Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote. Baada ya...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
Wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Njelela iliyopo Kata ya Mundindi, Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe wamekuwa wakilalamikia michango inayochangishwa shuleni hapo kuwa imekuwa ni kero kutokana...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu, Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu. Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti.. Mbona kama hesabu haipo sawa. Soma...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Kijana wa mwaka wa kwanza Diploma katika chuo kikuu cha DIT , ajirusha toka ghorofa ya kumi mpaka chini. Kisa cha yeye kujichukua uhai hakijulikani mpaka sasa. vijana kujichukua maisha yenu...
13 Reactions
61 Replies
3K Views
Anonymous (476d)
Habari za muda huu Wanajamvi, Hii Kampuni ya TTCL ni sikio la kufa na wala halisikii dawa tena, haifanyi vizuri kwenye mawasiliano ya simu kawaida wala kwenye Internet. Mimi nipo Dar es Salaam na...
8 Reactions
74 Replies
4K Views
Wakuu! Mmemsikia Prof. Mohamed Janabi, akiendelea kutupa madini ya kuzidi kulinda afya zetu? Ila hili limeniacha mdomo wazi kidogo kuhusu kunywa juice ambayo tuaamini ni sehemu ya kuboresha afya...
15 Reactions
83 Replies
4K Views
Wakuu heshima zenu, Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam. Gari luxury kweli Gari linalofika kwa wakati Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri...
7 Reactions
92 Replies
4K Views
Nikisoma Historia naona upinzani wa maana waliopata wakoloni walipoingia Tanzania ulitoka kwa maeneo na viongozi hawa, 1. Mtemi Isike & Mirambo-Unyamwezini Tabora 2. Chifu Mkwawa- Wahehe 3. Mangi...
2 Reactions
2 Replies
175 Views
The superstition spread throughout Europe, where it merged with Biblical stories such as the Last Supper, in which Judas Iscariot, the 13th guest, betrayed Jesus before his crucifixion on a...
1 Reactions
1 Replies
230 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni Jim reeves: •Seno Santa Claus •Jingle bells •Silent night •Mary's boy child SILVER BELLS: "City sidewalks, busy sidewalks Dressed...
3 Reactions
8 Replies
485 Views
  • Closed
Haya huu ndio ujumbe Kwa wale ambao mnadai wake zenu ni waaminifu , kiufupi hakuna mwanamke ambae hachepuki ,ni vile tuu anajitahidi kukuficha usijue. Ishi na mwanamke Kwa tahadhari na muone kama...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Sr. Amabaye alikuwa mhasibu mkuu bugando, amejiuwa kwa kujirusha gorofani, Mkurugenzi wa fedha na mpango katika hospitali ya Rufaa Bugando, mtawa Suzan Bathlomeo amefariki dunia baada ya...
13 Reactions
338 Replies
102K Views
Habari wana JF wenzangu, ni kwa zaidi ya mwaka sasa nimekuwa nikifika kwenye Hospitali ya Bugando kwa ajili ya huduma za matibabu lakini nimebaini changamoto ambayo mimi kama mtu mzima siwezi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Unga umeharibu maisha ya wasanii lukuki na matajiri wengi sana wamefilisi biashara zao kwasababu ya hili pepo. Wasanii wengi sana na watu ambao shule imewapita kushoto wanadhani unga ule ambao ni...
1 Reactions
93 Replies
21K Views
Habari wakuu bila shaka mko salama. Leo nataka kushare nanyi hii stori fupi naamini itawafunza pia.Nitangulize samahan mimi si mwandishi mzuri. Mwenzenu nina mpenzi wangu ambaye zimebaki hatua...
2 Reactions
52 Replies
8K Views
Huko kigamboni maeneo ya kisiwani (kwa Steven) pameonekana kulalamikiwa sana na baadhi ya askari wa usalama barabarani kutokana na foleni ya kijinga inayochangiwa na uzembe wa Tarura/ Tanroad...
4 Reactions
54 Replies
2K Views
Nadhani wote tunakumbuka tulishirikishwa kutoa maoni ili yaingizwe kwenye dira hii, lakini cha kushangaza baadhi ya maoni hayakuzingatiwa na kuwekwa ikiwa na maana aidha yalikuwa hayana maana sasa...
1 Reactions
2 Replies
229 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa iwapo mwanaume mzunguko wa kiuno chake utazidi 40 (inchi) na mwanamke ukizidi 35 kitakuwa ni...
15 Reactions
103 Replies
3K Views
Hizi habari za jana, Mama mmoja Pemba analalamika kwamba mtoto wake, Hamida, anayesoma darasa la kwanza amebakwa na Askari Polisi, Godfrey huko Pemba Anasema yeye anakaa Police Quarter huko...
0 Reactions
11 Replies
378 Views
Huanza kama utani kabisa na bila kutarajia ni kama ajali isiyo na kinga hukuipanga wala kutarajia Siku mbaya JF inaweza kukuta kwenye post! Unaweka uzi wako mzuri tu halafu anakuja mtu huko na...
54 Reactions
373 Replies
13K Views
Back
Top Bottom