Mkazi wa Kitongoji cha Kiswanya, Mkoa wa Morogoro nchini Tanzania Amina Mapunda (26), alijifungua nje ya kituo cha polisi baada ya kutolewa mahabusu alikokuwa akishikiliwa kwa tuhuma zilizomhusu...
Utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na mitaala ya elimu toleo la 2023 utaanza kwa awamu mwakani, huku walimu watakaofundisha shule ya msingi wakipaswa kuwa na stashahada ya...
Harakari za uumbaji wa mwanadamu kiimani na utata unaojitokeza yapi maswali ya kujiuliza kwa kina. Je nani mwenye majibu yake au nani anaweza kutujibia.
Ndugu zangu.
A) Uumbwaji wa mwanamke na...
Majira ya Asubuhi ya leo Desemba 4, 2024, iliripotiwa kuwa Treni ya Abiria ya Kisasa (SGR) iliyokuwa ikitokea Dar kuelekea Dodoma imekwama katika Stesheni ya Kilosa Mkoani Morogoro kwa...
ZAHANATI MPYA KUFUNGULIWA LEO KIJIJINI NYABAENGERE, KATA YA MUSANJA
Utoaji wa Huduma za Afya waendelea kuboreshwa ndani ya vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini.
Kata ya Musanja yenye vijiji...
Kama ulikua hujui kuwa duniani kuna MCHAGA amewahi kutapeliwa MILIONI SITA NA KUPEWA SANDUKU wacha nikufahamishe;-
Katika hali isio kuwa ya kawaida kuwahi kutokea duniani,
Mwanaume mmoja...
Naomba nikiri hoja yangu imelenga kuleta hoja vijana wajitume na sio kuwa ombaomba ilihali wana nguvu.
Mwaka 2023 mwezi wa 5 nikiwa natembea maeneo ya Ubungo jirani na NBC bank alikuja kijana...
Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni...
Mtaa wa Buganda, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana - Mwanza. Barabara ya Mtaa ni mbovu sana, watoto wanateseka kwenda shule, watu wenye magari hawayatumii tena, Bodaboda wamepandisha nauli...
Mtu hadi anapofikia kuitwa mmhamiaji haramu tena kwa wale wanavyoonekana hawana pesa ya kumlipa mtu awasafirishe kwa V8, Hii ni issue huenda ipo nyuma ya mtu fulani, either watu hawa wanapelekwa...
Jeshi la polisi Mkoani Iringa kwa kushirikiana na Jeshi la uhamiaji limekamata Watu 16 Raia wa Ethiopia wakisafirishwa kwa kutumia gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 katika eneo la Msitu wa...
Ukipanda basi ulizia Lina CCTV camera na inafanya kazi?
Vituo vya kujazia mafuta tunaomba fungeni CCTV maana zitasaidia Sana mbele ya safari.
Kama nyumba yako iko barabarani funga CCTV maana...
Wimbi la magari ya kifahari kutumika kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia, linazidi kushika kasi nchini na safari hii gari linalodaiwa kuwa la Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Dajjal Au Kwa Jina La Kiingereza Antichrist;Huyu Ni Kiumbe Atakayeibuka Zama za Mwisho Wa dunia Na Kudai Kuwa Yeye Ni Mungu.
Katika Vitabu Vya Dini Vinasema Hakuna Nabii Yoyote Alopita Bila...
Oktoba 28, 2023, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera alielekeza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) - Kagera kumsimamia Mkandarasi M/s Abemulo...
Tabora Manispaa umeme unakatika sana bila mpangilio na hakuna taarifa yoyote, wanakata mchana na usiku, mjini kati, Ipuli, Isevya na maeneo mengine umene unakatwa ovyo ovyo.
Siku haiishi bila...
Kwenye wimbo wa nipeni maua yangu wa msanii Roma kuna mstari unasema hivi: Askofu mfufua wafu anaiba kura za mpinzani atashindwaje kuiba sadaka za waumini kanisani.
Mchungaji akitaka gari...
Imekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao.
Dereva pamoja na abiria ni lazima...
Tatizo la upungufu wa nguvu kazi linazidi kuwa kubwa duniani, na halikuwa tatizo la ghafla bali linatokana na mabadiliko ya kijamii na kisiasa ambayo yamekuwa yakijitokeza kwa muda mrefu. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.