Habari wakuu
Bila shaka weekend kwenu imeanza salama
Twende kwenye swali husika. Kwa uelewa wangu mdogo na wale ambao hamjafanikiwa kusikika au kukutana na kitu kinaitwa
STARTUP BUSINESS...
Kufuatia tukio la mama mjamzito aliyejulikana kwa jina la Bi. Sophia Shabarula, mfugaji jamii ya kimasai, kupoteza maisha wakati akijifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa, ndugu na jamaa wa...
Kesi namba No. 32126/2024 inayomkabili Mwalimu wa Shule ya Msingi Waja, Josehat Masenema anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake (jina linahifadhiwa) imeendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu...
Habari wanaJamiiForums!
Naomba nisiandike mengi, naomba kupata taarifa kuhusu shule Turkish School of Zanzibar. Natamani kujua mazingira ya shule, ada na mengine mengi
Quran inasema injili na torati ni neno la Mungu na inakumbusha kuwa hakuna mwanadamu anawezakubadili neno la Mungu.
Unaposema Bibliia iliaribiwa unakuwa kinyume na Quran, maana kwa mujibu wa...
Hakuna fao linaloitwa la kujotoa Bali Kuna fao la kukosa ajira. Hili Kila mtu anaweza kupata Kama ifuatavyo:-
KWANZA, fao la kukosa ajira linalipwa kwa mwanachama ambae hauafikisha umri wa miaka...
Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo cha DIT tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi ya mkopo wa Chuo...
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inakuja na mpango wa uendelezaji upya eneo la Sinza jijini Dar es Salaam (Sinza Redevelopment Plan 2024 - 2044.).
Hayo yamebainishwa leo tarehe 17...
Serikali ya Manispaa ya Jiji la Tokyo Nchini Japan inatarajia kuweka ratiba mpya ya kazi kwa wiki nzima kwa Wafanyakazi wa Serikali ambayo itaweka bayana kwamba siku za kazi sasa zitakuwa nne tu...
Habari zenu,
Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF...
Mh Nape Nnauye Watanzania wako wana uelewa mkubwa sana kuhusiana na maswala yote ya faragha, ndio maana hakuna Kibandaumiza chochote kinachoonesha video za ngono na wala hakuna sehemu yeyote ya...
MABORESHO YA MITAALA AMBAYO YANAENDA KUBADILISHA MFUMO WETU WA ELIMU:
1.Mtihani wa darasa la Saba utafutwa.
2.Mwanafunzi akianza darasa la kwanza lazima amalize Kidato cha nne.
3.Kutakuwa...
Habari Wana Jamvi,
Wakubwa Zangu Shikamoo.
Natumaini Mungu Anabariki kwa Kila Changamoto mpya mnazopitia
Naombeni Ushauri, Maoni, Kujuzwa kuhusu Hali Nayopitia kwa sasa
Nimekumbwa na Tatizo La...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema kati ya Julai 2023 hadi Juni 2024 imefanikiwa kutatua migogoro 258 ya malalamiko kuhusiana na sekta inazozisimamia.
Hayo...
DC LINDI AMULIKA MIRADI YA ELIMU, ASISITIZA MUDA, UBORA NA THAMANI YA FEDHA
Mkuu wa wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva amesisitiza Miradi ya elimu kukamilika kwa wakati, Ubora na thamani ya fedha...
Moja kwa Moja.
Mwaka 2015 mitaa Fulani Dar es Salaam muda huo nipo kidato Cha kwanza (Form One) nilikuwa na hamu sana ya kumililiki simu , basi nikatafuta kibubu nikawa naweka pesa za shule kama...
Unawapa taarifa ya mtandao kusuasua wanalazimisha kukuelekeza settings za simu usipokuwa makini wanajidai wameshasolve tatizo na wanakukatia simu
Kwa yule ambaye yupo makini anawabananisha...
Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga.
Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.