Askofu Kakobe aliyasema hayo 20.04.2014,Mungu ndiye aliyezigawa nchi na kuweka mipaka(MATENDO YA MITUME 17:24,26).Hivyo Tanganyika ni urithi tuliopewa na Mungu ili iwe urithi.Na kwahakika...
Wakuu
Mkuu wa Mkuo wa Arusha amegiza tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe moja tu kwamba; "Tumekuli kuendelea hivi mpaka mwaka mpya (2025) unapoingia? Au tunataka...
Kwa siku za hivi karibuni kuliripotiwa tukio la Mwalimu Josehat Masenema wa Shule ya Msingi Waja iliyopo Geita Mjini kudaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake, kutokana na vyanzo mbalimbali suala hilo...
Zaidi ya mara moja kiongozi wake muandamizi ambae pia ni makamu mwenyekiti wa Taifa wa chama hiki amebainisha wazi na kulalamikia jambo hili baya kabisa, linalokwamisha mambo mengi sana kusonga...
Wakuu
Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie, ametoa neno kwa wakazi wa Mkoa wa Arusha na kwakipekee kwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Paul Christian Makonda akimuahidi kula mema ya nchi.
Meet the offer you can’t refuse. Whether you need a blog, personal site, safari and tours site, booking site, project site, academic site, construction & engineering site, online shop or online...
Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo.
Wanawake hawa, wanaojishughulisha...
Je, unajua kwamba "Barabara Kuu ya Kwenda Mbinguni" Njia ya Kati ya 80 (I-80) ni mojawapo ya barabara kuu za kati ya majimbo nchini Marekani, inayopitia nchi kutoka mashariki hadi magharibi...
Wakuu eti kuna ukweli hii miaka tuliyonayo sasa kwa mfano mwaka huu wa sasa yani 2024 ndio umri halali wa Bwana wetu Yesu Kristu (Neema na amani iwe juu yake!)
Yaani miaka hii tuliyonayo ilianza...
MKURUGENZI wa Miradi ya Green Faith Duniani Meryine Warah amewashauri viongozi wa madhehebu mbalimbali nchini kutofumbia macho vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyojitokeza katika...
Wadau habari za muda huu
Hili suala la Polisi kutuomba gharama za kumkamata mtuhumiwa kisheria likoje?
Kwanini gari la polisi halina mafuta muda wote mpaka pale tu raia atakapoenda kuhitaji...
Hivi karibuni, China imekabidhi funguo za jengo jipya la Bunge la Cameroon kwa Spika wa Bunge hilo, Cavaye Yeguie Djibril katika hafla iliyohudhuriwa na maofisa wa serikali, wanadiplomasia, na...
Katika maisha hua akili yetu inazidiwa na mambo lukuki, kiasi kwamba hueza kupoteza kumbukumbu ya jambo fulani ambapo likapelekea kupata hasara kubwa.
Kwa mfano, mtu hueza kusahau mzigo kwenye...
NMB Bank nyie ni taasisi kubwa hapa nchini, kila siku mnajigamba kuwa ni Benki kubwa kuliko zote hapa nchini.
Ni kweli nyie ni wakubwa, nasi wateja wenu tunakubali hilo, ila Kwa upande wetu...
Ujenzi wa Kalavati umetelekezwa, Mkandarasi alianzaje kukata barabara wakati hayuko tayari kujenga? Mamlaka husika TARURA iko wapi? Wananchi tunateseka sana tunaoipita barabara hii kuelekea...
Kwakuwa hakuna nchi inayoutwa Tanganyika, serikali isipoteze fedha kila mwaka kuandaa sherehe za uhuru wa nchi hewa.
Pia wafanyakazi waende kazini kama kawaida maana kukaa nyumbani kwa kisingizio...
Ni hiyari sio lazima lakini ni muhimu sana, my friends ladies and gentlemen.
Wazo hili limenijia baada ya kuona mateso ambayo wengi tunayapitia tunapokumbwa na dhahama za maradhi mbalimbali, na...
Kama kweli mnasema waumini wenu wanapotoa fedha zao wanamtolea Mungu, mbona asilimia kubwa ya fedha hizo mnabaki nazo wenyewe na kuwafanya kuwa mabilionea ilhali hakuna muumini yeyote anayekuwa...
Wiki hii nilifika kijiji cha Kinole kuangalia uwezekano wa kununua mananasi na kuyasafirisha, kipindi naendelea na urafiti nikiwa na vijana kadhaa wenyeji wa hapo nilibaini uwepo wa mpasuko mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.