Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Usingizi ni nusu ya kifo lakini tutambue kuwa watu wengi hawapendi kuamshwa wawapo usingizini kwa raha wanayaipata +ndoto n.k. Inakuwaje tunaambiwa kuwa kifo kinafata na adhabu kutoka kwa mungu...
8 Reactions
32 Replies
658 Views
Jumla ya wanafunzi 134 wavulana 72 na wasichana 62 wamehitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari katoro day huku wakitakiwa kusimamia ndoto zao, ili kukabiliana na changamoto za maisha...
1 Reactions
0 Replies
166 Views
Napata alarm hapa kuwa kuna vijana radical wanazalishwa mashuleni hasa advance. Hawa vijana wanazalishana wenyewe kwa wenyewe kwa hisani ya watu wazima ambao wako nje ya mfumo. Usipoziba ufa...
4 Reactions
9 Replies
522 Views
Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado...
18 Reactions
189 Replies
16K Views
Sisi watumiaji wa barabara ya kutoka Njelela kupitia Miva na Uwemba Wilayani Ludewa Mkoani Njombe tunasikitika kutelekezwa kwa vifusi vilivyomwagwa kwenye barabara hiyo. Tunaelewa lengo zuri za...
1 Reactions
1 Replies
376 Views
wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto. mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania ukicheki statistics za ajira...
1 Reactions
3 Replies
167 Views
Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc...
40 Reactions
398 Replies
25K Views
Askari watatu wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) pamoja na mgambo wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Grace Mussa (4) katika Kijiji cha Mpanda...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Rais wa Marekani alitangaza tenda ya kufanya Painting katika jengo la White House. Na alipata nchi tatu ambazo zimeapply zabuni hiyo. Ambapo alipata kampuni ya Kichina, ya Kizungu (European) na...
4 Reactions
11 Replies
374 Views
Kuna Wakati utasikia Fulani amekamatwa na Polisi. Unaweza pia kusikia Fulani Katiwa Nguvuni na Vyombo vya Dola. Kadhalika waweza sikia Fulani Katekwa na Watu Wasiojulikana. Naomba kujua tofauti...
1 Reactions
8 Replies
148 Views
Kuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali. Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati...
2 Reactions
6 Replies
199 Views
Leo nimesikitika sana baada ya kusoma uzi wa jamaa anayetaka wahudumu wa mgahawani kwa mshahara wa Tsh 2000/= kwa siku kwa hoja kwamba watakula bure mgahawani. Watu wengi kwenye ule uzi wamempinga...
40 Reactions
74 Replies
2K Views
JamiiForums imeendesha mafunzo ya siku 2 kwa watumishi na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), yakijikita katika Ushirikishwaji wa Umma, Mbinu za Upigaji Picha...
5 Reactions
9 Replies
551 Views
1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025. Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi FM Mh Nasib ameshawalipa Watumishi wake wote mshahara wa mwezi December Amezitaka Taasisi nyingine ziige mfano wake Ili kuwapunguzia watumishi wao ugumu wa maisha...
12 Reactions
93 Replies
4K Views
Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wa huku tumezoea kukiita Hospitali ya Sokoine, kilichopo katika Manispaa ya Singida ni taasisi kongwe Mkoani hapa Kwa ukongwe wake Hospitali hiyo...
0 Reactions
5 Replies
535 Views
Anonymous (3f6a)
Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Imekuwapo miradi mingi inayoanzishwa kama strategic kufikia dira ya Taifa 2025 pia Malengo ya kidunia 2030 lakini inashindikana kuwepo kwa muendelezo mzuri wa usimamiaji wa hiyo miradi kutokana na...
1 Reactions
0 Replies
92 Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza kutengeneza sera na miongozo ya matumizi ya teknolojia ya akili mnemba ili kuhakikisha teknolojia hiyo inatumika kwa faida. Makamu Mkuu wa chuo hicho...
0 Reactions
1 Replies
264 Views
Katika uchunguzi wangu nilioufanya kwa miaka kadhaa nimegundua yafuatayo: Wengi wao wanapenda kushidia chipsi/yai Nguvu hawana wamekaa kama mrendamrenda watoto wa mama Hapa na pale tu usafiri...
1 Reactions
5 Replies
272 Views
Back
Top Bottom