Ukitaka kupunguza tatizo la msongamano Kariakoo ondoa wakinga, wachaga na watanzania wenye asili za kihindi, kiarabu, kisomali, kichina, n.k.. hawa ni almost asilimia 70 ya biashara za Kariakoo...
ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE U KNOW: ..Hii picha nilipiga loongtime ago in the 90s nikiwa Seamen au Baharia (Ass. Engineer) katika meli ya "MV. LUXEMBOURG" ya kampuni ya Celestie Belgique...
Habari,
Naomba ushauri wenu au mwnye changamoto kama yangu anaikabili vipi?
Kwa ufupi, me huwa nasahau majina ya ndugu/jamaa/marafiki punde tu baada ya kutengana(hata kwa week)
Hili swala...
Leo, Disemba 6, 2024, basi lililokuwa limebeba wabunge waliokuwa wakielekea kwenye mashindano ya michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali katika eneo la Mbande, Kongwa...
Umeme umekuwa na tatizo kubwa sana Maeneo ya Mbezi na Kimara umekuwa unakatika na kurudi mara kwa mara, na kuna muda unarudi unawasha taa tu, hauwashi hata Fridge wala AC kwa kuwa unajua kinaweza...
Hakika Maisha yana mambo mengi ya kushangaza na kustaajabisha sana,kuna mambo ambayo huenda hukuyategemea ukakuta yanatokea katika namna ambayo hukutarajia kabisa
Unapovuka daraja na kwenda...
Wadau salama, CCM hoyee.
Huwa nina tabia ya kupiga story na wazee watu wazima kidogo.
Sasa kuna huyu amebakiza kama miezi sita ya kustaafu kazi ya utumishi wa umma.
Anaitwa mzee Shayo, anasema...
Kuna kampuni moja inaitwa Qnet ni kampuni tanzu ya Qi company,ni biashara ya mtandao makao yake makuu yapo Hong kong,wana deal na kuuza saa,vifaa tiba n.k.
ni hivi wanashawishi watu wakope na...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimepata pigo baada ya diwani wake wa Kata ya Nyaruyeye Halmashauri ya Geita, Malimi Saguda kufariki dunia.
Malimi ameshika nafasi ya udiwani kwa vipindi...
Kulingana na kuongezeka kwa matukio ya utekaji nyara nchini, nitoe wito kwa watanzania wenzangu kwamba sisi kama nchi tunasheria za ukamataji na hakuna aliye juu ya sheria
Endapo ukiona mtu...
Elimu ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo kimaumbile wa mtu binafsi katika dhana ya kiufundi.
Elimu ni njia moja wapo ambayo hutumiwa kimakusudi na jamii kupitisha...
Natoa wito kwa Watanzania wenzangu wote wenye upendo na kuthamini uhai na haki za binadamu wenzao. Imetokea mara kadhaa kwamba watu wanatekwa, wanapiga kelele kuomba msaada lakini watu wanaangalia...
Wakuu,
Wafanyabiashara wa Kariakoo wamemchagua Mwenyekiti wao mpyA anayeitwa Severini Mushi aliyepata kura 229 akimshinda, Martin Mbwana aliyekuwa akitetea kiti hicho ambaye amepata kura 12...
Baadhi ya wakazi wa Dodoma wamepata hasara na usumbufu baada ya mvua kubwa kunyesha kwenye maeneo yao na kisha maji kuingia ndani na kuharibu mali mbalimbali.
Soma Pia: TMA yatangaza mvua za siku...
Wakuu..
Katika kipindi hiki cha mwezi December watanzania wengi wanakuwa katika hekaheka za kusafiri sehemu tofauti wakifurahia maisha baada ya miezi 11 ya purukushani za kutafuta riziki.
Wewe...
Wakuu nataka kufanya biashara ya kuuza protein powder suppliments kama Mass gainer, amino core etc naomba kujua wapi nitapata hizi suppliments kwa bei nafuu kwa ajili ya kuuza?
Anayejua hili...
Mhe. mbunge, Andrew Chenge, akiwasili katika Mahakaman ya Kinondoni leo asubuhi kusikiliza hukumu yake.Umati uliokuwa ukifutilia hatima ya Chenge uliokuwepo mahakamani hapo asubuhi.
Chenge...
Hakuna kitu kibaya sana humu duniani kama shida"
Haichagui mtu siku wala mwaka oohh,
Haina katu taarifa shida uingia bila hodi
Si mtoto wala mkubwa iko shida-aa,
Kila siku shida shida haishi hadi...
Ni nini kitatokea katika hili? iwapo hawa wamiliki hawatapatikana au ndo Chenge atakuwa hana kesi ya kujibu??? na je wao imekuwaje wawe watuhumiwa wakati ndo waligongwa???. Au wameshapewa kitu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.