Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mwandishi wa vitabu na mwanasiasa nchini, Yericko Nyerere usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo mbili, ikiwemo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika. Yericko ameshinda tuzo hizo zinazojulikana kama...
8 Reactions
42 Replies
1K Views
Itoshe kusema ndugu masoud kipanya ni bonge la genius, yaani jamaa ni extraordinary mind anaejua kufikisha ujumbe kwa jamii kupitia vibonzo, anaegusa mpaka madhaifu ya viongozi wakubwa wa kisiasa...
15 Reactions
26 Replies
5K Views
Tangazo linatolewa kwamba Mheshimiwa Rais anakusudia kutwaa kwa manufaa ya umma ardhi ya ukubwa wa mita za mraba 233,000 zilizopo Manispaa ya Kinondoni na Ubungo Mkoa wa Dar es Salaam na...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Binafsi nna mda mrefu situmii (kunywa) chai kama sehemu ya mlo wangu wa asubuhi. Kwa7b CHAI imekuwa inanipa usingizi baada ya kuinywa, hivyo baada ya kunywa tu uchovu...
0 Reactions
14 Replies
584 Views
Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama, zao ambalo ni asilia kwa hali ya joto ya Afrika. Tuliiacha kwa ajili ya ugali wa mahindi...
3 Reactions
9 Replies
256 Views
Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Singida ambavyo siku kadhaa nyuma viliripotiwa kuwa ni vichafu sana vimesafishwa. Nimepita eneo hilo na sasa angalau wakati huu ukiingia maliwato hayo ya Umma...
2 Reactions
4 Replies
572 Views
Anonymous (a7cf)
Habari, mimi na wenzangu kadhaa ni mwanafunzi wa shahada za juu shule kuu ya elimu UDSM. Tulisimamia mitihani ya chuo (UE) ya kufunga muhula wa kwanza 2023/24 baada ya Ndaki ya Sayansi za jamii...
1 Reactions
4 Replies
357 Views
A). Mfanyabiasha Maarufu wa Magari nchini Ndugu Dotto Magari ameonekana kwenye mitandao akizungumzia namna Wasomi nchini wasivyojitambua Wala kutumia usomi wao kuongeza kipato. Na kutishia kwenye...
19 Reactions
153 Replies
5K Views
TAARIFA KWA UMMA Taarifa iliyo upande wa kushoto inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Jeshi la Polisi lingependa kuitolea ufafanuzi ili isiendelee kuleta taharuki ambayo si ya lazima. Ni kweli...
14 Reactions
112 Replies
5K Views
Nimeenda ofisi za TRA kufuatilia leseni ya udereva lakini nilivyofika nimeshtuka kupokelewa na mtu kwenye korido ya ofisi ananiuliza unahitaji nini? Kwa upole nikamjibu nimekuja kukata leseni ya...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Kwenye jamii kuna Ile dhab potofu kuwa kufanya Kazi ngumu, au kuteseka au kwenda kazini kila siku ndio hardworking Jambo ambalo sio sahihi. Hardworking labda kwa Kiswahili ungeita...
11 Reactions
49 Replies
931 Views
Maisha Yana siri na siri hiyo ndio maisha yenyewe. Kuna watu wamekazana kusema binadamu wote ni sawa, sijui wanajifariji na umasikini wao ama vipi? Labda kama wanamaanisha ni sawa katika maumbile...
20 Reactions
91 Replies
2K Views
Tuwafundishe watoto wetu upendo kama hazina ya maisha
1 Reactions
2 Replies
147 Views
Mwaka jana ndugu yangu kabsa wa damu alikuja na kuomba nimpatie pesa ili a bust biashara zake, kwa vile alijuwa kuwa kuna kititi nimepokea kutoka Taasis fln ya umma. Sikuweza kumnyima kwa vile mm...
16 Reactions
156 Replies
4K Views
Tunajua kwa exposure uliyopata kwa kusoma una expect vitu vikubwa huku ukisahau kwamba nidhamu ya fedha ndo kila kitu kwenye maisha ya biashara na ndo maana biashara nyingi zinafilisika Mimi...
23 Reactions
63 Replies
2K Views
Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kikosi kazi cha Fast Track wamefariki dunia kwa ajali ya gari aina ya Landcluser lililogonga kwa nyuma Lori aina Fuso. Walikuwa wakifukuzana...
17 Reactions
382 Replies
38K Views
Kwa muda mrefu sana nimekua nikishuhudia ajali za barabarani na kutokua na juhudi zozote za kielimu kutoka kwa vyombo na taasisi husika kuweka mpango mkakati wa kuzipunguza Nitakua nikiweka...
1 Reactions
10 Replies
525 Views
Nimehamia Morogoro huu mwaka wa saba,ambacho sikielewi ni manispaa kushindwa kujenga njia ya mzunguko itakayo unganisha Kihonda,Tungi, Kingolwira, Msongeni, Bigwa. Sanga sanga, Mazimbu, Kihonda...
1 Reactions
6 Replies
393 Views
Ukweli ndo huu mara tu tukiulizwa swali hili upo wapi? maswali huwa ni mengi sana kichwani. Ukiwa sehemu hatarishi hapo sasa ndo wasiwasi unakuwa mkubwa unajiuliza hivi kaniona au kaambiwa...
19 Reactions
270 Replies
4K Views
Back
Top Bottom