Habari za jioni wadau....
Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema.
Leo pia nina swali kuhusu Oxygen...
Biblia imekuwa mojawapo ya maandiko yenye ushawishi mkubwa zaidi katika historia ya binadamu, ikihifadhi hekima, maadili, na maswali ya kina kuhusu hali ya maisha. Lakini je, kusoma Biblia ni...
Ingiwa nchi ya Marekani ina maendeleo makubwa ya kiteknolojia na kiuchumi, yapo mambo kadhaa ambayo Tanzania tumewaacha mbali mno.
1. Rasilimali za asili na utalii wa kiikolojia
Tanzania kuna...
Salaam, Shalom!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula.
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu...
Wakazi wa mtaa wa Bochela, Mnyakongo, Salama na Mtube kata ya Nkuhungu jijini Dodoma wahofiwa kukosa makazi kutokana na maji kuzingira makazi zaidi ya nyumba mia tatu.
Jamani, duka la simu na kioo wapi na wapi, stationery na kioo wapi na wapi.
Yaani inawezekana mimi sijui au labda mimi ni mshamba.
Ndugu zangu kioo kina umuhimu gani haswa kwenye maduka...
Kwa wale wanaojua historia ya Uganda, watakuambia wazi kwamba utekaji na uuaji unaofanyika hivi sasa nchini Tanzania ni sawa kabisa na vyombo vya dola na usalama vilivyowafanyia wananchi wa Uganda...
Wakuu,
Najua humu jukwaani kutakuwa kuna watu ambao majumbani mwenu mtakuwa na madada wa kazi ambao huwasaidia na shughuli za nyumbani
Hivi karibuni kumekuwa na shirika ambalo limejitokeza...
Nimeliona bandiko la ndugu yetu Mwigulu Nchemba, ambaye hajawahi kutoa tamko lolote kuhusu watu wanavyotekwa na kupotezwa, labda kwa sababu sio wanachama wao au ndugu zao. Hali hii inaonyesha...
Ripoti mpya ya UN Women inaonyesha kuwa wanawake na wasichana 85,000 waliuawa kimakusudi na wanaume mwaka 2023, ambapo asilimia 60 (51,100) ya vifo hivyo vilitokea mikononi mwa wenza au...
Kituo cha Mafuta cha Oasis kilichopo Mwenge kimegeuka Kituo cha Daladala na Bajaj kiasi cha kuhatarisha maisha na kuwa kero kwa watumiaji sahihi wa kituo hicho.
Mamlaka husika shughulikieni hili...
Sura bandika zenye ready made makeup.. Hakuna haja ya kujipodoa tena. Tumeshakuwa na kila kitu cha bandia mpaka akili ya bandia sasa ipo. Inaitwa akili mnemba.
Maisha ya social networks yamejaa...
Wakazi wa Swaswa jijini Dodoma waanza kujiandaa na mafuriko, ni kitu kimenishangaza sana mara baada ya kuspend muda kwa wiki yote iliyopita katika jiji hili.
Kuna mwenyeji wangu amekuwa...
Habarini,
Lengo kubwa la Waafrika kupigana vita dhidi ya wakoloni ilikuwa ni kurudisha ardhi na heshima yao ambazo zilikuwa zimechukuliwa na wanasiasa na viongozi wa dini wa kikoloni siyo...
Kumekuwa na simtofaham kuhusiana na pesa zinatolewa na serikali kwa ajili ya kuinua uchumi wa vijana, akina mama , wazee na walemavu katika halmashaur ya wilaya ya Sengerema.
Awali kulikuwa na...
From no where mtu huna time nae ananza kukuletea visa visa vya hapa na pale kuna mda unaweza pata hasira hizi kazi za kuajiriwa ni upuuzi.
Yani ukijichaganya uka react tu unaweza timuliwa kazi...
Kama heading inavyojieleze Kama unajua uliweka pesa zako Kaylnda sahau na utafute kazi nyingine ya kukuingizia kipato watanzania ni wagumu sana kuelewa sijui kiwakute nini ndio wakubali QNET nao...
Kwa maoni yangu, haijalishi watekaji ni vyombo vya ulinzi na usalama, CCM au CHADEMA, watu wa intelijensia walipaswa kupata taarifa na kuzuia mapema.
Kama wameshindwa kufanya hivyo tafsiri yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.