Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
1. Biblia inasema Yesu alifunga kwa siku arobaini jangwani, akiwa peke yake, na akajaribiwa na Shetani. Nani alirekodi majaribu hayo wakati hakukuwa na mtu mwingine aliyeshuhudia na hakuna sehemu...
3 Reactions
15 Replies
675 Views
Kila nikimtazama mh Rais naona hafurahishwi na mambo ya ovyo yanayoyofanywa na watendaji wake. Nadhani anakwepa mgawanyiko katika Chama chake maana anataka ajenge umoja kuelekea uchaguzi mkuu ili...
2 Reactions
18 Replies
519 Views
Kwenye taarifa ya polisi kuhusu tetesi za kutekwa kwa Alphonce LUSAKO ,Account ya Twitter ya polisi Imefungwa reply. Cha ajabu wale wote wenye vina saba vya CCM wameweza reply kwa kusifia tu.
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Polisi wetu katika utendaji wao wa kila siku, tunawaomba wazingatie uvaaji wa sare zao pamoja na namba zao na majina yao katika beji, hili litaondoa mkanganyika ambao umekuwa ukijitokeza kila siku...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Kwanini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)? Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja? Kwanini vyoo havitenganishwi vya...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Sasa imefikia tuchukue hatua ya kujilinda wenyewe. Kwasasa tunatakiwa kufanya yafuatayo: 1. Polisi waje wamevalia sare 2. Polisi wautaarifu umma uliopo karibu kuwa wanamkamata mtuhumiwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
155 Views
Wakuu habari za wakati huu, Samahani sana Nina jambo lakuwashilikisha hapa jamani. Mimi ni kijana nimefiwa na wazazi wangu wote kwa kufatana yaan alitangulia Baba ikapita wiki moja na Mama pia...
9 Reactions
69 Replies
3K Views
Wakuu Huwa naona kwenye tv chakula kikuu cha wazungu ni mikate, so swali langu ni hili hii mikate wanayokula hawa wazungu ni sawa na hii tunayokula sisi hapa Bongo? If yes mbona mikate ni...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuanzisha Ofisi ya Walipa Kodi binafsi wenye hadhi ya juu hali ambayo itaongeza ufanisi katika kuhudumia kundi...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu! Kwanza kabisa nipo Tayari kuambiwa Mimi ni mshamba Nisawa kabisa. Lakini sijawahi vutiwa Wala kufurahishwa na matumizi ya choo Cha kukaa. Huenda kuishi kwangu Kwa zaidi ya...
14 Reactions
147 Replies
4K Views
Na Mwandishi Wetu. Jamii imeaswa kuwa makini dhidi ya matapeli wa mtandaoni. Ushauri huo umetolewa na Mtaalam wa Uchunguzi wa Udanganyifu wa Kiforensiki, Rona Katuma kutoka mtandao wa Vodacom...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Yani nisawa na kusema Rais wa Marekani aje mara 3 au 4 Tanzania kwa ziara ya kikazi lakini akute rais wetu yuko busy mara zote hizo na ashindwe kuonana licha ya jitihada za balozi. Inauma sana...
12 Reactions
30 Replies
1K Views
Zaidi ya abiria 20 wameshushwa na kisha kurudishiwa nauli zao kutoka kwenye mabasi mawili tofauti yanayofanya safari ya masafa marefu kupitia mkoani Mbeya baada ya mabasi hayo kukaguliwa na...
0 Reactions
5 Replies
398 Views
Haijalishi ni muda gani Ila Unapokuwa free na mpenzi/mwandani wako asikae kinyonge wakati wa baridi mtie mguu wa mtoto mpe mkwasa🤣wa mashavu ya chini. Faida za tendo wakati wa mvua...
1 Reactions
2 Replies
229 Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis, amepewa gari jipya la kisasa aina ya Mercedes Benz linalotumia umeme pekee likiwa ni gari la kwanza la aina yake kutengenezwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
315 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 5 Desemba, 2024 imeshiriki zoezi la kuanza kupanda mlima Kilimanjaro ambapo zoezi hilo linalenga kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika lenye kaulimbiu ya...
0 Reactions
11 Replies
361 Views
content://com.android.providers.downloads.documents/document/2013
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Mtanzania Diana Laizer ametunukiwa udaktari wa heshima na Chuo cha Oxford Club Awards huko London nchini Uingereza kutokana na mchango wake kwenye jamii kupitia tuzo za Chaguo la Mtumiaji Afrika...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Naomba nami nichukue fursa kuendeleza mjadala ulioanza Kwa mtoa mada mmoja siku za awali kuuliza Mwenye kujua maslahi ya hawa Waheshimiwa Wabunge Kwa sasa: 1. Mshahara mnono (bila Kodi) 2. Posho...
16 Reactions
73 Replies
4K Views
Back
Top Bottom