Maono kuelekea Tanzania isiyo ya kidemokrasia:
Watanzania demokrasia nchini itakapo toweka kwasababu ya watu wenye tamaa za madaraka kinyume na utaratibu tulioweka wengi wenu mtakufa na kutekwa...
Nakumbuka mwaka 2015 jijini Dar es Salaam, kipindi ambacho kishindo cha kampeni za CHADEMA kilikuwa kikubwa. Kati ya matukio yaliyonivutia ni kundi kubwa la watu nililoliona maeneo ya Magomeni...
Maafisa wanne wa juu wa kampuni ya Barrick wamekamatwa na serikali ya nchini Mali kwa tuhuma za kampuni hiyo kutokulipa kodi stahiki.
Maafisa hao wanashikiliwa tangu Novemba 26 mwaka 2024 na...
Wajameni
Siyo sipendi waongee No
Nisieleweke vibaya.
Ila ningependa kujua kimetokea nini kwann waganda sasa wameanza kupromote kiswahili kwa kasi tena kwa kampeni utafikiri ni kitu kipya...
Wakuu kama niliposema!
Najiuliza yametoka wapi bado sina majibu.
Silali na mtu hajaingia mtu chumbani kwangu Sijaumia popote.
Sijawai tokwa damu puani.
Mkoa ni kigoma.
Napata sana wasiwasi...
Na Mwandishi Wetu.
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali ya Awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha miundombinu ili sekta ya...
Watu Milioni 32 sawa na asilimia 53 ya watanzania wakamilisha chanjo dhidi ya Uviko-19
WIZARA ya Afya imesema kuwa hadi kufikia Desemba mwaka jana jumla ya watu Milioni 32.5 ambao ni sawa na...
06/12/2024
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh Ndaisaba G Ruhoro kwa ushirikiano na Ofisi ya Kilimo Wilaya wameshiriki kumkabidhi mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi na umaliziaji wa soko la...
Kuna sintofahamu inaendelea kuhusu Kampuni ya Mapembelo Cargo ambayo najihusisha na usafishaji wa mizigo, wamekuwa kimya sana kuhusu mizigo ya wateja wao.
Kuna Wafanyabiashara na Watu wengine...
Watumishi wa TRA wengi (sio wote) kila mmoja kwa kitengo chake hutumia nafasi hiyo kujipatia pesa kinyume na taratibu. Serikali inakosa mapato kwasababu watumishi wa TRA na taasisi zingine wako...
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo La Ufaransa (AFD) wamesaini mikataba minne (4) yenye jumla ya euro milioni 118.8 sawa na takriben shilingi bilioni 323.4 kwa ajili kutekeleza miradi...
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imewahukumu kunyongwa hadi kufa Emanuel Patson Mwesya [24] na David Saimon Mwalindu [25] wote wakazi wa Mji wa Tunduma Mkoa wa Songwe baada ya kukutwa na hatia kwa kosa...
Kuna haja ya serikali na TCU kuangalia vigezo vya kutoa hadhi za Vyuo .
Nini maana ya Chuo Kuitwa Chuo Kikuu harafu kinaendelea kutoa Kozi za Vyeti? Mfano Udom.👇👇
Habari wakuu.
Kichwa cha habari cha husika sana Wakuu mwenye hearing aids (Mashine ya usikivu) naombeni mnisaidie.
Nimeshindwa kununua kutokana Na gharama wakuu mwenye kunisaidie tafadhari...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni umefanya uzinduzi wa Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ambao umebeba kauli mbiu isemayo Kuelekea Miaka thelathini ya Beijing
Chagua...
Katika mfumo wa kisiasa wa Iran, kuna mgawanyo wa mamlaka kati ya Ayatollah (au Kiongozi Mkuu wa Kidini) na Rais, lakini mamlaka ya Ayatollah ni makubwa zaidi na yanashika nafasi ya juu kabisa...
Katika kipindi cha mwezi Novemba, 2024 jumla ya watuhumiwa wa makosa 97 wa makosa ya mauaji, kujeruhi, kupatikana na dawa za kulevya, kuingia nchini bila kibali na kupatikana na silaha bila kibali...
Katika siku za hivi karibuni, visa vya utekaji nyara vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara. Watekaji nyara hawa mara nyingi hujifanya kuwa maafisa wa upelelezi au polisi ili kuwateka nyara watu...
R.I.P. Mwalimu, Engineer Aliasante Mwakalinga. Ulikabidhiwa na baba nikiwa na miaka 13 tu. Baba alikuambia, "Huyu mtoto anafumua umeme, anaharibu waya za nyumba, TV na redio, anazifungua kutaka...
Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.