Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amewaasa wananchi wa Wilaya ya Ileje kuungana na kushirikiana kwa pamoja kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, kwa kukemea na kushirikiana na Vyombo vya...
Wakuu,
Nimeona kuna baadhi ya Wachaga wameshaanza kupanda Esta na Marangu Coach kuelekea kwao.
Simu zenu hatutapokea Januari. Unaendaje Moshi mapema hivi?
Una uhakika hiyo 500k yako ita-survive...
Habari za leo wakuu;
Baada ya kupigwa sana na kuhangaika na watu mpaka level za kimahama kuhusu kuibiwa idea mbali mbali. Sasa nimekuja kwenu wadau kuomba hekima zenu kwa biashara hii ambayo...
ni jambo la kusikitisha kuna siku niliwahi sema humuu JF kumetapakaa matapeli na watu wa hovyo sana,, just assume watu wanaomba kazi humu mtu anadiriki kujifanya anakazi anakupatia tena...
Hivi huu mtindo wa kuita watu kwa kutanguliza neno "mzee" ni umetokana na nini?
Halafu kwa nini ni wanasiasa tu wanaitwa wazee? Utasikia mzee Kikwete, mzee Mbowe, mzee Kinana, mzee Warioba, Mzee...
Mfalme Ogu anatajwa kwenye vitabu vya dini kuu tatu za mashariki ya kati yaani Uislam, Ukristo na Uyahudi.
NB: Nimezingatia dini zote tatu zinavyomzungumzia
Inaelezwa alikuwa ni mfalme...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile itaelekezwa kwa Mtanzania mwingine...
Akizaliwa ng'ombe au mbuzi wa aina hii kwenye boma lako, utamuua au utamfuga?
Wakulima wengi huwaua, lakini kibaolojia hali hii inaitwa Incomplete Genetic Makeup, na hutokea hata kwa binadamu.
USAJILI WA WASICHANA NA WAVULANA WALIOKATIZA MASOMO YA ELIMU YA SEKONDARI
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima kupitia mradi wa SEQUIP-AEP unaotekelezwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa...
Habari wananjamvi,
Sidhan wnavijana waliosoma wanafurahia kuona haya.
YAAN KUNA wakati unawaza inasoma ili iwe nn?
Unapambana kuwa mwanasiasa ili uwe nani
Na hii n kutokana na muendelezo...
Kuna biashara nyingi ambazo unaweza kufanya mtandaoni ambazo zinaweza kukuingizia kipato. Hapa ni baadhi ya biashara tano ambazo unaweza kuzingatia:
1. Uandishi wa Maudhui (Content Writing) na...
Habari yenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwanini yesu alipokuwa anaombea watu wenye mapepo alikua anayotoa hayo mapepo kwa watu na kuyaelekeza kwa nguruwe, naomba msaada mnieleweshe...
Jana wakati natoka kazini, nilipata wasaa wa kupitia maeneo yangu ya kujidai TABATA. Kwa bahati nilikutana na kijana mmoja ambaye nilimfahamu kupitia kazi zetu hizi.
Kwa bahati mbaya sana...
Naona kama Serikali imechelewa sana kufuta hii gharama inayozidi kumuongezea machungu mgonjwa pindi anapoamua kwenda kutafuta tiba hospitali.
Ni kijambo kidogo lakini huwezi jua pengine kimewahi...
Huu Uzi ndio unahitimisha Mjadala wa Amani Kambayao kwa kumaliza mashaka kwamba alikuwa Mtumishi wa TRA ama la
Wakati wa kutoa Heshima za Mwisho mbele ya waombolezaji walioongozwa na Mkuu wa mkoa...
Mkuu wa Idara ya Mkakati wa TEHAMA na Uhandisi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC Cleopatra Mukangara (kushoto), akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Ukaguzi na Udhibiti wa...
Habari gani wanaJamiiForums?
Mimi ni mdau wa jamvi la JamiiForums nikitokea Kilwa Kivinje Mkoa wa Lindi. Nina mambo mawili ninataka kuyafichua kwa leo.
Moja, ni kuhusu walimu wa kiume wa shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.