Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katika pitapita za kila siku mtaani, hivi karibuni nilikatiza maeneo ya Vingunguti pembezoni mwa Bonde la Mto Msimbazi na kukutana na hali ya hatari kwa afya. Kiukweli mambo si shwari katika eneo...
1 Reactions
2 Replies
356 Views
Naona Azam Media ni kama wanajilazimisha kutoa salamu za Christmass kwa watazamaji wao, maana matangazo yao yote wanaishia kuliruka neno Christmas na kutaja heri ya Mwaka Mpya. Binafsi naona kama...
84 Reactions
223 Replies
13K Views
MWISHONI mwa wiki, Tanzania ilipokea heshima ya aina yake kwa watanzania watano waliotunukiwa udaktari wa heshima ya Chuo Kikuu cha Read Impact kilichopo Colorado nchini Marekani. Tukio hilo...
4 Reactions
8 Replies
461 Views
Je, huduma hii ikianzishwa mahospitalini, wasichana wataichangamkia? —————————————————- Kitaalam huduma hii itaitwa ‘Surgical defloration’
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Habari wakuu Moja kwa moja kwenye huzi; Leo nimetoka Kigamboni kuelekea Kariakoo kwa usafiri wa daladala, cha kustaajabisha ni kwamba 90% abiria kwenye gari hilo wanatumia iphone , wengi wao...
11 Reactions
83 Replies
2K Views
Gari ya serikali namba STL 9923, Usiku huu imeshambuliwa kwa mawe na wananchi wenye hasira butu, na watumishi waliokuwemo ndani wameumizwa. Chanzo cha kizaa zaa hicho inasemekana hilo gari la...
29 Reactions
146 Replies
9K Views
Mwili wa aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Aman Simbayao aliyefariki dunia kwa kushambuliwa na wananchi wenye hasira eneo la Tegeta kwa Ndevu, jijini Dar es Salaam, utaagwa...
2 Reactions
5 Replies
449 Views
Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa...
5 Reactions
72 Replies
2K Views
Wakuu, Inaonekana mambo ya nishati safi yameendelea kushika kasi hapa nchini Wananchi wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa mradi...
1 Reactions
2 Replies
260 Views
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi...
18 Reactions
640 Replies
75K Views
Uamuzi wa Serikali kupeleka Mradi wa Kusaidia Kaya Masikini (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea ni uamuzi mzuri, wamefanya vizuri kupeleka mpango huo kwenye Halmashauri ila kuna...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Tarehe 7/12/2024 kuna mteja alifika kwenye duka linalouza vifaa vya umeme kununua mojawapo ya bidhaa za umeme bahati mbaya akawa amekuja na kiasi cha pesa pungufu akaomba muuzaji aongee na bosi...
3 Reactions
3 Replies
338 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akielezea sababu ya Serikali kujumuisha Tahasusi za masomo ya Dini katika ngazi ya Elimu ya Sekondari baada ya mwongozo kutolewa hivi karibuni kuhusu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Anonymous (43ac)
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) inatekeleza mradi wa kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kupata elimu kwa njia mbadala (SEQUIP) chini ya programu ya Altenative Education Pathway...
0 Reactions
9 Replies
511 Views
Mlisha ambiwa na Bwana Aweso msikate maji weekend. Mmevizia kaenda kuwatafutia fund Korea mnakata maji. Ila Dawasa mna makusudi sana mradi mharibu mipango ya waziri tu.
0 Reactions
5 Replies
194 Views
Habari zenu Wana jamvi. Moja Kwa moja niende kwenye mada husika...Ukisoma biblia kuna muda yesu aliwauliza wanafunzi wake kuwa watu wanamwita nani, kuna walio mjibu kuwa watu wanasema wewe ni...
1 Reactions
5 Replies
759 Views
UPDATE: Eastern Africa's population growth between 2014 and 2024: 1) Ethiopia: 30% up to 129 million 2) Tanzania: 38% up to 69 million 3) Kenya: 22% up to 56 million 4) Uganda: 38% up to 50...
2 Reactions
8 Replies
263 Views
WAZIRI KOMBO ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 107 YA UHURU WA FINLAND Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameshiriki sherehe ya Maadhimisho ya...
0 Reactions
3 Replies
189 Views
Salaam Wakuu, Baada ya Mdau wa JamiiForums aliyejitambulisha kama Dereva kudai NEMC imewachelewesha Mpani kwa wiki Mbili, NEMC wamewataka Madereva hao kuwasiliana na Wakala wao. "Kwa muda wa...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Imeelezwa Kemikali ya Zebaki inayotumika kukamatisha dhahabu ambapo inaelezwa ni kemikali 10 ambayo Shirika la Afya Duniani (WHO) inasababisha athari za kibinadamu na mazingira. Kemikali ya...
0 Reactions
2 Replies
496 Views
Back
Top Bottom