Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimekutana na schoolmate wangu wa primary ni kiwa mkoani miaka kama takribani 28 ilio pita, ni mefurahi kukutana nae tena sikutegemea kwasbb ni longtime sanaa tukanza kujuana zaidi kuhusu kazi...
37 Reactions
150 Replies
5K Views
Mwanafunzi anayesoma kidato cha pili mkazi wa kijiji cha Ihela wilayani Makete mkoani Njombe ameelezea tukio la ubakaji alilofanyiwa na mzee wa miaka 62; "alisema nisiogope anafanya haraka na...
1 Reactions
12 Replies
761 Views
Katika kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania, mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda pamoja na Viongozi wa dini wameitumia siku hii kufanya maombezi ya kuliombea taifa pamoja na mkoa wa Arusha...
3 Reactions
69 Replies
2K Views
Kipindi cha mwaka 2020 kuna Ndugu zangu waliokuwa Canada walikuwa wanaagiza nguo na viatu kupitia DHL Kutoka hapa Bongo na sababu kuu walikuwa wanasma Bidhaa za Za mavazi Canada ni Ghali kupinduka...
37 Reactions
128 Replies
5K Views
Awali, Mdau wa JamiiForums.com alilalamikia utendaji kazi wa TASAF Wilaya ya Songea. Alidai Moja ya changamoto ambayo imekuwa ikitokea ni baadhi ya wahusika kuondoa wanufaika kwenye mfumo kwa...
0 Reactions
9 Replies
549 Views
Tumalize maadhimisho haya kwa kuahidi kuchukua hatua dhidi ya Ukatili wa Kijinsia na kujenga Dunia yenye Haki na Usawa Sote tuna jukumu la kuhakikisha tunakuwa sehemu ya suluhisho ili kuleta...
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Hivi Wakuu! Hizi mita za maji zinazoibiwa si dili za watu kadhaa kutoka kwenye mamlaka husika jamani, maana wizi huu umetawala sana. ====== Zaidi ya mita 300 za maji zimeripotiwa kuibwa katika...
0 Reactions
1 Replies
199 Views
Kuna ukweli kwenye hili? Anasema kuwa: 1. Anasema mpaka sasa mbona tukisema tunaenda kuangalia majengo ya kale tunachokiona ni kazi ya mwarabu na mzungu, sisi ngome zetu zenye ubora kama ya...
11 Reactions
63 Replies
2K Views
Je, Professor anaweza Kuwa Chawa? Kama ndio, Uchawa unamsaidia nini kwa level ya kitaaluma aliyofikia? Je, kwake Uchawa itakuwa ni Baraka au Laana? Ahsanteni sana 🐼
2 Reactions
21 Replies
522 Views
Wadau wa mazao msimu wa korosho umeanza na umeanza vzr , nazn n vyema tukatumia forum hii kupeana update huko mnadani nini kinaendelea Naomba taarfa za bei za minada ziwe rasmi kuepusha mislidi...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Hili jambo limenikuta maana kuna ndugu yangu amefariki tangu Alhamisi iliyopita, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa...
5 Reactions
45 Replies
1K Views
Na tunavyoendelea niwajuze tu wanaenda kwenye kinyanganyiroo na members kadhàa wa nchi kadhaa. Rais atakaeenda kumrithi Hon Ndungulile atatokea Rwanda. Siandiki kwa chuki naandika kwa uhalisia...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Masheikh na vijana wa kiislam walioingia kichwa kichwa wakidhan maeneo mbali mbali ni vita ya dini ila ukweli. Leo ni ajabu neno jihad na friendly linawekwa kwenye sentence moja Wito wangu kwa...
3 Reactions
12 Replies
464 Views
Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa...
12 Reactions
271 Replies
12K Views
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Maboresho makubwa na uwekezaji unaoendelea kufanywa katika Bandari ya Dar es Salaam yamekuwa kivutio kwa mataifa mbalimbali ya Afrika na Ulaya kuja kuangalia na...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akizungumza katika mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uliofanyika katika...
1 Reactions
2 Replies
199 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imeahirisha kesi inayowakabili washtakiwa tisa wa kesi ya mauaji ya Asimwe Novart, mtoto aliyekuwa na Ualbino ambaye aliuawa na baadhi ya viungo vyake kukutwa...
1 Reactions
5 Replies
349 Views
Kwa ujumla mimi siendagi Kariakoo Siyo sehemu salama, watu ni wengi sana, hakuna parking and kuna high level of noise pollution Ukiacha hayo matatizo madogo madogo, magorofa mengi yaliyojengwa...
4 Reactions
11 Replies
536 Views
Nini maana ya maisha?, Nini sababu ya uwepo huu?, Ni ipi siri ya safari hii? Nini maana yangu? Nini sababu ya uwepo wangu? Ni ipi siri ya uundaji wangu? Ni ujinga wangu au ni hatma ya safari...
8 Reactions
65 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amewaasa watanzania kuendelea kudumisha umoja, amani, upendo na mshikamano akiamini kwa kufanya hivyo ni kuimarisha Tunu ya msingi wa maendeleo katika Taifa...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Back
Top Bottom