Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ikiwa muda si mrefu tumetoka kuadhimisha miaka takribani 30 tangu masuala ya jinsia kuanza kutafutiwa suluhu huku wakiegemea kwa jinsia ya kike zaidi. Wanaume wanaonekana kama maadui na wasiofaa...
2 Reactions
3 Replies
206 Views
Anonymous (dc83)
Hii ni kituo cha afya Kibiti, Halmashauri ya Kibiti
1 Reactions
0 Replies
83 Views
Cult ni aina ya utapeli unaofanywa kwa mgongo wa dini/imani. cult yoyote inakuwa na dalili kuu hizi hapa: cult yoyote lazima iwe na kiongozi mkuu mmoja na hakuna kinachofanyika bila ruhusa ya huyo...
14 Reactions
79 Replies
2K Views
Kwa wiki nzima hii nimekuwa nikiona vikosi vya jeshi wakitembea mtaani hapa Tabora, wakiwa wameshika bunduki, wakitembea kwa mstari, ukipita maeneo ya kule Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wao ndio...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Nchi 20 zenye idadi ndogo ya vifo vya kina mama wakati wakujifungua Africa (2020), pia inaitwa maternal mortality rate (MMR) ni njia nyingine ya kupima maendeleo ya nchi. Namba baada ya jina la...
1 Reactions
0 Replies
139 Views
Kuna watu wapo wakilalama naakufikia kusema wanajuta kuzaliwa watanzania wanatamani wangezaliwa nchi zingine bila kujua kila mwanadam amepangiwa ridhiki yake hapa Duniani na vyote tunavyoangaika...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Sehemu ya majengo ya Kiwanda cha Chemicotex kilichopo Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam yanaungua na moto muda huu. Kiwanda hicho kinashughulika na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
POLICE na Magereza wote ni Wizara Moja, inasemekana huko kunako Prisons wamesafirishwa toka ifunda hadi Iringa mjini kituo cha POLICE. Prisons walikuwa safarini kwenda Mbeya wakitokea Kagera...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Kwa mujibu wa Ofisi ya Takwimu ya Taifa ya Takwimu (NBS) kulingana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 inaonyesha Mkoa wa Tabora unaongoza kwa watu wake kutokujua kusoma na kuandika jambo...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
SIJDA ni neno la kiarabu linalomaanisha kutukuza, kunyenyekea au kusujudu, katika kutohoa unaweza pia kuita SAJADAT yaani wingi wa Sujud au Sajda Hivyo Binti anayeitwa SAJDA maana yake ni...
12 Reactions
134 Replies
4K Views
Nimefunga, nimeshirikisha, nimeomba alfajiri lakini bado tabu ninayopitia inaendelea kunitafuna. Tusaidiane wakuu.
6 Reactions
33 Replies
584 Views
Baada ya kuanguka kwa Utawala wa familia ya Asad wa miaka 54 tangu Baba ake Asad kuchuka madaraka Syria mwaka 1970. Waasi wamtenganza ya fuatayo ya kujifunza: 1. Nyie wanajeshi msivamia Imani ya...
1 Reactions
2 Replies
224 Views
Kama nilivyojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu kwa waliowahi kufika nje ya nchi na hata ambao hawaja wahi pia kufika. Naomben msaada wenu nataka kwenda Dubai au Canada about education...
1 Reactions
77 Replies
19K Views
Kiukweli wafanyabiashara na wakazi wa Kaliua na Urambo tunateseka sana.. umeme kwa siku unakatwa zaidi ya mara nne na kiukweli haukai zaidi ya saà sita. Kibaya zaidi TANESCO huku hawana lugha...
0 Reactions
2 Replies
183 Views
Timoteo 2 mstari 1 na 2 Basi kabla ya mambo yote ninasihi maombi,dua,sala na shukrani zifanyike kwa ajili ya watu wote ,kwa ajili ya wafalme na watu wenye mamlaka,ili tupate kuishi maisha ya...
1 Reactions
0 Replies
126 Views
Anonymous (b97e)
Mamlaka ziangalie changamoto ya kupanda kwa nauli holela za daladala za Buhongwa Usagara mkoani Mwanza hasa nyakati za jioni
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Amani inaanzia moyoni. Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani. Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo. Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko...
9 Reactions
33 Replies
666 Views
Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani. Now moshi ni chafu imejaaa...
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Back
Top Bottom