Sasa ni rasmi serikali inakusudia kufunga kamera za ulinzi (CCTV), katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24.
Mkurugenzi wa...
Habari za leo wadau?
Naomba kujua namna ya kuangalia jina la mmiliki wa gari kupitia mtandao bila kwenda TRA kwa kuingiza detail za plate number tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi, kuna tabia inayozidi kuonekana ambapo bodi ya mikopo inatembelea ofisi za watu ikiwa na orodha ya wadaiwa wa mikopo.
Cha kushangaza, orodha hii mara nyingi inajumuisha majina ya watu...
Moja kwa moja kwenye mada,ifuatayo ndio orodha ya makabila top ten yaani cream yaliyoshikilia share kubwa ya uchumi wa Tanzania.
1. Watu wenye asili ya asia wahindi, waarabu, wapemba nk
2...
Brothers and sisters mliofanikiwa kudumu kazini muda mrefu, mkapanda vyeo (supervisors, managerial level etc.) na hizo kazi zikawabadilishia maisha
What is the secret?
Ni ushauri gani mnatoa kwa...
Jumatano, 04 Disemba 2024.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuhusu hitilafu iliyojitokeza katika Mfumo wa Gridi ya Taifa leo tarehe 04 Disemba 2024 majira ya saa 04:03...
Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Mcha Hassan Mcha akipokea tuzo ya mshindi wa jumla kwenye uandaaji wa hesabu za kifedha zinazozingatia viwango vya kimataifa vya...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali haipendi kusikia na haitavumilia kusikia uwepo wa vitendo vya unyanyasaji kwa watu wenye ulemavu na wale...
Wanabodi,
Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila...
MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetunukiwa tuzo ya mshindi wa kwanza ya umahiri katika uaandaji wa taarifa za mahesabu kwa mwaka unaoishia 2023, katika kundi la hifadhi ya...
August 12, 2024 Waziri wa Michezo, Dr. Damas Ndumbaro alifika eneo la Tegeta-Wazo kufuatia kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa Wananchi wa eneo hilo kudai Uwanja wa Panga ambao unatumika katika...
Kwa binadamu yoyote ambae ana akili timamu ni jambo lisiloepukika kupitia changamoto ya dharau, kashfa , kebehi , matusi kutoka kwa majirani, marafiki au watu wetu wa karibu kama mke , mume au...
Adamu aliumbwa, ule udongo ukafinywangwa finywangwa kutengeneza body, akaweka veins hizo, arteries nk kisha akampulizia pumzi ndipo akawa ,ndio maana sisi binadamu wengine kupitia Adamu ndio...
Na Mwandishi Wetu.
KAMPUNI ya Tumbaku ya Alliance One Tanzania Limited(AOTTL) imeibuka mshindi wa jumla katika kuzalisha ajira nchini iliyotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania(ATE).
Kampuni hiyo...
Ikiwa ni mwendelezo wa utoaji elimu kwa makundi mabalimbali katika jamii kikosi cha wanamaji dawati la jinsia na watoto limewafikia watumiaji wa vyombo vya majini na kuwapa elimu ya ukatili ikiwa...
Dar es Salaam. Kampuni ya usambazaji na uuzaji wa huduma na bidhaa za nishati ya Puma Energy Tanzania imetwaa tuzo ya Kituo Bora cha Mafuta kinachofikika na kupatikana kwa urahisi zaidi Tanzania...
Habarini,
Ni ngumu sana kwa waganyabiashara wadogo kununua EFD mashine kwa bei ya zaidi ya 500,000 ambapo ikiuzwa 100,000 ni wazi TRA watakusanya kodi nyingi kwani watumiaji wa mashine hizo...
Hili ni wazo tu kwa serikali yangu kuhusu daraja la busisi kwanza nipongeze serikali pili naomba hili daraja liwe la kulipia ila isiwe hela nyingi kiwekwe kiwango kiasi kama kuchangia maendeleo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.