Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu nataka ninunue flat screen kuanzia nchi 32 na kuendelea kati ya hizi brand ninunue ipi? TV BRAND HIZI AILYONS, ALITOP, ABORDER, BOSS, GOOD VISION, PMC, HIGH Q, SOLAR MAX, STAR CROWN, ZUNNE...
3 Reactions
60 Replies
18K Views
Watanzania ni wepesi sana kutoa mchango au kuchangia pesa jambo kwenye shida yoyote au furaha pia je ni utamaduni wetu au Mila yetu au huruma yetu yaaani unaweza zua ata kitu cha uongo ukahitaji...
1 Reactions
0 Replies
129 Views
Kama mada tajwa hapo juu wakuu hivi ni mkoa gani rahisi kutoboa Kati ya katavi na morogoro hasa hasa kwa watumishi wa umma maana kuna mikoa mingine kutoboa ni kipengele kiukweli maana hali ya...
2 Reactions
11 Replies
660 Views
Ndugu zangu, majirani zangu, wana parokia wenzangu, na wanajumuiya wenzangu, ni wazi kuwa tunapitia changamoto nyingi zinazoweza kutufanya tuishi kwa kutetereka kiimani. Vishawishi vya dunia ya...
0 Reactions
1 Replies
200 Views
Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha. Cc:Lusako
1 Reactions
5 Replies
466 Views
Kuna wahuni nawale wachimbaji wadogo wadogo watakuja kutetea ila hawatakuwa na fact. Nimeenda Shinyanga manispaa nimekaa wiki tatu nikaenda Kahama nimekaa takribani mwezi na nusu nimekuja kujua...
26 Reactions
147 Replies
14K Views
"AGRICULTURAL SEED AGENCY" Hii taasisi imekuwa na ukiritimba sana kuhusu posho za wafanyakazi, Baadhi ya wafanyakazi huwa wanajigharamia wenyewe kwa safari zinazohusu taasisi wakijua kuwa baada ya...
1 Reactions
5 Replies
329 Views
Leo nimemkumbuka anko wangu aliyefariki kabla sijqanza hata vidudu lqkini nilikiwa najitambua. Uncle akiwa darasa la tano, alikuwa amejijengea chumba chake cha kulala hapo nyumbani. Alikuwa na...
1 Reactions
2 Replies
332 Views
Hali ya nchi inaendelea, kuwa ngumu! Magari kibao yamekwama Kitonga Ziringa, usiku mzima. RC na RPC Mkoa wa Iringa wamelala huko mkoa ukiwa umesimama, raia wanatedeka.
13 Reactions
85 Replies
4K Views
Muda mfupi baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Mtaa wa Kitunda - Machimbo kuna kero ya Umeme kuwa unakatika zaidi ya mara tatu kwa siku, Serikali imetoa ufafanuzi na kuwapa pole...
1 Reactions
1 Replies
278 Views
Wakuu salaam Kumekua na tabia ya madereva wa malori kuegesha magari yao sio pembezoni bali katikati ya hii barabara muhimu kuanzia eneo la urafiki hadi ubungo darajani. hali hii imekua kero kubwa...
2 Reactions
0 Replies
151 Views
Ndg wanaJf, Nahitaji kujua kiwanja chenye ukubwa huo kinaweza kuingia Room tatu na Choo nje na sehemu ya kupaki gari ndogo. ushauri wadau kabla Sija Prove kununua. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
41 Replies
24K Views
Laana ni nini? Laana ni zao la maneno ya haki yanayotamkwa katika hali ya uchungu. Yaani si kila jambo linalotamkwa kwa uchungu kwamba linaweza kuleta laana Bali ni uchungu wenye haki ndani yake...
11 Reactions
79 Replies
4K Views
Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza wilayani Masasi Mkoani Mtwara, wamepigana makonde hadharani katika eneo la stendi kuu ya mabasi barabara kuu iendayo Tunduru. Akizungumzia tukio hilo,Kamanda...
14 Reactions
124 Replies
23K Views
Habari JF, Nahitaji kuhamia Mkoa wa Tanga, ni wilaya gani nzuri katika nyanja za Kilimo cha mahindi, bustani, Biashara, watu wema na hali ya hewa nzuri. Maoni yenu please.
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Salam Wakuu, Kama kawaida msemaji kujiteua kwenye masuala ya maji Mbezi Beach nimekuja na update. Kwa majibu tuliyopewa na Meneja wa DAWASA Kawe inaonekana kuna mgao. Maana maji yanazuiliwa kwa...
0 Reactions
7 Replies
324 Views
Ukiachana na wanafunzi ambao wanahudhuria shule ama vyuo ambako kuna madarasa na maeneo ya kujisomea, raia wa kawaida wanaotala kujisomea wanapata changamoto kweye mji huu Hasa ukizingatia watu...
2 Reactions
3 Replies
202 Views
Habari za siku, wabunifu na watengenezaji wa multimedia! Huu uzi ni maalumu kwa kuwakaribisha nyote wenye ujuzi na ubunifu katika usanifu na utengenezaji wa michoro ya kidijitali (digital...
1 Reactions
1 Replies
132 Views
Hawa jamaa ni majasiri Sana unakumbuka zile kelele za nishati Safi. Sasa Kuna maliasili na polisi walijichanganya wakaingia anga za wakurya wanaojishughulisha na biashara ya mkaa kwenye ili pori...
11 Reactions
28 Replies
1K Views
Mara nyingi utaona watu wanachukua content za watu wengine bila kutoa credit. Wanachukua picha za vijana waliotaabika kushoot na kuedit na kuziweka kwenye page zao kubwa za mitandao bila kutoa...
4 Reactions
18 Replies
802 Views
Back
Top Bottom