Maafisa Kilimo na Maafisa Ugani wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuwaelimisha wananchi kuhusu matumizi sahihi ya viuatilifu kwa lengo la kulinda afya za walaji na kuwaepusha na Magonjwa.
Mbunge wa...
Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga.
Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo.
Ni serikali ambayo...
MBUNGE DAVID MATHAYO ATOA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI KITAMRI
Shule ya Msingi Kitamri iliyopo katika Kata ya Stesheni, wilayani Same mkoani Kilimanjaro inakabiliwa na Uchakavu wa...
Licha ya wahusika kujenga mabwawa eneo la Mabibo kwa lengo la kuweka usalama wa kuhifadhia majitaka yanayodaiwa kutokea viwandani lakini Wananchi wapo hatarini kuathirika na maji hayo kutokana na...
JAMANI HVI KWELI VIONGOZI WETU WA JIJI HILI MMESHINDWA KUSIMAMIA UCHAFU?
Kuna mitaa ya katikati ya kkoo ,aggrey,sikukuu, yanatiririsha mavi taka kwa miezi sasa hakuna kiongozi anaye jari
mbaya...
Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale.
SOKO...
Habari za Muda wana jf na natumaini wote ni wazima.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Binafsi nimekuwa nikiagiza vitu online hasa aliexpress na mara moja moja kikuu. Nimetokea...
Nimepita leo kwenye soko la vyakula la Ilala Boma maarufu kama Ilala Sokoni, jamani tunalishwa uchafu hili jiji kwanza nashangaa kwa hali hii kama kweli Dar haina wagonjwa wa Kipindupindu. Wauza...
Mimi ni Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro, jamani mtaani kwetu huku kumekuwa na changamoto ya mto kujaa na kufurika maji hasa kipindi cha mvua hali...
Mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Mkoa wa Simiyu, umeendelea kushika kasi, eneo la Wilaya ya Meatu ndilo limeathirika na linaendelea kuathirika zaidi.
Jimbo la Kisesa katika Wilaya hiyo...
Zipo bendera za Taifa duniani zenye kuvutia,
Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika?
Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani ...
Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa.
Nimekuja na uzi huu ili kupata elimu kidogo kwenye hizi biashara za mtandaoni kama niza ukweli au la.
Ninataka kufanya check ya kuagiza simu aina ya...
Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi...
Uongozi wa kituo maalum cha kulelea watoto cha Bero Kids (Bero Kids Day Care) kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mgeni rasmi na wahitimu wa mahafali ya pili.
Afisa...
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Kayombo amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu kutumia lugha mbili ya Kiswahili na Kisukuma ili kuweajengea Wananchi wasijua lugha ya...
Kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wamiliki watatu wa jengo lililoporomoka Mtaa wa Mchikichi na Congo, eneo la Kariakoo, itatajwa leo Desemba 12, 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji...
Habari wana JF.
Leo napenda kuzungumzia kero ya huduma za Afya katika zahanati nyingi za mkoa wa Tabora.
Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la ufunguzi wa zahanati...
Naenda wiki sasa Mtandao wa Telegram haufanyi kazi kwangu siingii siwezi kufanya chochote una load tu kama vile sina internet.
nimejaribu simu, computer tofauti ila inakataaa, je Hii ni kwangu tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.