Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tupoze moyo baada ya kutukanwa sana hapa.Viwango vipya mishahara serikalini 2022/2023 Filed in Articles by Ajira on May 14, 2022 New Government Salary Scales for Approved viwango Vipya mishahara...
23 Reactions
66 Replies
53K Views
TGOS A TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A...
7 Reactions
34 Replies
13K Views
Wakati napita katika eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, nilikumbuka kampeni kubwa ya Ng’arisha Katavi Tunza Mazingira iliyolenga kupanda miti...
1 Reactions
0 Replies
275 Views
Kuna haja ya Tanzania kuwapumzisha kwa amani (Mercy Killing) wagonjwa walio mahututi kwa muda mrefu bila kuwa na matumaini ya kupona? Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. my own...
17 Reactions
161 Replies
28K Views
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa...
131 Reactions
474 Replies
101K Views
Salaam, Shalom! Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi. Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi ni...
51 Reactions
259 Replies
10K Views
Wanabodi (kwa sauti ya paskali), Leo tarehe 4 nimefanya uzinduzi wa kupanda treni yetu pendwa ya SGR. Kwa bahati mbaya leo asubuhi kulikua na shida kwenye gridi ya taifa hivyo kujikuta treni...
5 Reactions
22 Replies
758 Views
Umhimu wa Kujua Historia Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood). Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili...
9 Reactions
102 Replies
2K Views
Wadau kwema? Aisee hii wiki ya pili sasa kila nikijaribu kupika wali nachemka. Mara siku nyingine napatia mara siku nyingine kinatoka kiini. Leo kimetoka kiini nimekumbuka nilipokuwa chuo pale...
10 Reactions
92 Replies
8K Views
Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni...
36 Reactions
139 Replies
3K Views
Anonymous (aa50)
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu, siku za hivi karibuni imeendelea kuibuka tabia ya baadhi ya Watu ambao ujitambulisha kama waamini wa dini mbalimbali wameufanya kama utaratibu rasmi kuingia...
2 Reactions
0 Replies
146 Views
Utotoni ni kipindi ambacho watoto hupokea taarifa mbalimbali, zikiwemo Potofu na Sahihi, na mara nyingi huziamini hadi ukubwani. Je, kuna Taarifa yoyote uliyoambiwa utotoni inayokupa shaka sasa...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
Sio kila vita unapaswa kupigana, sio kila ushindi huja na furaha, vyote nitakavyopoteza vinaweza kupatikana ukipambana tena. Anamshukuru Mungu kwa kumpa Adui anayemfahamu ila bado jambo moja tu...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Hii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza? Halafu...
0 Reactions
9 Replies
371 Views
WATU TUNGEKUNJULIANA ROHO, TUKASAIDIANA, TUKAUCHUKIA UNAFIKI, UCHAWA NA UBINAFSI, KUSINGEKUWA NA MATATIZO. LAKINI ROHO MBAYA NI KIKWAZO. Nilisikika huko ndotoni nikiwa nakoroma kama simba...
0 Reactions
2 Replies
154 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, amesema kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk...
0 Reactions
9 Replies
814 Views
Huwezi kuwajua watu wako wa karibu lakini kuna watu wa karibu wana uwezo mkubwa kuwasoma watu wako wengine wa karibu, Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa...
3 Reactions
4 Replies
313 Views
Dunia inatucheka tukiendelea na kupumbazwa na hao wajasiliamali kupitia dini anglia huyu mchungaji maarufu Nabbi Samuel Kakande jinsi anavo rubuni watanzania, " Christianity is pious but...
12 Reactions
47 Replies
1K Views
Mkwe achia majina uchaguzi S/M umekwisha unakwama wapi Kama NECTA wao walifanya Yao mapema kupanga tu majina miezi? Na ole wako mkwe upange double standard Kama mwaka Jana. Alamsiki!!!
0 Reactions
6 Replies
312 Views
Rais Samia akiwasalimia wananchi katika uzinduzi wa treni Agosti 1, 2024 Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi amezindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba...
18 Reactions
191 Replies
9K Views
Back
Top Bottom