Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa kuwa hii sheria imeshaanza kutumika sioni sababu ya kumfumbia macho huyu Balali wa Twitter. Tunajua Balali ameshakufa, sasa anachokifanya huyu wa Twitter ni upotoshaji na kama mtanyamaza basi...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Tanzania ni nchi tajiri katika rasilimali asili, ikiwa na madini mengi ambayo yanaweza kuleta utajiri mkubwa kwa taifa na wananchi wake. Hata hivyo, hadithi ya utajiri wa madini nchini imekuwa na...
1 Reactions
1 Replies
494 Views
Anonymous (612b)
Napenda kuwasilisha malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara ya Kigamboni/Ferry - Cheka kuhusu hali mbaya ya barabara hii, hususan vipande kadhaa ambavyo lami imekwanguliwa kwa lengo la...
1 Reactions
0 Replies
126 Views
Mimi ni Mfanyabiashara wa Soko Kuu la Chifu Kingalu ambalo lipo Manispaa ya Morogoro, katika soko hili kuna changamoto kubwa hasa kuharibika kwa taa, swichi za feni pamoja na masinki ya kunawia...
1 Reactions
1 Replies
307 Views
Hifadhi ya Mlima Lihanje ni chanzo pia cha maji kwa Wakazi Kata ya Kilagano, Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Pamoja na faida hiyo kuna uharibifu unaoendelea wa kuendesha shughuli za kilimo...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Mpaka unasoma uzi huu natumaini uko njema kiafya. Siku hizi mjini wimbi kubwa lawatu wenye pesa nivijana. Vijana tupeni siri mnatoa wapi hizo pesa? Sawa unaduka ila mbona umepanga kadeti chache...
4 Reactions
26 Replies
757 Views
Kuna imani ilianzia Marekani huko miaka ya 1960s, imesambaa hadi Tanzania, Arusha nimeona wapo na pia DSM na maeneo mengine ya nchi, hii ni imani ya Branhamites, wafuasi wa mtumishi mmoja wa Mungu...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakubwa wawenzangu nawasalimia Nimepokea simu asubuhi ya leo kuhusu mwanangu wa kiume nimeabiwa alikuwa klabu jana usiku, hulitokea ugomvi na mwezake,walikuwa wanagombania wanawake Purosipa...
17 Reactions
67 Replies
2K Views
Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Msikilize👇 https://www.facebook.com/reel/862238082613098
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko...
17 Reactions
90 Replies
2K Views
Naandika hii mada nikiwa na uchungu moyoni. Sasa hivi nina miezi kama 4 hivi natumia Daladala kwenda na kurudi kazini na mara chache, tena chache sana huwa natumia bodaboda kazini mpaka home...
89 Reactions
212 Replies
14K Views
============= Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA...
32 Reactions
342 Replies
15K Views
Hali hii imezoeleka katika manispaa tajwa hapo juu! Na kugeuka maficho ya vibaka na machimbo ya watenda vitendo haramu! Ni rai yetu kwenu uongozi wa manispaa. Kuja na mpango mkakati wa...
1 Reactions
0 Replies
174 Views
Fatma Awadh mkazi wa Kariakoo amemshukuru Rais Samia na aliyekuwa waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa (sasa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) baada ya kushinda kesi ya Mirathi ya...
25 Reactions
181 Replies
6K Views
JUST LET HIM BE THE MAN... If lots of women will allow their men be the men in the marriage, no one will end up divorced. A lot of women marry men then turn them to women after marriage. They...
5 Reactions
1 Replies
293 Views
Ingekuwa maoni yangu! Ningeshauri nafasi ya IGP ateuliwe mama mmoja anaitwa SUZAN! Huyu mama ukiweka pembeni madhaifu ya kimfumo, anaouwezo mkubwa sana wa kusimamia maswala ya usalama wa raia na...
10 Reactions
60 Replies
5K Views
Jamani hebu tujaribu kuorodhesha kazi zenye laana hapa Tanzania kutokana na majukumu ya kazi husika. Tusiweke kazi haramu kama uchangudoa, ujambazi, n.k. Tutaje zile ambazo ni halali.
2 Reactions
13 Replies
742 Views
Siku za hivi karibuni ukiwa na mkopo kwenye ulikopa kwa kutumia namba yako ya NIDA basi upati mkopo kwenye Bank. Je ni sahihi kunyimwa mkopo wa bank eti ulikopa Kwa kutumia NIDA namba tena...
2 Reactions
9 Replies
312 Views
Vodacom Tanzania Tafadhali, nime subscribe kifurushi cha sms 10,000 kwa sababu ninahitaji kutuma sms kwa watu wengi..ajabu nikituma msg chache tu mtandao unablock. Naambiwa mpaka niombe huduma...
1 Reactions
1 Replies
198 Views
Back
Top Bottom