Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Salaam. Kwangu mimi nahisi roho ikiacha mwili basi inakutana na kiza kinene na ukimya wa maisha, nafsi na roho yako itakuwepo na inaweza kufika mbali sana, mfano inaweza kufika sayari ya Pluto...
5 Reactions
20 Replies
471 Views
Si vyema kuwa na mahaba na dini yako mpaka unapitiliza mipaka ya utimamu wa kawaida wa akili(common sense) na kugeuka kituko. Naona mitandaoni baadhi ya watu wanakazana kusambaza taarifa ya Kim...
10 Reactions
18 Replies
592 Views
Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.? Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani. Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
0 Reactions
3 Replies
243 Views
Kipi umekiandaa kuhusu KRISMASI? NINI Umuhimu wa KRISIMASI MAISHANI MWAKO?
2 Reactions
5 Replies
188 Views
Katika mambo sijawahi kuyaelewa kwa wanawake ni hili la wanawake wanaovaa nguo zisizowakaa vizuri. Inakuaje mtu anasikia raha kuvaa nguo isiyomfiti, inayomshughulisha muda wote akiwa ameivaa...
8 Reactions
28 Replies
826 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na wahitimu wa kozi mbalimbali (hawapo pichani) katika mahafali ya 40 ya Chuo...
2 Reactions
4 Replies
264 Views
Anonymous (504b)
Kama kichwa cha habari hapo juu. Baadhi ya taasisi za serikali kama TAA, TANROADS nk zimekuwa zikitoa mahanadi za kazi na kuwataka waombaji waombe kwa mfumo wa Posta tu, lakini pia hutakiwa...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Wanabodi Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。 Anaomba media tupaze sauti wenye...
17 Reactions
29 Replies
1K Views
Kitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo. Kwann wanafanya hivi? Wamekosa content za kuimba? Harmonize, Rayvanny...
12 Reactions
101 Replies
3K Views
Baadhi ya wanajamii husababisha raia wenzao kushindwa kusema ukweli unaowahusu. Hii husababishwa na mtazamo hasi kutoka kwa jamii husika. Utakuta kwa mfano mtu anapitia changamoto fulani na...
3 Reactions
3 Replies
182 Views
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza kufutwa kwa sharti la kuwa na wanafunzi 100 ili waweze kusajiliwa na kupata huduma za bima badala yake wanafunzi watatakiwa kuchangia 50,400...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
ONGEZEKO SAFARI ZA TRENI NA NAULI Dar es Salaam, Tarehe 07 Disemba 2024. Shirika la Reli Tanzania - TRC linauarifu umma kuwa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, kutakuwa na ongezeko la safari...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Nimezoea kununua bidhaa, baada ya hapo nakusanya shop flani hivi then nikimaliza nachukua Usafiri napeleka dukani. Sasa kuanzi J3 mpk J5 kuna manunuzi nitafanya, Mzigo utakua mkubwa kdg siwezi...
1 Reactions
3 Replies
182 Views
Napata wakati mgumu kuelewa kwa nini baadhi ya watu na vyombo vya habari vinasema TOTO AFYA KADI imeboreshwa au kurudishwa. Inaonekana wengi hawajui nini kimetokea, labda acha niwakumbushe kidogo...
1 Reactions
7 Replies
420 Views
Huku mtaani kwetu Machimbo, Kitunda hapa Dar es Salaam tuna kero ya umeme, unakatika takribani kila siku, kuna wakati unakatika na kurejea ndani ya muda mfupi na kuna muda unakatika muda mrefu...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Hatimaye mwili wa aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la El-Huruma (E.H.C), John Chida aliyetarajiwa kufufuka, umezikwa leo Desemba 6, 2024 katika makaburi ya Mlolo Manispaa ya Iringa. Mwili wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Serikali imeamua kufanya maboresho ya vyoo vilivyopo katika Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wamezoea kukiita Hospitali ya Sokoine baada ya kuripotiwa kuwa havipo katika mazingira...
0 Reactions
8 Replies
434 Views
#usiue #usikabe #usipore
2 Reactions
11 Replies
351 Views
Nchi za Brics juzi hapa zilikuja na mpango wa kuanzisha sarafu yake na kuachana na matumizi ya Dollar kwenye miamala yao. Wiki iliyopita Trump alitishia kuwawekea vikwazo BRICS kama wataendelea na...
0 Reactions
8 Replies
508 Views
Back
Top Bottom