Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Prof Janabi Aliweka CV yake mitandaoni kwa bashasha sana, ikiwa imejaa karibu kurasa 18 Huko Instagram na Twitter ilikuwa ni hongera tu zinamwagika CV yake ilipofika mikononi mwa Great thinker...
31 Reactions
62 Replies
4K Views
Mbowe ni kiongozi anayekumaliza kisiasa badala ya kukuinua, na hili linaathiri maendeleo ya Chadema," alisema Tundu Lissu leo, Alhamisi, Disemba 12, 2024, wakati akizungumza na waandishi wa habari...
1 Reactions
16 Replies
629 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo akiongoza Mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Mkoa huo amesema malipo ya Wakulima wanaoidai Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA)...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Habarini: Sizungumzii project kuuubwa, k.v ujenzi wa SGR au bwawa la umeme nazungumzia project za kawaida kama ujenzi wa choo cha wanafunzi, au darasa au maabara kwenye shule, au ujenzi wa vyumba...
0 Reactions
2 Replies
120 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo ameongoza Mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Mkoa huo. Mkutano huo umefanyika Jumanne Disemba 11, 2024 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya...
1 Reactions
0 Replies
96 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Menejimenti ya Wizara hiyo kusimamia na kuviwezesha vitengo vya Mawasiliano kwa Umma vilivyopo katika Vyombo vya Ulinzi ikiwemo Jeshi...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa...
2 Reactions
1 Replies
208 Views
Machozi ya furaha yanawatoka wana Butiama baada ya kuletewa mradi wa maji wa Mugango-Butiama, sasa hivi wamesahau kutumia punda kwenda umbali mrefu kutafuta maji. Rais Samia amekuwa mkombozi wao.
0 Reactions
2 Replies
159 Views
Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini. Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko Kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa...
18 Reactions
118 Replies
5K Views
Ndama huyu wa ng'ombe amezaliwa kwenye shamba (ranch) ya rafiki yangu mwenye Asili ya Ujerumani. Nimejiuliza maswali mengi sana nimekosa majibu makini. Je akizaliwa kwako utamtunza? Au utamuua...
1 Reactions
51 Replies
3K Views
Katika maandiko ya dini zote tatu za Uisalamu, Ukristo na Uyahudi suala la wanawake kujifunika vichwa vyao linazungumziwa japo kwa msisitizo tofauti. Katika Ukristo mazingatio yake ni madogo...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! Kumekuwa na picha zinazotembea mitandaoni Hasa mtandao wa FB ikimuonyesha mtu mwenye mapembe mwenye mkia ana six parks, ambaye ni Rahisi kumhusisha na shetani, pia mwingine...
12 Reactions
21 Replies
1K Views
Baada ya mlolongo wa vifo vya Depression ikiwemo cha jana usiku mwanafunzi kujirusha ghorofani niseme tu kwamba watu wanapitia mengi sana, huwa inashauriwa kufunguka matatizo yako kwa watu wa...
4 Reactions
3 Replies
193 Views
Leo ni siku ya kuzaliwa nguli wa Tiba za kisayansi za mwili wa binaadamu hususani moyo na figo si mwengine ni professor MOHAMMED YAKUBU JANABI LONG LIVE MZEE you really helped our country and...
9 Reactions
48 Replies
11K Views
Kuna chuo fulani hapa dar kikubwa tu wameweka namba yangu ya simu kwenye matangazo yao ya biashara ya chuo hicho namimi sifanyi kazi wala sijawahi kusoma kwenye chuo hicho! Sasa kifupi imekuwa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Sio katika mitandao tu ya kijamii Instagram, Facebook, TikTok Kila kijana anajionyesha kuwa ana pesa ni tajiri . Hata hapa JF naona wanakuja...
11 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimeona video. Sasa Gaza wanaweza andika bango kubwa. "KIFUSI KINAPATIKANA HAPA" Kumebakiwa na vifusi tu nadhani wale jamaa wanaokota vyuma chakavu pia ni nafasi kwao kuangalia huko upatikanaji...
7 Reactions
12 Replies
456 Views
Habari wana jukwaa Mimi ni mkazi wa Dodoma,maeneo ya mpwapwa,kuna ndugu yangu aliomba shamba awe analima, Nilimpatia likiwa ni pori,amelisafisha ila aliokota mawe mawili ambayo anadai ni kama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Haya ni baadhi ya mambo yanayotesa sana vijana wa taifa hili. 1. Pombe kali, visungula, double kick 2. Betting 3. Ngono zembe 4. Simba na yanga 5. CCM Kama kuna vingine unaweza kuongezea
5 Reactions
7 Replies
335 Views
Back
Top Bottom