Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu hii nchi inakwenda vibaya sana na naona watawala wanachukulia swala la utekaji kama drama na wamebariki watu watekwe na kisha wauwae Mwaka huu matendo ya utekaji yamekuwa mengi sna kila...
4 Reactions
28 Replies
522 Views
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema kabisa! Namuulizia jenersli ulimwengu yuko wapi sasa , ni mda mrefu Sijamsikia katika kupaza sauti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na uchaguzi...
3 Reactions
15 Replies
690 Views
Anonymous (7a78)
Pamoja na sheria ya mikopo ya mitandaoni kusainiwa, lakini bado kuna baadhi ya vijikampuni vinatoa siri za wateja wanapochelewa kulipa kwa kutuma msg za kumdhalilisha mkopaji, kwa watu ambao wapo...
0 Reactions
3 Replies
289 Views
WAZIRI AWESO ANADI MIRADI YA MAJI KOREA Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa H. Aweso (Mb) ametembelea na kufanya mazungumzo na Benki ya EXIM ya Korea ambayo imefadhili utekelezaji wa miradi ya Majitaka...
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Muliro Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi litaendelea kushughulika na wanaojifanya kuwa askari au watumishi wa umma huku wakitumia kigezo hicho...
0 Reactions
10 Replies
685 Views
Waganda sas wametangaza kuanza kuongea kiswahili na kuiacha lugha yao ya kikabila https://youtu.be/UKg4ZWlxKCI?si=9c_kWE1a5lZm8Mgl Karibu sasa rasmi:
3 Reactions
22 Replies
627 Views
Acheni kiburi cha uzima, mwabuduni Yesu Kristo. Siku za mwisho zipo karibu. Hapa duniani tunapita. Miaka ya kuishi ya mwanadamu ni 60 hadi 80, baada ya hapo anakufa. Baada ya kifo, ndio mwanzo wa...
11 Reactions
47 Replies
960 Views
Bwana Erick Lucas Simtengu [24] mkazi wa Kijiji cha Mbugani Wilayani Chunya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya...
1 Reactions
20 Replies
854 Views
Mimi ni mmoja wa madereva wa magari makubwa ya mizigo, pia ni mmoja wa waathirika wa changamoto ya mkwamo wa magari ambayo imetokea Kasumulu eneo la mpakani kati ya Malawi na Tanzania. Kwa muda...
2 Reactions
11 Replies
622 Views
Habari wana jamvi, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ntaomba kuelezea kwa uchache changamoto ninazopitia kwa miaka 3 sasa. Ikibidi nitaandaa treads ya kusimulia mkasa mzima toka ulivyo anza...
16 Reactions
162 Replies
8K Views
Wakuu, Muliro umeuliza swali la rahisi tu mtu anaruhusiwa vipi kukamata mtu bila polisi? Unakimbilia kuanza kuuliza vifungu. Kwahiyo maafisa TRA waha haki ya kuarrest mtu? Na wakimkamata...
12 Reactions
25 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo...
22 Reactions
335 Replies
15K Views
Jamani wenye taarifa na hukumu ya chenge leo mwanasheria wetu na mbunge wetu jamani
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Katika kibanda umiza nimekutana na ujumbe maridhawa unasema usimkatie mtu tamaa,ikiwa ni maandalizi ya klabu bingwa yanga huko Algeria, karibuni tujadili tusimkatie mtu tamaa. Kwako mwalimu...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo. 1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia. 2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa...
3 Reactions
22 Replies
934 Views
Dogo huwa ana akili fyatu japo darasani ana uwezo, ila hivi karibuni kanipigia cm na kunambia kwamba soon kuna lecturer atamg'oa meno sababu huwa anamletea pigo za kindonyo, ameanza kuvuta cha...
2 Reactions
10 Replies
339 Views
Tukisema ni ubaguzi nitakuwa nimekosea? Kuna kasumba huku mkoa ninao ishi kuna ubaguzi ambao ndugu zangu wa upande wa pili yaani wakristo wanaufanya siandiki kwa ubaya wala ugomvi na mtu fulani...
9 Reactions
113 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wakazi wa kata tajwa hapo juu wanaishi kwa mateso makubwa toka mwaka 2023 mpaka leo baada ya kufanyika tathmini ya uwanja wa ndege Kigoma na kutokulipwa...
2 Reactions
6 Replies
325 Views
https://www.jamiiforums.com/threads/zaidi-ya-km-2000-za-barabara-kuanza-kujengwa-kwa-mtindo-wa-epc-f-serikali-yasema-hazitalipiwa-tozo.2108484/
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Back
Top Bottom