Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wanaoongoza kwa kufa ni wanaume but yet wanaonekana sana Hospital ni Wanawake. Nenda Hosp yoyote au hizi za Serikal kama MuHimbili n.k kaangalie walioko kwenye foleni. Asilimia 80 ni wanawake...
9 Reactions
46 Replies
1K Views
Nataka niingie poli kupigisha kazi. Bajeti yangu ni mil 1.5. Msaada wenu wa mawazo wakuu. Nichukue chain saw aina gan ambayo ni strong kwa bajet yangu hiyo?
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Mara tu ukishatenda dhambi yoyote! "You will never be same"! Inakutoa hapo ulipo na kukuvua ngua na kuwa uchi. Mwanzo 3:1-24! Mara tu Adamu alipotenda dhambi, alitolewa na kutupwa nje ya bustani...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale...
18 Reactions
145 Replies
4K Views
Wakuu Hivi kwanini Tanzania ukimuuliza Mzazi au Mlezi umeandika Wosia? Anaona kama unataka kumuuwa vile, kumbe ni wajibu wake kuandika ili kuepusha usumbufu na migogoro hapo baadae.
1 Reactions
6 Replies
222 Views
Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe. Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
2 Reactions
7 Replies
362 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ameendelea kutofautiana na Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk. Faustine Ndugulile, kuhusiana na ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Mimi ni mmoja wa Wakulima wa mahindi, kwa kawaida baada ya kuvuna Wakulima wengi huwa tunauza mazao hayo kwa Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA). Tangu Wakulima tuuze...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada. Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi...
71 Reactions
294 Replies
38K Views
TANESCO inapaswa kuandaa mkutano wa wazi na wananchi, hata kama ni pale Uwanja wa Taifa, ili kuzungumza na kutatua tofauti zilizopo na Wananchi ambao ndio wateja wenu. Matamko mnayotoa mara nyingi...
0 Reactions
7 Replies
268 Views
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Urusi Mhe. Mikhail Degtyarev na kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Adamu: Mwanadamu wa Kwanza Ulimwenguni Adamu ndiye mwanadamu wa kwanza kuishi ulimwenguni. Kuumbwa kwa Adamu “Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai...
3 Reactions
16 Replies
824 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa, amesema wananchi waondoe hofu kuhusu tatizo la kukatika kwa umeme katika safari za treni inayotumia umeme akisema treni hiyo ina...
2 Reactions
20 Replies
835 Views
Kama wanadanamu hatuwezi kuishi kila siku kwa namna moja au kuwa na furaha muda wote au kuwa na mambo mazuri siku zote, bali kuna nyakati ambazo tunakutana na mambo ambayo hatuyatarajii kabisa...
4 Reactions
4 Replies
370 Views
Kujaribu kumfavor mwanamke unayetaka kumtongoza aisee kosa kubwa saaaana. 1. Umekutana na dada amekaa kwenye siti yako ya dirishani usimuache akae hapo hata kama unataka kumtongoza, mwambie...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Wanabodi, Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu...
66 Reactions
339 Replies
9K Views
Mimi ni Mkazi wa Manispaa ya Iringa, Kata ya Ilala, Mtaa wa Kajificheni kwa niaba ya wenzangu tunaomba msaada wa kusemewa kuhusu shimo lililotelekeza kwa dhumuni la kutengeneza ‘kalavati. Kuna...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
nimeona binadamt tuu ndo tunao changanyikiwa na kuwa vichaa lakini ukute mnyama mfano mbuzi simba nyati au umbwa ukute ana kichaa anapiga kelele pekee yake haelewaki hata asijue anapo kwenda ukute...
0 Reactions
1 Replies
165 Views
Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade.. Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji. Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya...
16 Reactions
43 Replies
1K Views
Baadhi ya walimu wa shule ya msingi waliohamishwa katika shule mbali mbali katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamesikitishwa na kauli iliyotolewa na Afisa elimu wa wilaya hiyo kuwa hata...
3 Reactions
10 Replies
639 Views
Back
Top Bottom