Haina uhalisia
Kauli yake itawafanya watu wengi waogope mazoezi
Hatuna vituo vya kutosha vya kufanya uchunguzi kama huo
Ni gharama kufanya chunguzi
Watu wangapi umewasikia wakifa kwa sababu ya...
Wakazi wa Langai wapo katika hali ya wasiwasi kutokana na kusimama kwa ujenzi wa daraja ambalo lilitarajiwa kuwa kiunganishi muhimu cha usafiri na usalama wa wakazi wa eneo hilo. Mwananchi mmoja...
Katika maisha Nina amini biashara ambayo inaweza nikafanya wewe ukatoboa kuna mwingine hawezi tobos
👉Tuendelee na moyo huo huo wa wa upendo as wanajamii!
👉Usisite kutoa mawazo yako pale mwenzako...
taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio...
Hivi kuna uhusiano gani kati ya wanyamwezi pamoja na wasukuma na zanzibar?
Au kati ya Wanyamwezi pamoja na Wasukuma na zanzibar?
Maana Zanzibar kuna idadi kubwa ya Wanyamwezi pamoja Wasukuma...
NAJUA MPO HAPA MLIOTOA MIMBA NAOMBA NIKWAMBIE KAOMBE REHEMA KATUBU KWA MUNGU
PALE MIMBA INAPOINGIA UHAI UNAINGIA NA MTOTO ANAKUWA WA MUNGU SI WAKWAKO TENA MWANAUME
WEWE UMETUMIKA TU KUTENGENEZA...
Alipokuwa akiapa kushika nafasi ya juu nchini, aliapa kulinda katiba na si ugali!
Alipowaapisha viongozi aliowateua, hawakuapa kuhakikisha kuwa ugali unapatikana bali kuilinda katiba!
Iweje basi...
Wakuu,
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini mwa bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia)...
Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa.
Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka.
Fikiria...
Wakuu!
Ile ajali ya wabunge ukitazama kama ilikuwa ndogo lakini baadhi ya wabunge hali zao bado ni mbaya hadi wamehamishiwa MOI au tuseme maombi ya baadhi a wabongo?
=====================...
Hapa siongelei zile akili za darasani au utafutaji wa hela (hii formula tu)
Nilikua na jirani yangu, yeye anafanya kazi kama mwalimu wa Kiswahili ila ukimuuliza mada yoyote juu ya sayari, anga za...
Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi.
Eneo la Mloganzila (Muhimbili) lilikuwa ni eneo...
Katika usafiri wa Sgr, umelenga watu wanafanya kazi maofisini tu.
Kwa mfano mtu kama fundi Umeme au Fundi makenika Hawa watu wanavifaa vya chuma au Mafundi Bomba.
Ukifika katika ukaguzi...
Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango...
Basi kwa kushare positive energy kama ilivyokusaidia chumvi ya mawe, wasaidie wengine ushuhuda wako na namna nzuri ya kuitumia kuleta matokeo bora.
Nyuzi zimeandikwa, makala zimeandikwa, videoz...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), leo Desemba 10, 2024 kinaungana na wadau kuadhimisha siku ya Haki za Binadamu Duniani, ambapo maadhimisho hayo yanaenda sambamba na mjadala unaoangazia...
Wakati Shule zikiwa zinafungwa kwa kumaliza mwaka wa masomo lakini kuna baadhi ya Shule za msingi zinaratibu utaratibu wa Wanafunzi kutokwenda likizo badala yake wanashinikiza kuendelea na masomo...
Mawasilino na binamu
Mimi....Hongereni binamu kwa uchaguzi huko nyumbani.
Binamu....Asante ndugu yangu ,nilikuambia hatuwezi kukubali kutangaza mpizani hata kama ameshinda.
Binamu....Zengwe...
Najua ni mtendaji mzuri haswa, naamini Bado tunahitaji huduma yake,
Toka ateuliwa kuanzia kuwa mwenezi hadi mkuu wa mkoa wa Arusha nimekuwa nikimfatilia.
Inaonekana RC Makonda ana kidonda na...
Watendaji wa serikali mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia miongozo ya matumizi ya fedha za umma ili kufanikisha mipango ya serikali inayolenga kuimarisha utoaji wa huduma bora kwa wananchi.
Wito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.