Kwanini ni muhimu mitaala yetu ya elimu inatakiwa kujikita zaidi kuhusu applications na si kukariri mambo chukua mfano huu👉
Tafuta aluminium foil/tin foil, kwa lugha nyepesi foil yoyote Ile mfano...
Kwa masikitiko makubwa, nawajulisha kwamba ndugu yetu Emmanuel Majura amefariki dunia. Imma alikua mwanafunzi wa mwaka wa pili, akisomea uongozaji wa Filamu Taasisi ya sanaa Bagamoyo (TASUBA)...
Habari zenu waungwana,
Leo nipo hapa kwa ajili ya maswali ambayo yanahusu mambo ya bahari tu. Mimi ni nahodha wa majahazi ya mizigo Mafia, Kisiju, Kilwa, Nyamisati na Koma.
Uliza swali...
Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja...
Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote.
Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho.
Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni...
Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??
Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.
Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao...
Dunia imewahi kushuhudia mradi mmoja wa "hovyo" sana uliokuwa unaitwa "YAS Project",ambao ulikuwa na malengo maalum ya kuwasaidia LGBTQ maarufu hapa kwetu kama "mashoga" wasio na makazi!
Kwa...
Kumeibuka wimbi la michezo ya kamali katika vyombo vya habri hapa Tz mfano BUTUA PESA (REDIO FREE & KISS FM) MCHONGO PESA (CLOUDS MEDIA GROUP) CHEZA PESA (BONGO FM) katika vyombo hivyo vya habri...
Wabunge wanne kati ya 17 waliolazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wameruhusiwa baada ya afya zao kuimarika, huku wengine wakiendelea na matibabu.
Majeruhi hao walipata ajali juzi eneo...
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwakweli mnachokifanya sio sawa, mnaingilia faragha zetu kwa kutuwekea CCTV camera kwenye vyoo vya kiume vya 'public' vilivyopo kwenye jengo la wodi ya wagonjwa wa...
Benki hii unaingia unakuta mafoleni ya ajabu ajabu. Wahudumu wapo wapo tu, wanapita pita tu mara huku mara kule. Huduma mbovu na zinachelewa.
Ipo hivi miaka nenda rudi. Kuna kipindi niliwahi...
Wakuu,
Inaonekana kama Sativa is here to stay.
Siku ya leo, Gazeti la The Guardian kutoka Uingeereza limetoa bandiko linalohusu masuala ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini
Edgar...
Hawa wadogo zetu almaarufu watoto wa 2000 wanashida kubwa sana, kizazi hiki cha 2000 ni kizazi cha ovyo kuwahi kutokea. Kwa muda sasa kimekuwa kikisemwa hasa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye...
Riyadh: Wanasayansi wa Shirika la Kimataifa linalofiatilia Haki ya Ukame na ujamgwa Duniani wametoka tahadhari Kwa Nchi ya Tanzania na South Sudan kwamba Nchi hizi 2 ndio zinaongoza Duniani Kwa...
Tunakosa hata huduma ya Bajaj na Daladala sababu ya njia mbovu, hutulazimu kutumia bodaboda na kukatisha kwenye viwanja vya watu. Mamlaka zinazohusika na Miundombinu hii ziangalie namna ya...
Nilikuwa nafuatilia kwa ufupi baadhi ya viongozi na umri wao wa kuanza kubeba majukumu ya kitaifa nikagundua walikuwa na umri mkubwa.
Kwa mfano: Juliasi. K. Nyerere alianza darasa la kwanza akiwa...
Ukienda nchi zenye maendeleo kama China,Us,France,Uk na nyinginezo huwezi kuta panga pangua ya viongozi kila siku Yaani Raisi akiingia na waziri atamaliza nae muhula wake na akizingua anatimuliwa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuondoa kwenye nafasi yake Afisa Ardhi wa Wilaya ya Korogwe, Nyambega Kichele, kwa kutokufuata utaratibu wa kutoa hati...
Bodi ya Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wameishauri Mamlaka ya Bandari Tanzania kuangalia uwezekano wa kujenga maghala ya kuhifadhia mafuta Bandari ya Mbamba Bay kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.