Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Karma Doesn't exist. Karma ni dhana ya kimaskini inayowapa matumaini uchwara watu maskini kujifariji na matatizo yao dhidi ya watesi wao. Mababu zetu waliteswa sana na kusulubishwa ipasavyo...
28 Reactions
153 Replies
4K Views
Sijui uko wenzwetu uku kwetu mambo yamekuwa magumu balaaa sijui ndio ukiona ugumu kuna neema mbele inakuja.maana hapa ata wakisema kuingia 2025 uwe na laki 2 naona bado kuna kubaki 2924
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Hiki kinywaji ukiwa na 2,000 TZS unazima mazima. Vijana mtaani wanazoa kinywaji hiki kwa kushindana. NB: Vijana wanapoteza utu bila kupenda
33 Reactions
324 Replies
44K Views
Usijifanye kua mwenye huruma kuliko Yesu au Nabii wa Mungu kuna watu Mungu amekuepusha usiwe nao katika maisha yako watakufanyia makubwa zaidi na walio kutendea mwanzoni, jifunzeni kukinai bila...
12 Reactions
17 Replies
666 Views
Jana nilkuwa misele katika kijiji kimoja huko Butiama na kukuta maandalizi ya sherehe Jumamosi hii, nikajaribu kuuliza nipate undani wa sherehe hizo, nikaambiwa ni vijana wanaenda kukatwa 'mkono...
1 Reactions
4 Replies
256 Views
Jeshi letu la Polisi ni jeshi zuri sana na huenda likawa ni lenye weledi na utashi kuliko yote Afrika Mashariki na Kati. IGP Wambura ni IGP Bora zaidi kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Ninaandika haya malalamiko kuhusu huduma ya uondoaji wa mizigo inayotolewa na SPEEDAF Tanzania. Kila siku, wateja wanakutana na changamoto kubwa katika mchakato wa kufanya clearance ya mizigo...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Habari za kutekwa kwa mwanasiasa Abdul Nondo wa Chama cha ACT Wazalendo katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli ni mwangwi wa hali inayotia simanzi. Tukio hili, lililoshuhudiwa na wananchi wengi bila...
1 Reactions
6 Replies
451 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata Subira John (25) mkulima Mkazi Mtendeni kwa kosa la kutelekeza kichanga. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa Morogoro, SACP Alex Mkama...
6 Reactions
13 Replies
627 Views
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti, Serikali ijue madudu yanayofanyika Mpanda, watoza ushuru wanaotoza ushuru wa magari makubwa kushusha mizigo na kupakia mizigo ndani ya mji sio waaminifu. Baadhi...
1 Reactions
3 Replies
441 Views
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Deogratius Evarist Mbuya(40) mkazi wa Legho Kilema wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua Baba mkwe wake, Tibrus Camil Mneney(72). Mbali na mauaji...
3 Reactions
17 Replies
942 Views
Ripoti ya Afrobarometer iliyochapishwa hivi karibuni, imebaini kuwa huduma za polisi barani Afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa za uadilifu na weledi, huku asilimia ndogo ya raia wakiridhika...
5 Reactions
27 Replies
891 Views
Anonymous (6222)
1. Kumekuwa na utaratibu wa kusitishwa likizo za Watumishi wanapokuwa likizo na Afisa Mhifadhi II Fundi kwa kigezo cha uhaba wa Watumishi, pia kukataa kutoa ruhusa mbalimbali kwa Watumishi wakiwa...
1 Reactions
0 Replies
777 Views
Kutoka Mkoa wa kilimanjaro (kamanda wa polisi (Simon Maigwa) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo jambo ambalo limewashangaza watu wengi. Mama aliyekuw akitoka na mwanae ameaga dunia na...
4 Reactions
53 Replies
7K Views
Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku? Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani? Muulize mama umekula nini leo? Muulize hayo maswali...
9 Reactions
10 Replies
741 Views
Zanzibar. Polisi Mkoa wa Kusini, Pemba inamshikilia askari wa Chuo cha Mafunzo (Magereza) kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mlemavu wa viungo na akili. Askari huyo wa kituo cha Kengeja, Agosti...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Tuliyaona kwa Dr. Mengi. Tukayaona kwa Mrema. Tukayaona kwa bilionea Msuya. Tukayaona kwa Dr. Likwelile. Tumeyasikia kwa Hans Pope. Na sasa yameibuka kwa Dr. Mwele. Ndipo hapa naona hakuna maana...
2 Reactions
6 Replies
454 Views
Mwili wa mtu ambaye hajatambulika umekutwa pembezoni mwa barabara chini ya mti wa muembe katika Mtaa wa Mtakuja, Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora mkoani Tabora. Tukio hilo limeripotiwa baada ya...
2 Reactions
0 Replies
294 Views
Kila Mwanadamu ili afanikiwe kwenye ulimwengu wa kimwili (Unaoonekana) anahitaji apate Baraka kutoka ulimwengu wa kiroho (Usioonekana) na Baraka hizo zinaweza kupitia Milango maalumu...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
MUHIMU: Tanzania bado ni nchi yenye wananchi wengi masikini, Hata katika makabila yaliyotajwa (yenye asili ya afrika), bado wenye maendeleo ni wachache, Orodha hii imejikita kwenye uwakilishi wa...
11 Reactions
43 Replies
5K Views
Back
Top Bottom