Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa...
Wakuu katika kupita pita mitandaoni na leo ndio najua kuwa kuna eneo hapa duniani huwa inanyesha mvua ya samaki.
Eneo hili linaitwa Yoro, nchini Honduras, Central America, na tukio hili la ajabu...
Habari za jioni wana jamii naomba msaada kwa mtanzania yeyote aishie dubai kwa mtanzania yeyote atakaye guswa kusaidia awe wakike au wakiume naomba aniambie nimtafute kupata huo msaada.
Msaada...
Pongeza kwa kuamua kutumia haki yake ya kikatiba, ila natoa angalizo kwa Lisu awe makini sana kuanzia sasa, maana chama cha chadema demokrasia yake ipo kwenye makaratasi sio kwenye uhalisia...
Taarifa za uhakika zilizolifikia Gazeti hilo zinaeleza kuwa daktari huyo ameajiriwa kama Daktari bingwa wa moyo (Cardiologist) na anafanya kazi katika Hospitali ya Mkoa Morogoro. Nyaraka za NECTA...
Nimesikiliza viongozi wa serikali wakiongeoa kwenye msiba wa anayedaiwa kuwa mtumishi wa TRA aliyefariki katika tukio lililohusishwa na utekaji. Viongozi walijikita kuongelea yaliyotokea hapo...
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, akijibu hoja ya Mdau kuhusu uhana wa Maji Kijiji cha Bukundi, amesema Taarifa hiyo sio ya kweli katika muktadha wa uhalisia ulivyo katika Mradi huu uliopo mkoani...
Aya hizi ni muhimu sana kwa Muislamu kuzisoma pindi anapotaka kulala.
Huleta ulinzi na Kinga dhidi ya Shari za usiku za mashetwani, majini na watu biidhnillah.
Kama unawatoto ambao wamenyanyukia...
Paka huyu kazidisha umalaya usiku nakosa usingizi maana analeta wanaume wa kila aina nyumbani mbaya zaidi anagonganisha wanaume na anasabisha ugomvi nyumbani badala ya raha inakua karaha ni vita...
Gerald Ibrahim maarufu kama SERIKALI ni mkulima na mfanyabiashara pia ni mkazi wa Kijiji cha Mpeta, Wilaya ya Uvinza, Mkoani Kigoma.
Mwaka 2018 yalitokea mapigano baina ya wananchi na Jeshi la...
.. Umetuachia mijadala na sogozi kila kona!
Wengi hatukukujua kabla na hatutaweza kukujua zaidi ya haya tutakayoyasoma na tunayoyasoma mitandaoni sasa. Umeitwa chizi, umeitwa mpoteza kumbukumbu...
SHERIA NA TARATIBU ZA KIMFUMO HAZIANGALII MTU KWA KIGEZO CHA HALI YAKE
YA KIUCHUMI
AU KICHEO
TUKO SAWA
Nilisikika huko ndotoni nikiwa nakoroma kukemea maovu na uonevu wa kuwachukulia hatua...
Wananchi wa kijiji cha CHEKERELI Kata ya Mabilioni Wilayani Sam,Mkoani Kilimanjaro, wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa zaidi ya miaka 30 ambapo kutokana...
Wandugu maisha ya pombe ni mazuri sana yani ukiwa na stress ukinywa tu kila kitu kinakaa poa sana yani unasahau kila kitu ***** binafsi nikilewa nasikia burudani sana ila zingatio usinywe kupita...
Points zangu ni zifutazo
1. Pombe
Inamaliza Sana Hela hasa ukinywa za kampani za kuzungusha yule mupe yule muruke ila bia za kunywa mwenyewe hazifilisi hata kidogo kwani huwezi kuchoma laki Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.