Kama kweli tuko serious katika mapambano dhidi ya Rushwa tungeachana na na ADAN ambaye anatuhumiwa kila kona kwa rushwa. Sisi tumesema tunaendelea naye kwasababu wanufaika wa miradi hii ndiyo...
Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya...
Wakuu,
Mtangazaji mkongwe wa Clouds Media Group, Sam Sasali ana neno kwa wote wenye tabia ya kulaumu Jeshi lote la Polisi kwa makosa ya mtu mmoja
==
"Watu wanahukumu jeshi lote la Polisi...
Kati ya mambo yanayobishaniwa sana na wanasayansi na wadadisi wa ulimwengu ni uwepo wa viumbe katika sayari nyingine. Taifa kama la Marekani limewekeza mabilioni ya dola kufuatilia jambo hili...
Kampuni ya meta app zao zipo chini siku ya Leo sijui nadhani kila mtu ame experience hiki kitu leo.
---
Kampuni Mama ya META inayosimamia mtandao wa Instagram, Facebook na WhatsApp imekiri uwepo...
Kwa mujibu wa Mamlaka Husika, muda wa kusubiri kupata nyaraka muhimu kama leseni, vitambulisho, hati, na majibu ya vipimo nchini Tanzania unategemea aina ya nyaraka. Kwa kawaida, muda huo ni kati...
Serikali na vyombo husika vinapaswa kuliangalia hili tatizo la kukwama kwa maombi ya passport/hati za kusafiria ni mwaka sasa wananchi hawajapa passport za umeme na server zikidaiwa kuwa ni sababu...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mwezi huuu wa Disemba ni mwezi wa kuwashukuru na kuwasikiliza walipakodi wote nchini.
hayo yamebainishwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw. Yusuph...
Salaam ,shalom!!
Mara nyingi umewahi kuota ndoto na unapoamka huikumbuki, na Hali hiyo inakupa huzuni na Kupata shauku ya kutaka kukumbuka usiweze.
Usilolijua, Ufalme wa Nuru na WA Giza, falme...
Kamishna mkuu wa TRA Mwenda amesema Taasisi yake inaangalia utaratibu wa kumuajiri mke wa Amani Simbayao ambaye sasa ni Mjane
Lengo ni kumwezesha kutunza Watoto wadogo alioachiwa na marehemu mume...
Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu Wanaume imepoteza mchezo wake dhidi ya Timu ya Bunge la Kenya kwa kuruhusu kufungwa magoli 67-38.Timu hizo zipo Mombasa nchini Kenya kushiriki mashindano ya...
Hivi huu Mkoa wa Tabora viongozi wa Wakala ya Barabara za Mjini na Vijijini TARURA wapo kweli?
Maana Barabara ya Madaraka iliyopo Mtaa wa Madaraka Manispaa ya Tabora imeharibika na inazidi...
Wadau hamjamboni nyote?
Mimi binafsi kwa kuongozwa na roho wa Bwana naanza kwa kuwaomba radhi wote niliowakosea mwaka huu 2024
Niwatakie siku njema wapendwa wangu
Kipindi cha nyuma, mabasi yalikuwa yanazuiwa kufanya safari usiku.
Sababu za alinacha zilitolewa na baadae kupinduliwa bila juhudi zozote za kuondoa sababu hizo za alinacha tulizokuwa...
MATAJIRI WANA MFUMO WA KUVUTA HELA NA MASKINI WANA MFUMO WA KUVUTA MAJUNGU.
Maskini anajua wapi apate umbea wa moto yaani kama unataka umbea kwake utaupata ila tajiri anajua wapi kuna mchongo wa...
Wakala wa Barabara za Vijiji na Mjini (TARURA) Mkoa wa Katavi timizeni wajibu wa kujenga daraja katika Mto Nsemlwa, Manispaa ya Mpanda kivuko kilichojengwa na mtu binafsi kisiwasahaulishe jukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.