Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunasubili mrejesho tuendelee na safari. Ni saa la pili sasa inasemekana Kuna marekebisho mbele huko. ===== UPDATES: 2200HRS ====== TRC: Hii Treni...
12 Reactions
103 Replies
6K Views
Ni nadra sana kuona mwanajeshi wa Tanzania kapiga picha na kuitupia mtandaoni akiwa na vazi la jeshi . Si kwa maafisa au kwa maaskari. Hii adabu si kwa JWTZ tu hata polisi, magereza, fire and...
0 Reactions
1 Replies
230 Views
Tumeona leo Gridi ya Taifa ikipata hitilafu na baadhi ya mikoa mingi ikikosa umeme Swali ni je, TANESCO ina mpango gani kuzuia tatizo kama hilo kutotokea tena maana kwa sasa umeme ni kitu muhimu...
0 Reactions
7 Replies
225 Views
Ijiumaa hii mpaka Muda huu Saa nane kasoro usiku nipo hapa Chantabull na hakuna mpango wowote wa kufunga mageti. Nina uhakika Hamna night club yenye kibali hapa Manispaa, basi muwaambie wenye...
2 Reactions
27 Replies
856 Views
Ebhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha. 1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana. 2. Pombe mpaka uende Messi huko...
93 Reactions
269 Replies
30K Views
Kama kuna kipindi tunatakiwa kuwa karibu na wazee wetu ni kipindi wanapo kuwa na umri mkubwa. Wazee wetu wanapo kuwa na umri mkubwa huwa wanakumbwa na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza maarifa...
1 Reactions
0 Replies
141 Views
Inawezekana sababu kubwa ya kuenea kwa dini mbili za Ukristo na Uislamu Africa ni kwa sababu Africa haikuwa na dini zake zilizokuwa zimepangiliwa zikiwa na utaratibu maalumu wa ibada(organized...
2 Reactions
11 Replies
554 Views
Kwa ninayoyaona mtandaoni na maisha ya uswahilini nimeogopa kuwa na watoto wa kike nahisi watakuja kunidissapoint . This generation sucks inaleta disappointment sana kuona blunders zinazofanywa...
14 Reactions
51 Replies
1K Views
Kuhusu ukabila hilo halipingiki kweli hii nchi ina ukabila sana bila kupepesa macho lazima ukweli usemwe hili ni jukwaa huru japo sio kwa kiwango hicho ila kwa ground ukabila upo sana na hivi kuna...
15 Reactions
97 Replies
3K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo kwenye mipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya...
0 Reactions
1 Replies
163 Views
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki na majengo yaliyokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania - China Friendship Textile CO LTD) Jijini Dar es...
7 Reactions
98 Replies
8K Views
UFANISI WA BANDARI UMEONGEZA MAPATO YA TRA - KAMISHNA MWENDA Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda amesema Uwekezaji uliofanywa katika Bandari ya Dar es Salaam na...
1 Reactions
1 Replies
331 Views
Hapa kwenye nyumba za Shirika la Nyumba NHC maeneo ya Urafiki karibia na Shekilango inasikitisha kuona kuna vibanda na makontena yamezagaa na kuzunguka nyumba za shirika hilo huku baadhi...
3 Reactions
11 Replies
701 Views
Hii ni video inayosambaa mitandaoni inayoonyesha Mwanamke mmoja wa kizungu akiwa amekamatwa na Wananchi kwa shutuma za kusambaza vitabu vyenye kueneza tabia ya Ushoga kwa watoto. ANGALIA VIDEO...
12 Reactions
186 Replies
11K Views
Katika jamii ambayo watu ni rahis kuwa brainwash basi ni waafrika Mfano:- neno kush likimaanisha mwafrika limetajwa mara nyingi sana mke wa musa alikua ni mwafrika, sefania alikua ni mwafrika na...
1 Reactions
1 Replies
255 Views
angaaa ningempata mmoja kwa kweli. huyu mzee ana akili sana sijui watoto wake wakoje ikiwa anao. nilitamani hata nione mtoto mmoja wa kike kutoka kwake niwe tu najisifia kuwa Mzee Warioba ni Mkwe...
2 Reactions
4 Replies
419 Views
Kama umewahi kufanya biashara utakubaliana nami kuwa biashara inachanganya sana tarehe za mwisho wa mwezi. Baada ya hapo zinadumaa kwa mwezi mzima. Biashara zote, kuanzia za umachinga, za bucha...
3 Reactions
5 Replies
275 Views
"Mimi na mke wangu tumekubaliana kwamba hatutakuwa na watoto. Tunataka kufurahiya maisha yetu, Kuwa na watoto kutatuzuia." — John Cena "Ni sawa kabisa watu kutaka watoto, lakini mke wangu na mimi...
6 Reactions
19 Replies
792 Views
Habari wadau Nimekumbuka sana heka heka za bwawa la umeme la rufiji kujengwa. Ili bwawa limejengwa kwa mbinde sana. Mshindi wa tenda hiyo kampuni ya Arab contractor ilipitiq vitisho vingi sana...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Mara ya kwanza kumuona bundi akiwa amekaa au ame chill kwenye fisher board nyumbani ndio ilikuwa mara ya kwanza kumshuhudia bundi kwa macho. Siku hii ilikuwa mchana mapema Toka nimuone bundi...
11 Reactions
90 Replies
2K Views
Back
Top Bottom