Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kama una familia ni muhimu sana kuwa na life insurance (bima ya uhai) ili kupunguza machungu kwa unaowaacha duniani pale unapofariki. Kiwango cha majonzi katika misiba kinachangiwa pia jinsi...
0 Reactions
2 Replies
207 Views
Hili swali huwa najiuliza sana Ni nani alimshawishi shetani kumuasi Mungu? Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuasi ?
6 Reactions
62 Replies
1K Views
Kwanza nalaani haya mauaji yote Mauaji yote chanzo ni hapo Tegeta Wananchi kuchukua sheria mikononi na kuuwa sio jambo zuri, wote tunalilaani Mzee Kibao alikufa Toka mwezi September hadi Leo...
1 Reactions
3 Replies
315 Views
Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 300 kwa ajili ya kusaidia Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
THE HISTORY OF CHIBUKU BEER. Chibuku was the brainchild of a German man who did business in Kitwe. He was the man who actually built the original Nkana Hotel. His name was Heinrich. Heinrich...
2 Reactions
0 Replies
247 Views
Najua ni wazi hujui ni ipi, na inaweza ikatokea umeipiga tu katika mazingira fulani yasiyo na matayarisho yoyote. Lakini niamini ni mojawapo kati ya picha zako ndio itakayotumika kuwekwa juu ya...
16 Reactions
118 Replies
15K Views
Maoni ya wananchi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wabunge kupata ajali yanaonyesha kuna watu wenye chuki ya dhati na bunge letu. Comments zilizopo mitandaoni zinaumiza ndugu wa viongozi hawa...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
Je Malaika ni Hadithi za Kale au Wapo Hadi Leo Malaika ni nani Neno la Mungu huwaeleza malaika kuwa roho wenye uwezo mwingi sana, na roho haionekani kwa macho ya binadamu (1Wafalme 22:21; Zaburi...
2 Reactions
1 Replies
471 Views
Mtendaji wa kijiji cha Sakawa wilayani Rorya #Tanzania Fredrick Nyobumbo amelazimika kuhama chini ya ulinzi wa polisi baada ya vitisho kutoka kwa jamii! Fredrick anatuhumiwa kupanga wizi wa kura...
4 Reactions
8 Replies
448 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) leo imepokea ziara ya Naibu Waziri Msaidizi wa Shirika la Kimataifa la Dawa za Kulevya na Masuala ya Sheria (INL), Maggie Nardi, pamoja...
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Hizo story huwaga ni kweli au ni uzushi tu? Kuna story zimezagaa huku Sinza kuna mdada anaitwa Mina wanasema ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi. Je jambo hili linawezekana kisayansi?
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Tanzania ilijitoa rasmi kwenye Mkataba wa Kukubali Mamlaka ya Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu ya Afrika (AfCHPR) mnamo Novemba 2020. Sababu kuu zilizotajwa ni pamoja na: 1. Matumizi Mabaya...
0 Reactions
1 Replies
238 Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea utaratibu wa uwekaji wa Vizuizi na vituo vya ukaguzi barabarani bila kuzingazia tahadhari ya usalama kwa watumiaji wengine wa barabara. Waziri Mkuu amekemea...
0 Reactions
3 Replies
484 Views
Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how? Ni kwamba zile sehemu zote za parking za...
4 Reactions
13 Replies
627 Views
Ilikuwa siku ya Ijumaa, tarehe 01, desemba 2001, katika uwanja wa mashujaa mjini Moshi tulipokutanika wanafunzi wa kidato cha pili katika kilele cha siku ya ukimwi duniani. Shughuli zilikuwa...
2 Reactions
6 Replies
518 Views
Wanaume wilaya ya Rombo walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao bila ridhaa yao. Wakuu sikilizeni wenyewe. ===== Wanaume wanaoishi pembezoni mwa Mto Mlembea, Wilaya ya Rombo, Mkoani...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Hivi Kwenye muongozo rasmi wa utendaji(PGO) ya police kuna muongozo wa polisi wasiovaa sare kukakamata raia watuhumiwa? Kuna muongozo wa polisi kufanya ukamataji wakiwa na gari ambazo hazina namba...
4 Reactions
11 Replies
491 Views
To cut the story short watoto tupo sita rika ni 30 hadi 40, wengi tayari tunaishi mikoa mingine sababu tumeajiriwa serikalini Mzee alifariki 2015, Bi Mkubwa 2023 Pale mjini kuna nyumba mbili, ya...
4 Reactions
13 Replies
705 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hizi ni sababu zangu 100 zitakazonifanya nimchague Rais Samia katika uchaguzi mkuu wa 2025, zingatia kuwa hizi ni sababu zangu binafsi na siyo sababu zako. 1...
2 Reactions
73 Replies
1K Views
Back
Top Bottom