 Views
Wakuu habari zenu? Kuna hii miwani ya spy glasses .mtu anaweza kununua halafu unaongea yeye anakurecord kwa muda wa saa moja na robo bila ya wewe kujua . Kwa hii miwani ni rahisi sana kuchukua...
4 Reactions
11 Replies
602 Views
According to wiktionary Time refers as the inevitable progression into the future with the passing of present and past events. Kwa kiswahili Muda ni maendeleo yasiyoepukika katika siku zijazo na...
1 Reactions
1 Replies
95 Views
Anonymous (0d46)
Iringa road Dodoma kipande cha Mkonze kuanzia sheli ya Weruweru hadi Cross over ya SGR vumbi limezidi,, Mkandarasi wa SGR aliharibu lami wakati wa kutengeneza daraja cross over, naona amemaliza...
1 Reactions
1 Replies
139 Views
Jamani hali ya elimu ya juu ndiyo hiyo wafanyakazi wa vimemo wameota mapembe hawafungui library ya chuo kisa wao wameenda sabato.Hizi dharau sana aisee. Kwa stahili hii tutafika kweli uchumi wa...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Nimeamini mdomo kiwanda cha maneno Elimu huongeza busara Kulikuwa na haja gani ya kusema wazazi wake hawana elimu? Kwambababa yake hakusoma kabisa na mama yake ni darasa la saba B Lengo...
5 Reactions
27 Replies
867 Views
Back
Top Bottom