Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi katika Ofisi ndogo za Wakala ya Barabara (TANROADS), leo tarehe 11 Disemba...
Elon Musk amekuwa mtu wa kwanza duniani kufikia utajiri wa dola bilioni 400, hatua mpya kwa mtu tajiri zaidi duniani.
Chanzo cha hivi karibuni cha ongezeko hili ni kuuza sehemu ya hisa za kampuni...
Kwa Miaka michache aliyotawala Tanzania, hakutatokea Raisi kama Mama Samia tena! kuanzia Ujenzi wa miradi mikubwa, Ajira kwa vijana, kufungua uchumi kwa wakezaji ambao wamesababisha kuvunja rekodi...
Wamebakia wanasiasa kubwatuka katiba mpya katiba mpya,wengine fulani katekwa,wengine njaaa,wengine kitukana mitandaoni.
Upande mwengine umoja wa mataifa na waatabu kwa ujumla wameipa mamlaka nchi...
Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa imeanzisha rasmi huduma mpya ya kujifungua, huku ndugu au mweza wako akishuhudia namna tukio hilo linavyotea.
Akizungumza na mwananchi ofisini kwake December 10...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Masuala ya Afrika kutoka Umoja wa Ulaya, Hans Christian Stausboll, ambaye...
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga ameridhishwa na ujenzi wa jengo la Wizara hiyo linalojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika Mji wa...
Wana JF mmelala?
Jamani hivi hizi train zipo kwaajiri Gani? Ukiachana na SGR Kuna Train inaitwa Deluxe, watu WA kigoma mwanza Tabora mtakuwa mnanielewa.
Hii Train inaelekea mkoani kutoka dares...
Habari wandugu,
Sio mara moja nimepata kusikia kuwa nyoka hupaa kuelekea angani kutokea baharini.Mwanzo nilidhani kama "chai flani" lakini baadaye nilibahatika kukutana na mtu ambaye anasema yeye...
Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imetangaza kuwa itapiga mnada magari mbalimbali ambayo hayatumiki ikiwemo Range Rover Wagon siku ya Ijumaa Desemba 13, 2024.
Mnada huo utafanyika katika...
JINSI YA KUEPUKA KUROGWA NA WACHAWI
1. hakikisha mwilini kwako haukai na vipokezi vya uchawi, hivi vipokezi ndio receiver ambazo yan mchawi akikutupia ulogwi wake uchawi unaingilia humo
VIPOKEZI...
Kutoka kwenye korido za makumbusho naambiwa kamishna wa Polisi Tatu Jumbe ni moja ya askari polisi wachapakazi, waadalifu na wenye utumishi mzuri ndani ya jeshi hilo.
Hivyo msishangae siku moja...
AJABU LA KWANZA: Haijalishi nyoka au mijusi majike watajamiiana na madume mangapi, lakini wana uwezo wa kuamua ni yai la dume yupi ndio lirutubishwe.
Yaani, watajamiiana na madume hata mia mbili...
Ukwasi walionao baadhi ya mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya nchini umezua jambo: Watetezi wa haki za binadamu wamehoji walikopata ukwasi huo viongozi hao wa serikali.
Ni hoja iliyoibuliwa na...
Hii ndiyo picha halisi ya marehemu
PIcha ya TANZIA ni hii hapa chini
Ndugu zangu Watanzania.
Ni kweli kwamba kila kifo kina waombolezaji wake. Naomba sasa tujiulize maswali machache ili TRA...
Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa imefanikiwa kununua bunduki moja na kuanza kufanya msako wa kuua Mbwa, wanaozurura mitaani kiholela na kufanikwa kuua Mbwa 84 huku kundi la Mbwa 22 ambao...
Kuanzia utawala wa Magufuli Na huu wa Samia kuna hali moja ya kishetani sana inaendelea.
Mgonjwa wako akifa hata kwa uzembe wa madaktari utazuiliwa kuchukia mwili wa nduguyo hadi ulipe mamilioni...
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Teodora Mkunga (39), mkazi wa Lusange, Kata ya Mtombozi, Wilaya ya Morogoro, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Simon Gervas (8) kwa kumkata sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.