Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kigezo cha kusema kwamba sehemu ina maisha nafuu kwasababu vitu vyake ni gharama nafuu ni dhaifu with a few exceptions. Kila mkoa / nchi ina system yake kwenye matumizi na kipato, ni jambo la...
5 Reactions
7 Replies
437 Views
Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo...
11 Reactions
69 Replies
4K Views
Jioni hii kumetokea ajali ya gari ya polisi aina ya defender Mbeya iliokuwa ikipeleka askari wa FFU lindoni wamefariki 2 na majeruhi 9, ======== UPDATES: Ajali ya gari kuacha njia kupinduka...
4 Reactions
68 Replies
17K Views
Jeshi la Polisi limeingia katika kashfa nzito baada ya mkuu wake, Inspekta Jenerali Said Mwema, kuibiwa upanga wa dhahabu ambao ni mali ya Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi wa nchi za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kauli mzee kuonya kile chombo kikubwa kilichobaki kisijiingize kwenye mambo ya kisiasa baada ya wadogo zao kuonekana wanatumika kisiasa japo wengi wao hawapendi bali ni kuagizwa tu...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version) Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari yote iko kwenye Kitabu cha Waamuzi Sura ya 16 Unaweza kujisomea na kuchota Maarifa ya kutosha ila muhimu ni Kwamba Samson Kipofu ndio aliuwa maadui zake wengi kuliko alivyokuwa na macho...
9 Reactions
18 Replies
602 Views
Wakuu tulioambiwa wana magamba miguuni tulipigwa...Ngoja niwamegee ILIM 'SHEKH'. Ukizunguka mtaani utaona ndege wa aina tofauti wanatua kwenye nyaya za umeme wenye VOLTAGE kama 230V, 11Kv, 33Kv na...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Maandiko katika vitabu vya dini yamebainisha wazi kuwa mwanamke ameumbwa ili aje kuwa msaidizi wa Mwanaume. Msaidizi maana yake ni kufanya kazi sambamba na Bosi. Popote alipo Bosi msaidizi naye...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Na Zurima Ramadhan, Zanzibar. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma amesema kuandaliwa kwa mpango mkakati pamoja na muongozo wa ulinzi katika michezo utasaidia...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Habari Wanajamvi, familia yangu. Tukirudi nyuma kidogo. Yesu alipofariki, Petro alichukua nafasi ya kuliongoza kanisa, yaani Baba wa kanisa. Yesu aliliacha kanisa Katoliki kwenye utaratibu...
12 Reactions
81 Replies
2K Views
Matukio ya utekaji na mauaji yamekithiri Hakuna mtanzania aliye salama kwa sasa na wala hakuna wakutulinda maana wenye dhamana wamedhihirika hakuna wakututetea Ninawiwa kuanzisha kampeni ya...
1 Reactions
1 Replies
71 Views
Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema kuna namna ya kuwawezesha wawekezaji wazawa ikiwemo kuwapa kazi kama za ujenzi wa Reli na Barabara kwani wapo wakandarasi wanaoweza kuzifanya kazi hizo badala ya...
1 Reactions
20 Replies
962 Views
Hivi Kwa gharama za zaidi ya Bilioni 16 zilizotumika kujenga Soko la Mwanjelwa ndiyo tumeamua kuligeuza Parking ya magari? Licha ya gharama kubwa zilizotumika kulijenga Soko hilo lakini...
1 Reactions
7 Replies
526 Views
DODOMA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewahimiza wasajili wa Hati na Nyaraka Wasaidizi katika ofisi za Ardhi za Mikoa kuhakikisha wanatoa hati milki za...
1 Reactions
2 Replies
196 Views
Sijui Hayati Magufuli niseme ni nabii au aliona mbali hadi kutamka kauli ile, maanake mm binafsi nimekuja sasa kujua kuwa hawa jamaa ni watu wa ajabu sana kila kitu wanapinga na hata wamefika...
3 Reactions
19 Replies
835 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa semina kuhusu kodi ya zuio kwa Taasisi za Umma leo tarehe 5/12/2024 Dodoma. Semina hiyo iliongozwa na Naibu Kamishna wa Huduma za Kiufundi kutoka idara ya...
1 Reactions
0 Replies
190 Views
Katika huu uzi siongelei ndugu zangu Waislamu hawa "secular" wa mjini ambao wanaingia msikitini mara tatu kwa mwaka, ndugu zangu hawa ambao tunashinda nao kwenye mabaa, ndugu zangu hawa ambao...
13 Reactions
49 Replies
2K Views
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu, na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi amesema maradhi ya Saratani ni hatari na...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
TAARIFA KWA UMMA. Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa linawashikilia watu saba kwa kosa la kutishia kuua kwa Maandishi huko katika kijiji cha Ngelenge Kata ya...
0 Reactions
2 Replies
513 Views
Back
Top Bottom