Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hivi ni TANROADS inamaana haya mashimo kwenye hii Barabara ya Kyela kuelekea Junction hamuyaoni au ni ujeuri tu? Hii Barabara imekuwa kero kubwa sana kwa sisi watumiaji maana ina mashimo Hadi...
0 Reactions
8 Replies
464 Views
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi...
34 Reactions
145 Replies
6K Views
Hivi ile tume ya sayansi na teknolojia ina kazi gani ? Mimi siielewi maana unaweza ukapeleka proporsal ya kuomba kupewa support ya development ya project yako ,wakaipitia wakakwambia ni nzuri ,but...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku...
1 Reactions
9 Replies
349 Views
Umoja wa Ulaya (EU) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamesaini makubaliano mawili muhimu yanayolenga kukuza maendeleo endelevu, uhifadhi wa bahari, na usawa wa kijinsia. Makubaliano hayo...
1 Reactions
0 Replies
180 Views
Miaka fulani uko nyuma nikiwa mkoani kwangu nilishuhudia uwanja mkubwa ulio jirani yetu ukisafishwa na bdae palifanyika ujenzi matata kabisa mahala pale. Kwa harakati zilizokuwa zinaonekana pale...
10 Reactions
39 Replies
1K Views
Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru, mikoa mbalimbali nchini imejitokeza kushiriki shughuli za kutunza mazingira, ikiwemo kufanya usafi na kupanda miti. Mkoani Morogoro, Bodi ya Maji Bonde la...
1 Reactions
0 Replies
184 Views
Unadhani ni nini kinasababisha Majina ya Wabunge waliopata ajali iwe ni Siri? Ahsanteni sana Hongera RC Makonda kwa kukemea Ulozi uliokithiri siasani😄
3 Reactions
12 Replies
528 Views
Hizi drama anazofanya Makonda kweli nchi nzima tumekuwa wehu kama yeye kiasi hiki? Yaani unafunga safari unaacha shugjuri zako za msingi kabosa za kukuza kipato chako unageukia betting! Maombi ni...
4 Reactions
15 Replies
730 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Ikiwa leo Tanzania Bara inaadhimisha miaka 63 ya Uhuru wazee waliozaliwa kabla ya uhuru mkoani Geita wamewataka vijana kuacha kuilalamikia serikali kwamba haileti maendeleo kwenye jamii zao...
1 Reactions
0 Replies
118 Views
Mlima Kawetere uliopo kata ya Itezi jijini Mbeya , uliomeguka April 14 ,2024 na kusababisha maafa ambapo nyumba zaidi ya ishirini ,shule , mifugo na mashamba yalifukiwa na tope, umebainika kuwa...
2 Reactions
5 Replies
310 Views
Anonymous (f0bb)
Haloteli wanawaunganisha wateja automatic siku hizi ili kama salio lako huwa hawalikati kutokana na kwamba huna huduma yoyote toka kwako basi wanalazimika kukuunga bila ridhaa yako wewe mteja...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amewajulia hali baadhi ya Wabunge majeruhi, waliolazwa katika Hospitali ya Taifa...
2 Reactions
46 Replies
1K Views
Kwa nini Barbershop/saluni za sasa mjini wahudumu wanakutazama vibaya sana ukiwaambia hauoshi kichwa au kufanya scrub baada ya kunyoa? Baadhi ya vinyozi kwenye hizi barbershop wakimaliza kukunyoa...
7 Reactions
32 Replies
890 Views
Pamoja Tuhuma nyingi alizonazo nimemfuatilia historia ya mikutano yake alipokuwa RC dar ,Mwenezi na hiki alichofanya leo , huyu sio mtu wa kawaida . Hata ukisema watumishi wanalazimishwa kwenda...
1 Reactions
7 Replies
425 Views
Wale tunaokujaga dodoma nadhani tunaifaham bar maarufu kwa misosi ya Mwanga Bar iliyopo Jijini Dodoma, nikiwa natoka zangu safari kanda ya ziwa nikasema nipite kula hapo kilichonishangaza ni rundo...
0 Reactions
3 Replies
251 Views
MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA: Katika kuadhimisha sherehe hiyo, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Disemba 09, 2024 ametoa msamaha kwa wafungwa...
0 Reactions
7 Replies
455 Views
Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Paul Makonda, alionyesha hisia kali wakati wa kuabudu na kushindwa kujizuia na machozi.
2 Reactions
4 Replies
280 Views
Back
Top Bottom