Kwa kile ambacho hakikutarajiwa na wengi Ni suala la wamiliki wa Shule za Binafsi ikiwemo Tusiime ambayo inamiliki Tusiime nursery, primary na secondary kukaidi kulipa mishahara ya watumishi wake...
Serikali imeifungia kuandikisha wanafunzi kwa vidato vya kwanza na tano shule ya Al Muntazir iliyopo jijini Dar es salaam kwa kupandisha ada kinyume cha taratibu na Wizara ya elimu.
Pia shule...
Ni kwema wazawa?
Ninasafari ya kwenda either Belgium, German, Holland, Sweden e.t.c yani almost Western Europe huko nina project yangu naipush na ninatakiwa kufika huko niianze from scratch but...
Watu wa dini asilimia kubwa hawafanikiwi Kwa sababu zifuatazo .
Huu ulimwengu unajiendesha wenyewe .
Unachobidi ni kuupelekea ulimwengu ambacho wewe unahitaji ili uweze kukipata .
Mfano...
Leo ni 9 December ni sikukuu ya uhuru wa nchi yetu Tanzania ni sikukuu ambayo tunakutana watu wote kwa dini zote na sio sikukuu ya kidini hii ni ya wananchi wote.tofauti kabisa na ilivyo unakuta...
Sisi wakazi wa Kijiji cha Bukundi Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, ambapo Serikali ilitekeleza Mradi wa Maji ambao tuliambiwa thamani yake ni Sh. Milioni 500 kisha ukafanya kazi kwa muda wa miezi...
Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na...
Tujikumbushe, projects kadhaa ambazo Mchungaji Dkt. Kimaro amezifanya akiwa Mchungaji Kiongozi, KKKT Usharika wa Kijitonyama,
1. School of Healing (Morning & Evening Glory) -Youtube Channel...
Waziri wa fedha Dr Mwigulu Lameck Nchemba leo tarehe 8/12/2024 ameongoza waombolezaji na ndugu wa marehemu Amani Simbayo katika kutoa heshima za mwisho kabla ya mwili kusafirishwa kwenda Malinyi...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema...
Kwa jambo la kutekwa na kuuawa Mzee Kibao, naomba mjiuzulu ili kulinda heshima yenu katika jamii na kama sehemu ya uungwana.
Yaani Raia wa Tanzania anatekwa na watu wanaojitambulisha kama police...
Kwa mantiki hiyo, saa zote na mifumo yote ya utunzaji muda ibadilishwe, sioni ulazima wa masaa kuendana na mzunguko wa jua.
Jua lizunguke kivyake ila sisi tutahesabu masaa yetu kivyake, masaa 24...
Leo tunaanza rasmi Siku 16 za Kampeni Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia, tukiungana na dunia kuendeleza harakati za kumaliza ukatili dhidi ya wanawake na wasichana.
Kaulimbiu ya mwaka huu, ‘Towards...
Kwa mujibu wa takwimu za kibiashara,Rwanda imepunguza kuagiza bidhaa kutoka Tanzania Kwa takribani asilimia 60% na kuanza kuagiza bidhaa kutoka Kenya Kwa Wingi zaidi.
Yaani Kenya ambayo Haina...
Kwa jinsi ilivyo wizara ya mambo ya ndani kuwa na hekaheka za matukio ya kihalifi nadhani wizara ya mambo ya ndani ilipaswa iwe na mtu mkali. Ukali wenye maana na kwenye mambo ya msingi.
Kimsingi...
Nlikuwa natafuta kagari kadogo kavits kwa ajili ya shuhuli za kaz kuzungusha oda mjini nikaweka bejeti nitafute kagari cc ndogo ili kanisaidie kusambaza oda zangu hata kigari cha 4.5 m sawa...
Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.
Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya...
Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.
Hata hivyo baada ya muda mchache...
Habarini JFcians!
Kutokana na mitazamo ya wengi kuhusu watu wa pwani, watu wa pwani wanachukuliwa kama ni weak kiakili na hata kiuchumi.
Jambo linalonishangaza mpaka leo hii ni hili la Mkwere na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.