Nilipotaka kuthibitisha taarifa kuhusu leseni za kuchimba madini ya lithium nchini niligundua ramani ya "Mining Cadastre" haipatikani tena. (http://portal.madini.go.tz/map/)
Wizara ya Madini...
Kikiwa ndio kitovu kikubwa cha biashara nyingi za nchi kwa mizigo inayotoka nje hasa China.. Kuna wababe na mafioso ndio wamezikamata biashara za huo mji na wengine wote ni wapagazi na wajakazi...
Mzee Chifupa: Bado tunachunguza vigogo waliomwua Amina
na Prisca Nsemwa
DUNIA imetakiwa kusimama imara na kwa nguvu ili kupinga dawa za kulevya kwa kuwa zina athari kubwa kwa jamii, hasa...
Salaam wakuu, katika kujifunza kwangu nimekuwa nikijifunza Mambo mengi kuhusu uvumbuaji wa vitu mbalimbali.
Lakini kuna kitu kimoja mpaka Sasa sijakielewa?, hii ni kuhusiana na wanasayansi wengi...
Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari...
Huwa najaribu kutengeneza heading fikirishi ili tujaribu kudadisi ukweli.
Nilisikia watu wanaongea kwamba kuna uhusiano kati ya majira mbali mbali ya mwezi na akili/ubongo wa binadamu.
Wengine...
Mkristo wa kweli au unayejiita umeokoka unaenda kutafuta huduma za maombezi. Eti umemwamini Mungu lakini mahitaji yako ni mpaka tena mtu mwingine akayapeleke kwa Mungu baba yako! Una akili timamu...
Ipo hivi nina dada yangu ambaye ni mjane mumewe alikufaga 2010 akamuachia watoto wawili wadogo sasa hawa watoto kwao waligawana kumsaidia mama kulea watoto mmoja alimchukua shemeji yake mdogo...
Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati...
Nini hutokea?
Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha...
Alikuwa na kiwanja Mbezi ambacho hakijajengwa. Akaja Mzungu fulani akajenga kwenye kile kiwanja,Mahinda akamuacha Mzungu akajenga nyumba ghorofa hadi ikaisha.
Baada ya nyumba kumaliza kujengwa...
AJALI YA GARI SONGWE YAUA WATATU, YAJERUHI 15
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limetoa taarifa kuhusu ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Desemba 13, 2024, majira ya saa 12:30 jioni. Ajali hiyo...
Naomba msaada. Mimi niliomba passport ya kusafiria trh 30/03/2023 pale ofisi kuu ya Uhamiaji Kurasini. Nilimaliza taratibu zote za malipo, kupiga picha, Fingerprint na yule ofisa wa Uhamiaji...
Jana nilitongoza mke wa jirani hapa tulipopanga leo kanipita bila kusalimia hapa nilipo kichwa kinawaka sijui kamwambia jamaa? Akijua itakua mbaya kwa maana tunaheshimiana sana.
Nyege mbaya sana
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amekanusha taarifa za kwamba Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapanga kununua injini zinazotumia umeme na diseli ili kuisaidia treni ya SGR umeme...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka...
Nimejikuta nawaza hivyo. Mawazo yangu yasipigwe rungu. Nieleweshwe kwa upendo!
Dini mbili tu duniani, kati ya mamia ya dini zilizopo mpaka leo, Ukristo na Uislam, waumini wake wanaamini kwamba...
Huu ni uchonganishi wa wazi kabisa kati ya serikali ya CCM na wapigakura wake. Kama mmeona kuna umuhimu wa watu kupata vipimo basi fanyeni kwa wananchi wote. Ina maana mtu kama Giggy Money ana...
Tunajua akili za TAHOSSA zinakuwa kama zimewaruka, mwezi huu wakuu WA shule wa msingi na sekondary watakwenda dodoma wana ajenda zao zilezile hawana jipya Ila ninawapa tu tahadhari Waache kutumika...
Kuna Daladala moja inayofanya safari zake Kijichi Spice kwenda Darajani imekuwa na huduma mbovu kwa Abiria wake na wakati mwingine kutishia usalama wa Watu waliomo ndani ya gari hilo na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.