Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu wanajamvi, Poleni kwa majukumu. Leo kulipangwa kufanyika mahafali ya wanafunzi wa kidato cha sita wanaohitimu masomo mwaka huu. Habari nilizopata muda huu kutoka kwa wilayani Korogwe ni...
8 Reactions
313 Replies
76K Views
Katika kuadhimisha Siku ya Usafiri wa Anga Duniani (ICAD) ambayo kilele chake ni Desemba 7, 2024 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi amesema kwa sasa hakuna...
1 Reactions
16 Replies
767 Views
Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume Kati ya...
22 Reactions
90 Replies
4K Views
Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona...
9 Reactions
63 Replies
2K Views
Anonymous (a389)
Kwanini mfuko wa jamii wa PSSSF hauna ofisi wilayani au hata wawakililishi? Mtu unasafiri umbali mrefu kufuata huduma mpaka mkoani unatumia gharama kubwa sana
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha anaonekana kushughulika sana na masuala ambayo hayaleti tija kubwa kwa wananchi. Mkoa wa Arusha una changamoto kubwa ya maisha magumu kwa wakazi wake, hali inayozidi hata...
3 Reactions
4 Replies
355 Views
Habari katika Jamvi hili? Ni kweli tunatambua Watanzania wengi wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali, yanayoanzia uzazi, unene ulipitiliza, misuli, nyonga, vidonda vya tumbe, BP, sukari, cancer...
8 Reactions
16 Replies
681 Views
Habari Ndugu Watanzania na jamii ya ulimwengu kwa ujumla. Nichukue fursa kutimiza haki, uhuru na wajibu wa kikatiba wa kulitakia mema Taifa na watu wake. Ni muda mrefu sasa tangia Utawala wa...
4 Reactions
3 Replies
251 Views
Sasa nianze kwa kutanguliza Hongera kwa wote ambao hamkukwepa umande lakini poleni ambao mlikwepa umande kwasababu zenye mashiko kama Ada, magonjwa na kufiwa na Wategemezi hali iliyopelekea...
0 Reactions
4 Replies
397 Views
Wananchi wa kata ya Osunyai mtaa wa Ngusero wilaya ya Arusha jijini hapa wameungana kwa pamoja na kuchapisha vipeperushi mtaani vinavyoeleza kuchoshwa na uuzwaji wa madawa ya kulevya aina ya...
2 Reactions
3 Replies
256 Views
Salamu, ili taasisi iitwe jeshi means ina uwezo wa ku-access silaha mbalimbali pia Ina kikosi maalumu ndani yake. Mfano magereza wao Wana K, police wao Wana FFU na jwtz Wana makomandoo. Je...
5 Reactions
63 Replies
3K Views
Baada ya kupiga kambi hapa wilayani Kakonko, kwa wiki mbili sasa, uchunguzi wangu umebaini pasipo shaka, kwamba, Idara ya Uhamiaji, Dar-Es-Salaam; imewatuma maafisa wapelelezi wawili, mwishoni mwa...
10 Reactions
102 Replies
15K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka. Tatizo linakuja kwamba Kila mwaka Ng'ombe hupigwa na Radi huko Sumbawanga,mbona Mikoa mingine Ina wafugaji wengi lakini hatusikii matukio ya hivi? NG'OMBE...
11 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kuna hii application ya Wizara ya Ardhi inayoitwa ardhi kiganjani kuna aliefanikiwa kufungua account maana inasumbua sana sijui tatizo nini nataka nifanye maombi ya hati.
1 Reactions
2 Replies
403 Views
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amekutana na wana-jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza (Diaspora) katika mji wa London baada ya kuwasili Disemba 08, 2024 na kujadiliana mambo...
0 Reactions
32 Replies
1K Views
Nchini Uingereza, Police and Crime Commissioners (PCCs) huchaguliwa moja kwa moja na wananchi ili kuwawajibisha vikosi vya polisi. Mchakato wa kuteua PCCs ni kama ifuatavyo: Uchaguzi PCCs...
0 Reactions
1 Replies
171 Views
Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za...
1 Reactions
9 Replies
782 Views
Mimi binafsi ningemshauri, aifanye polisi isimame kama chombo huru kinachofanya mambo yake kwa mujibu wa kanuni ambazo zipo, na kisiwe chombo ambacho kinapokea maagizo kutoka taasisi zingine za...
1 Reactions
8 Replies
362 Views
Kwema Wakuu! Nimeanza kufuatilia JF tangu 2010 hivyo mpaka sasa ni miaka 12. Hivyo ninauzoefu WA kutosha na mambo ya humu ndani. Ingawaje kipindi kile yaani 2010-2013 nikiwa sekondari nilikuwa...
40 Reactions
92 Replies
5K Views
Nimejiuliza nikwamba life span ni ndogo. Au wazee walihama au wapo wapii? Wataalumu wa demographics nipe
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Back
Top Bottom