Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Huu ugonjwa ni hatari saana unaua na kukatisha matumaini ya baadhi ya watu ambao wanao ( ayo ni maneno ya watalaam wetu ) Lakini kutokana na ukweli kabisi halisi ugonjwa huu sio hatari saana kama...
2 Reactions
3 Replies
468 Views
Cc: TRA Tanzania, Dr. Mwigulu Nchemba Kuchaji kodi ya Dungu 15M na magari 50 000 tu yakaingia kwa mwaka inapata Shs 750,000,000,000// bilioni 750 tu Wakati kama itapunguza kodi na kuwa shs...
0 Reactions
4 Replies
248 Views
Anonymous (548e)
Mara kadhaa nimefika Kituo cha Polisi Kawe kwa ajili masuala mbalimbali lakini nasikitika kusema kwamba watu ambao tunafika kituoni hapo tunakumbana na changamoto ya huduma choo ambayo sio rafiki...
1 Reactions
12 Replies
634 Views
  • Closed
Wakuu kheri kwenu nyote. Naandika haya ikiwa siyo mara ya kwanza wala ya pili kuwasikia hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaweka nguzo za umeme pamoja na nyaya zake(cable). Vijana hawa haijarishi...
17 Reactions
60 Replies
2K Views
Nianze tu kwa kumuomba yyte mwenye uwezo wa kumfikishia Rais Samia hili na amfikishie. Hali ya Muhimbili inasikitisha. Na mkono wake wahitajika. Rais Samia chochote atachofanyia Muhimbili...
1 Reactions
29 Replies
849 Views
Habari zenu? Natumaini wote mko salama. Je, hii ni njia mpya ya kutengeneza kipato? Is this a new hustle? Mara kadhaa imewahi kunitokea katika simu nakuta hela inakatwa, kama vile nimeongeza...
1 Reactions
0 Replies
177 Views
Habari zenu wanajamvi, Leo nimekuja na suala hili la matumizi sahihi ya vipaza sauti nikiwa naomba mawazo yenu na hoja zenu kuhusiana na hili. Makanisani, Mikutanoni, kwenye sherehe mbalimbali...
1 Reactions
4 Replies
311 Views
Wanabodi, Nipashe ya Leo 16/06/2024 NGUZO 7 ZA MANISTATION Hili ni bandiko mwendelezo wa wiki iliyopita. Kama hukulisoma bandiko la kwanza, anzia hapa Siri ya Mafanikio Kupitia Manifestation -1...
44 Reactions
170 Replies
6K Views
Hi great thinkers, Kama mshahara kako ni kadogo na unategenmea mwezi hadi mwezi bila kuwa na marupurupu yoyote basi wewe utakufa maskini kapuku hutaweza hata kuwahudumia wategemezi wako, hutaach...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumekua na mijadala mingi ya kuhusu hii mikopo ya mitandaoni na wahanga wakizidi kuongezeka licha ya unyanyasaji na udhalilishaji unaofanywa na watoa huduma ambao hivi karibuni BOT...
6 Reactions
64 Replies
3K Views
Wazee wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania wametoa wito kuwa kuna umuhimu wa Jamii kujihusisha na Sala ili kuwa karibu na Mwenyezi Mungu na kuwa hali hiyo inasaidia kuwafanya kutokuwa na...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Magharibi Tabora, Isaac Laizer, ameonya juu ya ongezeko la matukio ya utekaji na mauaji, akiwataka wakristo kote nchini kufunga...
4 Reactions
13 Replies
396 Views
SEHEMU YA KWANZA Mwaka 2012, siku ya mahafali yetu ya kidato cha sita, nilipatwa na tukio lililobadili mwelekeo wa maisha yangu. Ilikuwa ni siku ya shamrashamra zisizo na kifani, tulipendeza sana...
24 Reactions
213 Replies
28K Views
Ni jamaa katueleza hivi punde hapa Brazil Kibo na ameonesha na picha inasadikiwa ni Dereva Ngoja nifatilie zaidi nijue huyu anayesimulia ni Mtumishi wa wapi Lakini endeleeni kuichukulia kuwa ni...
12 Reactions
82 Replies
4K Views
Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania. Leo...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Amani kwenu watumishi Leo kwenye matembezi ya Aman kule Arusha yalikuwa yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha yalishilikisha viongozi wa dini, lakin cha ajabu katika matembezi hayo sijamuona...
2 Reactions
9 Replies
440 Views
Wakuu jana nilileta story kuhusu dada yetu aliyerudi nyumba baada ya kuacha utawa leo tulienda parokiani baada ya kuitwa na parokia na mama mkubwa wa shirika lao la usister aisee kumbe dada...
4 Reactions
21 Replies
860 Views
Kuna haja kama jamii kuwaangalia upya vijana wa Arusha hasa wa kipindi hiki. Kuna vitu wanafanya japo mwengine watasema ni usasa ila naona kama kuna shida na wanahitaji ushauri kuwarudisha kwenye...
48 Reactions
310 Replies
16K Views
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameahidi kuwahudumia kimahitaji watoto wawili wa marehemu, Amani Kamguna Simbayao, aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), aliyefariki Dunia...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Ukosefu wa maji safi na salama kwa sisi Wakazi wa Kata ya Kijombe, Wilayani Wanging'ombe imekuwa kero kubwa sana kwetu. Kuna kipindi unapita mwezi mzima maji hayajatoka Bombani, hivyo...
0 Reactions
7 Replies
667 Views
Back
Top Bottom