Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu, leo Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na JamiiForums tutashiriki mjadala muhimu utakaohusu Mbinu za Kukomesha Ukatili na Mauaji ya Wenza. Mjadala huu unalenga kutoa elimu...
0 Reactions
3 Replies
294 Views
Niwatakie siku njema huku mkichovya miguu yenu kwenye mafuta mpate kuzidi kubarikiwa Kumbukumbu la Torati 33:24
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Mara nyingi nimeona akina dada wakikataliwa kuhudumiwa katika ofisi za uhamiaji kwakuwa aidha wamevaa nguo zinazoelezwa maafisa kuwa ni fupi au za kubana. Nani anaweka vigezo hivi? Mbona neno uchi...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Pesa Ndiyo Chanzo cha Mema Yote! Unadhani pesa ni chanzo cha uovu? SIVYO. Kutana na Pesa—kabla hajaharibiwa na tamaa na wivu. Aliwasaidia watu kubadilishana thamani kwa thamani, akichochea...
1 Reactions
3 Replies
265 Views
Katika watu ambao walikuwa wabishi kuhusu uwepo wa Mungu mimi wa kwanza na nilikuwa na sababu zangu Sababu hasa ilikuwa matatizo ambayo nilikuwa nayo: Nilikuwa na matatizo ya ugonjwa wa ini...
30 Reactions
44 Replies
4K Views
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Tanzania, Sheikh Issa Ponda, pamoja na viongozi wengine 11 wa Kiislam, wamefungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam...
1 Reactions
7 Replies
613 Views
Hili ambalo kiongozi ACT wazalendo, amelizungumzia akribani mwaka sasa umepita BADO LIPO LINAENDELEA MAENEO YALE YALE mwenyewe ni muathirika na swala hili. Jamani eeh hii bado Inaendelea na Ni...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Uislam ukiwa na watu wachache kwenye nchi au sehem yenye mamlaka ni dini nzuri lakini tatizo ni pale wanapokuwa wengi balaa ndipo huanza. Kunazuka mashambulizi dhidi ya wakristo kwa kuonekana ni...
0 Reactions
2 Replies
193 Views
Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu? Inasemekana shetani ni mbaya kama tulivyokalilishwa na Mungu lakini...
17 Reactions
124 Replies
4K Views
Wanabodi, Mara moja moja haswa siku za Jumapili ninapojikuta nina nafasi, nitakuwe naweka mada fikirishi za kuwasaidia watu kujitambua na kumuabudu au kumtumikia Mungu wa kweli, kwa sababu kuna...
20 Reactions
30 Replies
12K Views
ZIELEWE KAZI YA USALAMA WA TAIFA (TISS) NA MIPAKA YAKE Leo tuongelee TISS au USHUSHU au UNYOKA au IDARA au KITENGO. Kwasababu uelewa mdogo kwa idara hii na kazi zake miongoni mwa wananchi...
62 Reactions
284 Replies
35K Views
Wakuu, Baada ya kuwepo kwa video zinazosambaa mtandaoni kuhusu mwanaume mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa mwenye jina la Derick Junior kumpiga raia kwa kitako cha bunduki wakati...
12 Reactions
171 Replies
11K Views
Wakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila...
4 Reactions
22 Replies
869 Views
SOKO ACHAGULIWA KWA KISHINDO KUWA MWENYEKITI MPYA WA MISA -TAN Wednesday, December 04, 2024 Mwenyekiti Mpya wa MISA- TAN Edwin Soko Mwenyekiti Mpya wa MISA- TAN Edwin Soko Na Kadama Malunde...
0 Reactions
1 Replies
308 Views
Anonymous (4d36)
Kama tunavyofahamu na kuelewa Umeme ni nishati iliyo na nguvu sana na inayorahisisha mambo mengi ktk jamii kama kusaga nafaka flani, kupooza kwenye friji bidhaa flani, kuchomelea, Masaluni n.k...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Wakuu, Watu wasiopungua 79 wamefariki hivi karibuni kutokana na ugonjwa usiojulikana ambao una dalili zinazofanana na mafua katika eneo la kusini-magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
0 Reactions
17 Replies
507 Views
Anonymous (2df4)
Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro. Si network ya...
1 Reactions
0 Replies
332 Views
Kwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex . Mimi ni Pro- Qualifications. Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia...
14 Reactions
81 Replies
2K Views
Nimesoma maelezo ya msichana aliekuwa nae alipouwawa, yana ukakasi sana. Kuna coincidence ambazo labda ni polisi wetu tu waliozoea kutunga kesi dhidi ya wapizani wataikubali. Inaripotiwa kuwa...
10 Reactions
47 Replies
2K Views
Sisi Wakazi wa Pemba kuna jambo limekuwa likitutesa kwa muda na kutuathiri sana sisi Wananchi wa eneo hili. Miaka ya hivi karibuni Serikali imekuwa ikijenga masoko ya kisasa katika kila Wilaya...
1 Reactions
5 Replies
307 Views
Back
Top Bottom