Nakumbuka hivi karibuni Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilitangaza kufungia jumla ya Application 69 zilizokuwa zinatoa mikopo kidijitali bila leseni.
Hatua hii ilikuwa ni muhimu katika kudhibiti...
Kwanza hakikisha unampunguzia majukumu maana hutafuti mtumwa, nunua baadhi ya mashine mf. Mashine ya kufulia, zipo za laki 6 nzuri sana, mashine ya kudekia zipo za laki 4 nanusu nzuri sana...
Aslaam,
Wakuu,
nimewaza hapa juu ya haya mawazo ya WATANIONAJE, WATANIFIKIRIAJE na WATANICHUKULIAJE namna yanavyotufelisha wengi katika kufanya maamuzi.
Miongoni mwa mawazo yanayobomoa VIJANA...
Habari wakuu,
Niende moja kwa kwa moja kwa mada..
Nionavyo sasa, kuna upepo unaovuma, upepo huo ni wa kila mtu anataka awe tajiri, yaani awe na pesa mingi.
Kiu ni kubwa ya watu kutaka kuwa...
Kwa hesabu nilizopiga, endapo itatokea nikawa naingiza chini ya laki 5 kwa siku, basi naweza kudhalilika hapa mjini.
Nimejaribu kutafakari, shida ni michepuko, watoto wengi au ni nini?
Au ni...
BOT walitoa tamko kutoitambua baadhi ya kampuni za mikopo online,nakuelekeza ziache operations zake.
Mbona bado zinafanya kazi na msg bado zinatumwa Kwa watu? Hii inamaanisha nini wakuu?
PIA...
Naombeni majibu tafadhali!
1. Mtu asiye na taaluma ya madini anaruhusiwa kumiliki leseni ya aina hiyo?
2. Utafiti wake utamnufaishaje?
3. Endapo utafiti wake utamwezesha kugundua mahali penye...
Hey wanajamvi heri ya msimu huu wa sikukuu na tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka, naamini pilika zinawaendea vizuri kabisa.
Kwa sisi tunaopata nafasi ya kuzunguka sehemu tofauti tofauti ndani ya...
Wahubiri wanatumia watu kua mtaji wao, na kumekua na mahubiri ya kuhubiri mafanikio, na Kuna utapeli unaombatana na Dini, wahubiri wanajinufaisha kupitia Fedha za waumini wao.
Jopo kubwa...
Mahakama ya Hakimu Kisutu iliyopo Dar es Salaam, imeahirisha kesi inayowakabili wamiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka eneo la Kariakoo hadi Januari 13, 2025 kwa ajili ya kutajwa.
Kesi hiyo...
Juzi kati nilikuwa katika mishe zangu za harakati za kupambania mkate wa kila siku ambayo ilihusisha uuzaji wa nyumba. Biashara ikafanyika vizuri na mwisho wa siku dalali akaondoka na Shilingi 10...
Tunamshukuru Mw/M kwa uzima na afya
Hali ya ajira na mfumo wake wa kuijiri kwa nchi yetu bado sio wa kuridhisha sana,mamia ya wanachuo wameendelea kusota mitaani kwa ukosefu wa ajira ,miundombinu...
Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia!
Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano!
Naangalia uaminifu katika Angel ya...
Hukumu imetolewa na Jaji Laila Mgonya wa Mahakama Kuu baada ya kuridhika na ushahidi kupitia mashahidi wake 32 ambao umethibitisha washtakiwa walitenda kosa hilo.
Mwanaharakati wa ujangili na...
Mitume wa Mwanzo Walivyoteswa na Kuuawa
Petro
Mtume Petro alikuwa kiongozi wa kanisa la kikristo. Alikuwa ni mvuvi kabla Yesu hajamteua kuwa mwanafunzi wake.
Aliuawa huko ROMA, ITALIA.
Alipata...
Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri!
Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake...
Mara ya kwanza kanipigia bi dada mmoja anasema ananiona nimekaa restaurant moja hapo Mlimani City. But i am not there. Nipo almost 10 kms from there nikiwa sijatoka hata nje ya hapa nlipo.
Saa...
Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo.
Wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa...
Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa Kariakoo aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa...
Nichukue fursa hii kwanza kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kushika nafasi ya Waziri wa Ujenzi. Ni imani yangu kuwa Mhe. Rais kakuamini katika utendaji wako wa kazi na nina imani kuwa utamsaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.